🚨 UPDATE:
Kiungo wa Young Africans 🇹🇿 Mudathir Yahya amefungiwa mechi tatu na faini ya Tshs Milioni moja kwa kosa la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji Fc
Mechi atakazokosa
❌ Simba - A (Mei 3)
❌ Kmc - H (Mei 6)
❌ Coastal - H (Mei 9)
1/4
#FearWomen
Sikuamini kama nitakuja kuumizwa na mapenzi hivi. Anyways mapenzi yanauma wanangu, niko dilemma sina cha kuamua nipo nipo tu kama msenge
Dogo amemaliza form four,
Ana points 11.
Amemaliza BASIC DRIVING VETA kawa wa kwanza.
Now anasoma computer course miezi mitatu.
Akimaliza mwezi wa sita apate short course nyingine.
Mpaka inafika mwezi wa kumi kwenda diploma ya afya.
Awe na ma cheti hata manne.
Huyu akomae na vya kusoma mambo ya kuanza kubet.
Kuendesha boda au Bajaji.
Kuchat masaa yote hakuna.
MIXER YA TAALUMA NA UJUZI.
LastBorn ale maisha.
Mwana Ismael Toure Jezi namba 25 mgongoni. Anapiga kazi yake pale Msimbazi utadhani amekaa na timu misimu 3 mfululizo
Anajua sana kuusoma mchezo. kuwaekeza wenzake nini wanatakiwa kufanya..na bado atashinda duels nyingi/mpinzani hatari💪🏻
Moja ya turufu Simba waliyoipata aisee🙌🏻
Nakushauri kila mwisho wa mwezi hakikisha unafanya vipimo vifuatavyo.
🩸LIVER FUNCTION TEST
🩸KIDNEY FUNCTION TEST
🩸HSV
🩸HIV.
🩸Hepatitis B&C
🩸URINALYSIS
🩸SYPHILIS
🩸HPV
🩸GONORRHEA
🩸ABDOMINOPELVIC SCAN FOR WOMEN
🩸SEMEN ANALYSIS FOR MEN
Afya ni mali🤝
Kilichotokea kati ya MAJESHI NA MLINGANYA (bikira boys)
Majeshi alinunua simu kwa miliganya (pixel 6pro)
Majeshi akamuunga na mwanae achukue simu kwa mwamba.
Mteja wa majeshi kwa mlinganya sasa
Nataka pixel 7pro.
Mliganya kasema ongeza 50k nikupe 8pro
Anaongeza.
Anatumiwa simu
Kwenye model ni 7pro ila
Pale pa ku edit jina la simu kama inavyo display kwenye Bluetooth
unaweka pixel 8 pro.
Lengo ni nini? Majeshi anajaji.
Mteja kashituka anakubaliana na simu.
Anaomba 50k yake inakaa wiki tatu.
Excuse inakuwa (sikuwa ofisini niliugua)
Haukuwa ofisini simu ikaenda nje ya maelekezo na ikafika.
Kwanini hela isirudi ukiwa haupo ofisini?
Majeshi anajaji huyo.
Mteja aliyeelekezwa na majeshi anamlaumu majeshi.
Majeshi anamcheki mwamba hajibu.
Majeshi akaja kuyamwaga.
Mteja kapata 50k yake.
Nani shida?