Mshauri wa Engonga

879 posts

Mshauri wa Engonga banner
Mshauri wa Engonga

Mshauri wa Engonga

@Dee7_Legend

เข้าร่วม Aralık 2024
138 กำลังติดตาม64 ผู้ติดตาม
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ni kweli kuna makabila wanafanya kazi ila kuna wale jamaa wa kigoma wanaitwa waha ni mashine za kazi. Sijawahi ona muha mzembe mzembe na ni kama waliambiwa ukiondoka Kigoma usirudi mpaka ufanikiwe. Kwenye kupiga kazi tu nawapa maua yao sema ndio hivo wana ubishi mlima😁🙌
Filipino
5
13
66
1.1K
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@safarimlevi Bahati nzuri mwanaharakati inasound vibaya kwa mafisadi na waziba rizki za wenzao.. neno harakati ni mapambano ya kutetea watu juu ya uminywaji wa haki zao katika mambo mbali mbali.. sasa ukiitwa mwanaharakati, hiyo bado ni credit kubwa maana wewe unasimama na wengi kwenye haki
Filipino
0
0
0
45
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Humu ukipenda au ukiwa mwanachama wa CHADEMA tayari ww ni mwananharakat ase Hii mpya.
Indonesia
4
8
60
724
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@SkydiverTz @MkulimaKante Nilidate na limams la kiha sema nalikubali mpaka nitakapo fuliwa na kifusi ambacho nyie mnaita kaburi.. Lilikuwa real sana kama alarm ya saa, haliendi kinyume na makubaliano na ukilizingua linapiga mayowe.. Lilitaka linipe mtoto nikasema huu mtego siingii
Filipino
1
0
0
12
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@lifeofmshaba Meter 10 ni chini ya urefu wa kiduara cha penalty hadi ulipo mstari wa goli. Sasa chande sijui alikuwa anakaririshwaje madesa ya kitoto hivi
Indonesia
0
0
3
345
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hivi Chande anajua mita 10 zina urefu gani ? Hiyo nyumba amesema ilikuwa na mfunzo kutoka kituo cha polisi anajua mita 10 ni kama kuwa chumba cha pili kwenye jengo moja ?
Think Different tweet media
Filipino
23
18
125
6.7K
TricyLove🦁
TricyLove🦁@amprincess9·
Post za dagaa ku-comment na kuretweet aaah hizo nyingine sasa😏
Filipino
30
32
142
3.3K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Sheikh Mussa Kundecha, Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania Baraza Kuu la Maimamu na Viongozi wa Kiislam Tanzania wanasema wanaopinga na kukosoa ripoti ya Chande ni wahalifu na walihusika katika matukio ya Oktoba 29, 2025. Nafikiri hawa watu hawajitambui kabisa. Bahasha za kaki zimewalevya. Wamepagawa kabisa. Waelezwe. Watu hawapingi sura za watu wanaounda tume. Watu walipinga muundo wa tume, hadidu za rejea na sasa wanapinga na kukosoa maudhui yake. Wameshindwa kusimamia ukweli (wanashangilia mauaji ya raia yaliyofanywa kikatili). Wameamua kuvunja mkataba wa kiimani baina yao, waumini, na Mungu. Huwezi kuombea amani wakati unashangilia mauaji. Uhai ni zawadi ya juu (Sacredness of Life) kutoka kwa Mungu. Tofauti na makosa mengine ya kijamii, mauaji hayawezi kurekebishwa. kuukatisha uhai ni kosa ambalo halina fidia ya kutosha duniani (irreversible). Kiongozi wa dini anapowatetea wauaji; Anahalalisha utamaduni wa mauti. Anapoteza uhalali wa kukemea dhambi ndogo kama wizi au uongo. Anageuza nyumba ya ibada kuwa kimbilio la watawala wenye nguvu. Imani inapaswa kuwa mwanga unaotuongoza kuuona ukweli, na si pingu zinazotuzuia kuhoji au kuona uhalisia. Imani isiwe kifungo cha akili. Haki huinua taifa, bali dhambi ni fedheha kwa watu wowote.
Indonesia
56
90
357
11.8K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Ile wanasemaga "Binadamu wote ni sawa" huo usawa upo kwenye nini? 😁😁
Filipino
10
10
37
472
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Hapa nani mkali kumzidi mwenzake?🤔
killo_Killotz tweet mediakillo_Killotz tweet media
HT
14
11
35
1.2K
Man Like Sule™
Man Like Sule™@Maichagange·
Pisi Za Zamani Zilikuwa Zikija Getto Zinakuja Na Chakula Kwenye Hotpot Hizi Za Saivi Sijui Zimeingiliwa Na Nini.
4
3
36
588
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@Balyx_ Leo lazima wataongezewa mshahara on paper tena itakuwa kati ya 8%-10% hapo. Ila kwenye slip zao wataona manyoya tu. Lengo la kutangaza nyongeza ya mshahara litakuwa lilelile kuzima mijadala kuhusu hotuba ya Chande na Mo29. Bahati mbaya tu, Kwasasa ile haifutiki kwenye vichwa
Indonesia
0
0
1
75
Balyx
Balyx@Balyx_·
Wafanyakazi mmejiandaaje na MEI MOSI? Mnaongezewa mishahara?
Indonesia
11
10
65
2.2K
Mshauri wa Engonga รีทวีตแล้ว
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Tu repost Hii ifike pale kwa machalii wa Lumumba ✊
SafariMlevi tweet media
Polski
1
58
137
1.4K
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@fintanjr_ Leo ni sikukuu hakuna shule, sema unataka kwenda kuwafanya nini watoto wa shemeji yako
Filipino
1
0
0
48
Mshauri wa Engonga
Mshauri wa Engonga@Dee7_Legend·
@WideEdson Red colour kwa Bajaj haijwahi kuchuja, alafu inapokea sticker ya aina yoyote ile.. pia sio rahisi kupauka kama nyeusi na blue.. kijani siitaji kwasababu ya kulinda heshima ya Watanzania wenzetu Mo29..
Indonesia
1
0
6
499
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Kila jambo lina wakati wake! Nilitafutaga TIN Number ya Biashara wakati flani nafukuzia maokoto ya Elon Musk, Mwisho wa siku nikafeli. Huwezi amini leo Madam pale NMB kapinigia simu ananiomba Tin Number ya Bishara na Nichague rangi ya Bajaji yangu ya mkopo.! Rangi ipi apo?
Indonesia
15
35
231
9.2K