Poimen Taikijan💫

1.6K posts

Poimen Taikijan💫 banner
Poimen Taikijan💫

Poimen Taikijan💫

@PastorMisper

......... still in the making...........

Kampala, Uganda🇺🇬 Katılım Mart 2019
2.1K Takip Edilen1.7K Takipçiler
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Kwa hiyo mtu kachapia tayari mmepata agenda 😂😂😂😂😂😂😂
Indonesia
10
2
8
572
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Chadema wanatype press release mida hii kisa mtu kachapia
Eesti
6
5
20
847
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Hotuba ya Samia kwenye page ya Ikulu imefutwa muda mfupi baada ya kuhutubia Ukurasa rasmi wa YouTube wa Ikulu umeondoa video ya hotuba ya Samia muda mfupi baada ya kuhutubia, hatua inayohusishwa na mkanganyiko wa takwimu za bei ya mafuta duniani alizozitoa wakati akihutubia.
Britanicca tweet media
Indonesia
29
41
305
16.8K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
"Sisi kama viongozi wa nchi mbalimbali tunajitahidi kunyanyua sauti zetu, kuzungumza na wenzetu, kushawishi wenzetu vita hii imalizike ili maisha ya wananchi yarudi kuwa ya kawaida." - Rais Samia Suluhu Hassan
Swahili Times tweet media
Indonesia
33
7
107
9.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki. Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17 Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20. Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57 Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80 Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
104
79
383
16.8K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
BREAKING NEWS : Rais SAMIA amesema atabana matumizi ya Serikali hasa kwenye suala la mafuta, kuanzia sasa kwenye MSAFARA wake kutakua na gari chache, gari ya polisi, gari yake na wengine waliobaki watapanda basi, awe Waziri Mkuu au Mawaziri wa kawaida
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
18
9
98
7.5K
SSH 2530
SSH 2530@cutysuzana·
Hawa mashetani sio Wa kuchekewa
SSH 2530 tweet media
Indonesia
2
8
8
366
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Kwaiyo Humu ndani hamna hata Mmoja alieibiwa Nyeti
Indonesia
5
10
28
552
MWALIMU🙏🇹🇿
MWALIMU🙏🇹🇿@dictatorbin·
Moja ya takataka ambayo imepewa cheo kikubwa pale chadema ni hii👇👇👇👇
MWALIMU🙏🇹🇿 tweet media
Filipino
4
3
3
220
Rahimuddin Ismail
Rahimuddin Ismail@SokwaraT·
Hakika huyu ni mama msikivu na usikivu wake ni baraka kwa watanzania H . E, SSH 🙏 🇹🇿
Rahimuddin Ismail tweet media
Indonesia
10
15
19
644
Ezbrown
Ezbrown@swahilispark·
@Sirajitz1 Kipato cha chini na kununua gari kwenye sentensi moja
Filipino
1
0
9
2.2K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hivi kati ya 1. Passo 2. Vits 3. Mazda Verisa 4. Hundai 5. Mini cooper Gari gani nzuri ya kununua ya kuanzia maisha kwa mtu mwenye kipato cha chini?. Ongeza nyingine pia👇🏿
Indonesia
76
39
232
30.6K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
CHADEMA TUMEWAKOSEA SANA WATANZANIA, TUOMBE RADHI: VURUGU ZA OKTOBA 2025 Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu wa Wilaya ya Serengeti Mfungo wa Ramadhani umeisha, Kwaresma nayo imeisha; sasa ni wakati wa kuanza upya. Mpaka sasa, ni CHADEMA pekee iliyokataa kutoa maoni wala kuhojiwa kwa namna yoyote na Tume iliyokuwa inachunguza vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Je, unajua kwa nini viongozi wetu walikataa? Iko wazi kabisa kuwa ni kutokana na kushiriki moja kwa moja kuhamasisha vurugu kwa malengo ya kuzuia uchaguzi usifanyike. Malengo yakiwa ni kuikomoa CCM, lakini sote ni mashuhuda wa madhara yaliyotokea. Kama mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kiongozi mstaafu katika ngazi ya wilaya, nawaomba viongozi wetu watoke hadharani kuomba radhi Watanzania kwa madhira makubwa yaliyosababishwa na maamuzi ya baadhi ya viongozi wetu, akiwemo Mwenyekiti aliyejiapiza kuwa atahakikisha uchaguzi haufanyiki. Kujikwaa si kuanguka, tubebe msalaba huu. Hali ilianza kuwa mbaya zaidi baada ya viongozi wa chama kuanza kupokea fedha na maelekezo kutoka kwa wanaharakati wenye makao makuu yao huko Nairobi, nchini Kenya. Sote tunajua hata ile dola milioni mbili iliyoelezwa kuletwa nchini na Ford Foundation iliwafikia vigogo wa chama ili kutekeleza vurugu ile na hatimaye kupindua serikali. Nadharia ya mapinduzi si falsafa ya chama, ilikuwa hadaa iliyostawishwa na tamaa ya wachache. Vijana wengi walilipwa na kudanganywa ili wafanye uhalifu, kuharibu mali za watu, na hata kukata watu vidole eti kwa kisa cha kupiga kura. Wapo walioiba na kufanya kila aina ya uhalifu wakiamini kuwa njia iliyokuwa inaelekezwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA ilikuwa sahihi. Ndani ya CHADEMA, si wote tuliunga mkono ujinga ule, lakini kwa kuwa viongozi wetu walishiriki kwa asilimia 100, hatuwezi kukwepa lawama. Wakati umefika tuombe radhi Watanzania kwa maamuzi na nia ovu iliyoonyeshwa na baadhi ya viongozi wetu ili tuanze mwanzo mpya. Karibuni Tarime +255764947409 NulphCharles@gmail.com
