GreenAfrica
2.7K posts

GreenAfrica
@DicksonSikawa1
we live different but we share common humanity
unknown Katılım Mart 2023
775 Takip Edilen335 Takipçiler

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Wafanyakazi Nchini wanapaswa kuwa na uvumilivu na kuepuka kukata tamaa wanapokutana na changamoto katika maeneo yao ya kazi ili kuendelea kutoa huduma bora kwa Wananchi
Dkt, Mwigulu amesema hayo leo Mei 1, 2026, Mkoani Njombe wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo amesisitiza kuwa baadhi ya Wafanyakazi wamekuwa wakikata tamaa hata kwa mambo madogo hali ambayo inaathiri utendaji kazi na maendeleo ya Sekta mbalimbali
Aidha, Dkt. Nchemba amesema Wafanyakazi wanapaswa kutambua kuwa Wananchi wanawategemea hivyo ni muhimu kuendelea kuwa wavumilivu na kujituma katika kazi zao huku wakikabiliana na changamoto zinazojitokeza bila kukata tamaa
“Niwasihi Wafanyakazi kutokata tamaa tumekuwa na ukataji tamaa makazini hata kwa vitu ambavyo ni vidogo nitoe rai kwa Wafanyakazi kuwa wavumilivu wanapokuwa katika mahali pa kazi kwa sababu Wananchi wanahitaji huduma zenu” amesema Dkt, Nchemba.#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@masoudkipanya Na as soon as possible, Elon Musk anaanza kuspread yale marobot yake ya kike kuja Africa. Maana yake ata Mbususu itakuwa From USA. Hapa sasa shilingi ata iinuliwe kwa winch haipandi mamae
Filipino

@kasesco_tz @kilepi_tweve Kaka nipo nyumbani siondoki niuweni 😂😂
Filipino

@wilsonjuma08 @IWillLive_X Muulize ni aina gani ya k aliyo nayo
Filipino
GreenAfrica retweetledi
GreenAfrica retweetledi

@EngMapundajr @safarimlevi Lakini sio vibaya mana bado ni damu moja tu
Indonesia

@sufyanihamad @kishoka_ Rudia Tena kusoma vizur,usiweke hisia
Indonesia

@kishoka_ Usipotoshe watu. Kipato kisitutenganishe na wapendwa wetu, hao ndio ndugu zetu wa damu kuna hali inafikia hatuitaji pesa tunahitaji uwepo was na faraja yao vipi tujieke nao mbali.
Indonesia

@kishoka_ Huu ndio ukweli mchungu wengi hawataki kusikia.
Wazazi wa aina ndio chanzo cha umasikini.
Jamii inaepuka mijadala ya aina hii.
Mtoto hajapewa mtaji wala support alafu anageuzwa tegemezi, ni ukatili mkubwa.
Wazazi wajenge future zao watoto sio pension funds
Indonesia






















