Evance MD

11.7K posts

Evance MD banner
Evance MD

Evance MD

@EvanceMD

I Hate Men who hurt other Men. My Mama Didn't raise No Fool With No Plan Nothing Can Go wrong i support Liverpool Fc..

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Ocak 2019
870 กำลังติดตาม1.6K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Evance MD
Evance MD@EvanceMD·
Nakmbuka nikiwa Md3 kuna dogo alikuwa Md1 tumepiga nae shule moja,dogo akaanza mishe za biashara akiwa MD1 mim nikamshauri kuwa awe makini na biashara maana sio rahs kupiga Biashara na Md vikaenda sawa ,dg aliacha MD,mara ya kwanza nilijua amefanya mistake now nadhan alikua sahih
Indonesia
24
15
480
49.4K
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
@EvanceMD @DrArabiFrank Shida yenu mmekurupuka Hakuna sehemu nimewaambia watu wakanywe mitishamba Wala hamna niliemjibu ni dawa gani Point yangu ilikuwa pombe At end of the day the story is mine the experience.was ours
Indonesia
1
0
0
16
Beast
Beast@emabilly2001·
Huyu jamaa jina lake limenitoka ila n bolt driver na content creator wa IG....itoshe kusema kazi yoyote ukiifanya kwa bidii na heshima inalipa jamaa kafika hatua mpaka ya kukodiwa na watu awaendeshe kwenda mikoani kwa kifupi jamaa anafanya poa sana 🙌
Beast tweet media
Indonesia
17
28
614
35.5K
Evance MD
Evance MD@EvanceMD·
@AM_NIC3 Pitia kitu kinaitwa Acute kidney injury VS Chronic Kidney Disease, hiyo dialysis itakuwa Ya The former
Filipino
0
0
0
111
NICE (🎹🎸)MCHINA WINGA
Ila kuna muda tunalaumu pombe bure, 2022 Mama yangu mdogo aliumwa figo hadi akawa anafanyiwa dialysis.kuna Masister wakamletea dawa kutoka kijijini huko baada ya miezi sita akapona ,alipofika nyumbani akakaa kama miezi mitatu akaona ameanza kuwa sawa Akapiga kreti la Serengeti light na ukimwambia unakula tusi 😂😭
Indonesia
20
19
198
23.8K
Dr. August Bones
Dr. August Bones@Ausbones·
The first action in managing postpartum hemorrhage is to...
English
122
36
534
113.8K
JB, Smoove
JB, Smoove@Bhyera·
@EvanceMD @Wakazi Dr. Dre alipata strokes tatu na Brain aneurysm mwaka 2024 ila mchizi alitoboa, health care za matajiri los Angeles sio za mchezo. Au ilikuwaje Dr
Indonesia
1
0
0
88
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Pressure (Hyper Tension) ni ugonjwa ASYMPTOMATIC (usio na dalili) so unakuta imepanda alafu vimishipa vya damu vile vidogo kabisa (kwenye ubongo, figo au macho) vinapasuka.. Kwisha habari yako Na maisha haya ya stress, muhimu sana ukishafika 30+ uwe una habit ya kupima vital signs na regular check up pia. Yaani Sukari na Pressure, vinaua figo, macho, na worst case ndio hiyo BRAIN ANEURYSM ambayo kutoboa is almost impossible.
ProsperNow.@prossoff

SUKARI na PRESSURE vinaua sana ndugu zetu kuliko UKIMWI. Hasa changamoto ya DAMU KUVUJIA KWENYE UBONGO. Imekuwa kero.

Filipino
10
37
194
27.8K
Evance MD
Evance MD@EvanceMD·
@IAmHaule Mbona madaktari hawakalipii wagonjwa
Indonesia
2
0
1
102
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Hamna Nurse alifundishwa kuwa mkali ile kukaripia wagonjwa , kuwasema na kuwakejeli . Hayo yote yanatokana na mazingira aliyoenda kukutana nayo . Upo kijijini , Hela haitoshi , Uhamisho kipengele , Unafanya kazi zote mwenyewe , Semina hazikufikii , Kwanini Usiwe mkali .
Indonesia
7
9
64
2.7K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kuna video nimeona sjajua ni chuo gani kile ila lecturer anampiga jamaa mbele ya darasa baada ya kugundua kua anadate na demu wake. Yule demu anasimulia kua alikua akidate na mshikaji, ila kuna siku lecturer alimuita akamwambia kua amempenda na kama hatomkubalia basi lazima atamfelisha ikabidi demu akubali tu hapo alikua bado ndo kwanza yupo first year Yote tisa ila kupiga makofi mbele ya darasa chuo kikuu ni fedheha sana Kikawaida ile sio sawa , je ungelkua wewe ungefanyaje
Filipino
19
18
125
17.4K
Doctor Strange
Doctor Strange@DrStrangejm·
When a scientific conference is turned to be a political event and uchawa<<<<<<<<
English
4
2
16
1.6K
Evance MD
Evance MD@EvanceMD·
@makumbawaleo_5n Kuwa hawatoi dakika 30 kwa Kila student? , kwa hili Wewe Ada lazima ipande na Dakika ziwe uparo
Filipino
1
0
0
32