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
8
20
16
1K
Britanicca
Britanicca@Britanicca0·
Tulia ana sauti nzuri iliyotulia wakati wa kutoa mlio wa majuto 😜
Filipino
1
0
7
633
◇
@Mrisho_K·
@_zack255 Hakuna chama pale, tuwape kazi ya udalali wa kutafuta vyumba vya kupangisha
हिन्दी
1
0
0
88
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
PRESS ZERO: KILICHOFANYWA NA JOHN HECHE LEO NI AIBU YA MWAKA, CHADEMA HAWAJUI SABABU YA KUPANDA BEI YA MAFUTA? Na Nulphin Charles, Serengeti Pata picha watu wanasubiri PRESS ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa tokea saa nane anakuja kuzungumza saa kumi akiwa hana hoja kabisa katika kipindi ambacho chama chetu kilitakiwa kuonyesha umahiri wa kufikiri na kujenga hoja. Badala ya kutoa hoja kwa namna gani nchi yetu inaweza kupata mbadala wa nishati kama CNG wewe unatuambia Kenya wananua mafuta kwa bei ya Shilingi 3700 na Tanzania tunanunua mafuta kwa Shilingi 3800, hivi hii ni akili au matope?Ndio hiyo hoja uliyoita watu tuje kukusikiliza? Hiki chama hakina hata wachumi? Leo hii Heche unatuambia huoni vita ya mashariki ya kati kama chanzo cha kupanda kwa bei ya mafuta? Seriously, hii ni kali ya mwaka. Hata Marekani tu, mafuta yamepanda katika kipindi hiki licha ya kuwa na akiba kubwa ya mafuta, ina maana huelewi ni kwanini? OK, tuache hilo. Eti umekuja kutueleza kuwa ipo kampuni inafanya biashara ya mafuta ba usikia tetesi wamiliki wake wanamahusiano na watumishi wa umma? Hata jina la kampuni husika hutaji, ina maana hujui taratibu za uagizaji wa mafuta Bulk procurement? Pamoja na kwamba nafikiria kuhama chama hiki kutokana na kuongozwa na watu wasio na uelewa kama John Heche nitasubiri kidogo kwasababu bado ninalojukumu la kuhamasisha wanachama wote kuhama hiki chama maana tunaongozwa na wendawazimu. John Heche itisha Press pale unapokuwa na kitu cha kusema sio kuitisha press kisha unatema pumba kama mlevi. Naanza kuelewa kwanini Kamanda wa Anga hakuwahi kukuona ukienea katika nafasi ya umakamu Mwenyekiti, such an incompetent idiot.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
12
14
1.3K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Wakumbuke watoto wako wa nje. Mkumbuke mtoto wako wa nje. Acha kula mgahawani wakati home wanakula vya ajabu. Penda familia yako. Mpende mkewako. Linda heshima ya ndoa yako. Mkeo asijue unachepuka.
Indonesia
18
27
263
3.9K
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Takwimu za kikanda za mwezi Aprili 2026; Kenya Petrol: Tsh 3,700 Diesel: Tsh 3,680 Kodi: 28% Uganda Petrol: TSh 3,600 Diesel: TSh 3,550 Kodi: 27% Rwanda Petrol: TSh 3,750 Diesel: TSh 3,720 Kodi: 30% Zambia Petrol: TSh 3,800 Diesel: TSh 3,770 Kodi: 30% Mhe. @HecheJohn
Indonesia
24
128
446
28.1K
HABARIMPYA TV
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv·
Albert Chalamila Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam
Indonesia
18
7
89
16.4K
SOC
SOC@Asonofcreator·
@PastorMisper @Stany_Midea27 @HecheJohn Marekani ambao wanaakiba kubwa ya mafuta kuliko nchi yeyote mafuta yamepanda. Bidhaa yeyote inapanda pale Demand ikiwa kubwa kuliko supply.
Filipino
1
0
0
14
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Wiki iliyopita niliingia kitu cha mafuta nikaweka Diesel lita 35 kwa sh 100,000. Leo nimeweka diesel ya sh 100,000 ikawa lita 26. Wiki iliyopita lita ya diesel ilikua 2854 Leo wiki moja baadae ni sh 3806. Fikiria vijana wa bodaboda, Bajaji na watu wengine kwenye sekta ya usafirishaji.. Hii hali haikubaliki mtu wa chini ataumizwa mno na huu ufisadi kama hali hii haitabadilika.. Tutaongea kuhusu hili na tujue nani hasa wanataka kuwatesa Watanzania kwa manufaa ya urafi wao.
Indonesia
47
253
1.5K
44.7K