wakipekee...

7K posts

wakipekee... banner
wakipekee...

wakipekee...

@DMLfireboy3345

..hustle boy in town living my life. Don't cry when am die look on the sky and say goodbyee...🏋‍♀️🏋🏋‍♂️.Man united ,REAL MADRID $ Simba sport fans..

Netherlands 🇳🇱 เข้าร่วม Eylül 2023
2.3K กำลังติดตาม1.2K ผู้ติดตาม
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Hii game ya psg Ina goal 30 leo😅😅😅😅
Indonesia
3
1
31
503
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Za ndani ndani ukiacha big kujifanya mteja dm kuna mwinsheshe alikua anaelewa kazi ile dadeki ila cycle yangu Ina mazunye😅😅😅🙌🏻
Indonesia
23
21
103
2.8K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kijana mwenye umri wa miaka 21 amezua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya video yake kusambaa akieleza wazi kuwa hana mpango wa kutafuta kazi. Akizungumza kwa msimamo mkali, kijana huyo alisema: “Sikuwahi kuomba kuzaliwa, kwa hiyo kwa nini nifanye kazi ili kuishi maisha ambayo sikuyachagua?” Kwa mujibu wa maelezo yake, anaamini kuwa wazazi wake ndio walifanya uamuzi wa kumleta duniani, hivyo wanapaswa kubeba jukumu la kumuhudumia. Huyu kijana ana hoja au tumpuuzie ?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
40
8
177
22.2K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Team PSG weka handle yako tukufollow before kipindi cha pili🔥🔥🔥🔥🔥 Repost 🔥🔥
Indonesia
35
15
93
1.2K
MADOPE🌾
MADOPE🌾@Ugeniaconso·
Ishi vzuri na majirani zako.
Slovenščina
15
21
56
706
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Hii mikwara ya Traore bwana! Inamaana hapo anafyatua risasi kwa kubonyeza tu kitufe kwenye waya akihisi hatari Lakini akifyatua shaba si recoil ya risasi itafanya fuvu ka kichwa kuwa kama kile kifaa cha mziki kinachoitwa chekeke? Pia ganda la risasi si litachana sikio?
Fortunatus Buyobe tweet mediaFortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
30
21
376
33.2K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Ukiona movie inaanza kuna watu wanachunga chunga mbuzi jangwani alafu kuna pick up imefungwa mashinee gun nyuma aisee hapo tambara umepata🔥🔥
Filipino
38
30
581
20.7K
Boss
Boss@Boss_941·
Ningejua maisha ndio haya, nisingepiga kelele darasani😂😂😂💔
Boss tweet media
Indonesia
23
23
80
1.6K
Tisa David
Tisa David@tisadavidtisa·
Leo nimemuona dogo yupo kwenye school bus anashangaa watu wanaruka madimbwi sinza 😂😂 dogo anahisi watu hawajapanda hayo magari.
Indonesia
20
25
175
5.1K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
ⓘ This account stands against violence and disrespect toward women
English
48
66
170
4.3K
Ulimwengu 🇹🇿
Ulimwengu 🇹🇿@fizoo_2040·
Tumetoka kumpumzisha MAMA YANGU mchana wa leo,Sikuwahi kufikiria kama nitakuwa yatima katika umri wangu mdogo kiasi hiki.Imekuwa mapema sana aisee. Tumuombee sana kipenzi changu apate pumziko la milele. Daah! Why MAMA 😥😓😭🙌
Ulimwengu 🇹🇿 tweet media
Indonesia
132
74
623
10.9K
BP
BP@bp_punter·
Drop your correct scores prediction👇
BP tweet media
English
27
2
20
2K
wakipekee...
wakipekee...@DMLfireboy3345·
@a_abessa Tunasemaa hivyo sababu hatujui wamakoendaa ilaa tungekuwaa tunajuwaa huenda tusingesemaa hivyoo..maana wengine hupenda kusemaa LIFE AFTER DEATH..
Indonesia
1
0
1
20
kibo_the_one🫥
kibo_the_one🫥@a_abessa·
Leo nilipita sehemu hii leo nimejifunza mengii ile kauli wengi walikuepo ila sasa wako wapii. Ifanyie kazi vizuri kama bado uko na afya njema
kibo_the_one🫥 tweet media
Indonesia
1
4
25
619