ทวีตที่ปักหมุด
Jefesanto Jr
4K posts

Jefesanto Jr
@Isiakamunga13
Success is the maximum utilization of the ability that you have..,Dinero..💰 Poder..💪 Respeto..🙋 Humanidad..🤝 Soy cambista!..Allergic to the haters type 😠
Zanzibar South and Central, Ta เข้าร่วม Ekim 2016
241 กำลังติดตาม140 ผู้ติดตาม

@engassa08 @EsirEid Nani kakudanganya mwenye fedha za kuchezea atashare ili kuondolea wengine umasikini e.g serikali yetu usema blah blah kuhusu kukwamua uchumi wa mtu 1 1 but utumia mabilioni linapotokea jambo fulani lisilo faida kwa wasiojiweza e.g kununua magoli
Indonesia

@Isiakamunga13 @EsirEid 1. Unalindaje brand wakati mtu kashakufa?
2. Unapataje aibu wakati unajua ukiingia vitani ni kufa au kupona?
3. Wangekua na fedha za kuchezea maskini wasingekuepo nchi zao
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Benjamin Netanyahu alifariki tarehe 8 Machi.
Hii ndiyo sababu Yair Netanyahu (kijana wake) alichukua mapumziko yasiyo ya kawaida ya siku 7 kwenye X, kwa ajili ya kipindi cha maombolezo cha Kiyahudi kinachoitwa shiva.
Aliandika mara ya mwisho tarehe 8 Machi, kisha akasubiri siku 7 kamili hadi tarehe 15 Machi ndipo akaretweet post😅

Indonesia

@WorldSports14_ Kwa kauli km hizi ndipo huwa nawadharau viongozi n mashabiki wote wa MAKOLO😂
Filipino

@Utopolo10 @SimbaSCTanzania Ndo shida ya kuwekeza zaidi uchawi😂
Indonesia

@Isiakamunga13 @SimbaSCTanzania yaani ni huzuni! huwezi chukua ubingwa namna hii!
Indonesia


@EduTalkTz MWENYEZIMUNGU ni wa mwanzo bila chanzo na wa mwisho pasi n ukomo, kutokumjua MWENYEZIMUNGU ndipo kumjua kwenyewe n kutaka kujua zaid upelekea kumkufuru..."na wala msibishane juu ya yanayohusu ALLAH n dini pasipo elimu📌
Indonesia

Mtu ananimbia “kama huamini Mungu yupo, tuambie wewe chanzo chako ni nini?”
Nami namuuliza “kwani yeye Mungu chanzo chake ni nini?”
Ooohhh unakufuru. Nakufuru kuuliza swali hilo hilo uliloniuliza?
Mtu ananiambia “kama sayansi ina ubavu, kwa nini haijazuia kifo?”
Nami namuuliza “yeye Mungu ameweza kuzuia kifo? Hakikumuua mpaka mwanaye?”
Ooohhhh acha kukufuru! Nakufuru kwa kukuuliza swali hilo hilo unaloniuliza??
Mtu ananiambia “ukiumwa ndio utajua umuhimu wa Mungu, una kiburi cha uzima.”
Namuuliza, “kwa hiyo wote waliolazwa mahospitali kila kona hawamjui Mungu?”
Basi nami ni zamu yangu kuuliza:
Huyu Mungu hawezi kujisemea? Kwa nini nilaumiwe kwa kuhoji masimulizi yake ikiwa yeye mwenyewe hataki kujisemea?
Je, napaswa kumwamini Nabii Zumaridi aliyesema amekutana na Yesu wakapiga story?
Kwa nini asinijuze moja kwa moja yale anayotaka niyajue kuhusu yeye? Hana uwezo huo?
Indonesia

@SimbaSCTanzania Lawama kilabuni kwenu MAKOLO akili mtapata uzeeni😂
Filipino


@millardayo Wakishatoka utujengea dharau tuliobaki but yakiwakuta utulilia n kututaka maombi, "Ama kwel mtu sio mbwa📌
Indonesia

Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohammad Javad amesema Wanafunzi Watanzania waliopo Nchini Iran wapo salama na kwamba hajapokea taarifa yoyote mbaya kuhusu Watanzania wanaoishi au kusoma huko na kwamba kitengo cha kibalozi kiko tayari kutoa msaada wowote unaohitajika.
Balozi Mohammad Javad, ameieleza hayo @ayotv_ katika mahojiano maalumu Ubalozi hapo ambako umefungua kitabu cha maombolezo kuanzia Machi 4 hadi 6 kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei.
Aidha, ameeleza kuwa wameweka namba ya dharura kwa ajili ya mawasiliano ya haraka kati ya Tanzania na Tehran na kuwahimiza Watanzania wenye Ndugu au Jamaa walioko Iran kuwasiliana na Ubalozi iwapo watahitaji ufafanuzi au msaada.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@EsirEid @DullahTheking2 KIFO KIFO KIFO
Kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuosha maiti unayemjua
Ili kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuingia ndani ya kaburi la maiti unayemjua
Kadhalika kutambua ujuu n uvimbaji tunaojipa kisa mali, elimu, fame ni bure hudhuria MAKABURI
Huwezi ku differ who was which📌
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Personally i think it's bad to live in a world where USA and ISRAEL can just randomly murder the leader of another country based on false pretexts and with No legal authority of any kind and get away with it…
Today is IRAN tomorrow it might be your country or Leader.
Innalilahi wainna ilaihi Rajiu’n- Imam Ayatollah KHAMENEI🙏🏽

English

@SB_Ladder Acha kujidanganya unavyotoa zaidi ndo baraqa huongezeka, hela haijawahi kutosha n hatuijui siku ya kufa, ridhika, saidia📌
हिन्दी

@CFC_Boey Usifosi mambo ukiona anakuzuia hata kutia dole vunga😂
Suomi

@MrDepalitto9 Wewe tu ndo unaliwa vyako mzee nmeikula pisi kaliiii kwa 17k total over 2 weeks comms😂
Filipino

@OleSangka Huwa nabeba pesa mbuzi tu wallet naacha home😂
Filipino

#TajiriLaKihaya
A Russian Guy kaenda Kenya Kawakula Wanawake sio Poa…
Kitu kizuri ni kwamba wote aliowakula ni WASIMBE!
Ndio maana kila siku nawaonya kuhusu WASIMBE… wananjaaaa Kali na kizungu Uchwara 💔
Nmekuwekea VIDEO zake zote hapo chini👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽

Indonesia

Tumekamilisha safari ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2025/26 kwa ushindi. #TotalEnergiesCAFCL #NguvuMoja

Filipino

@HassaniSai59669 @iMajeshi_ Kikao kisinishauri nimnyonye mbunye😂
Indonesia

@Isiakamunga13 @iMajeshi_ Tukukute mbele kabisa katika kikao cha wanaume
Filipino

Mwanamke akikupenda kuna mambo lazima uyaone tu, kwa mfano;
1. Atakuwa atakuheshimu.
2. Atakupa zawadi (inaweza isiwe mara kwa mara ila atakuwa anakupa.)
3. Atafanya mapenzi na wewe mara kwa mara.
Kama mwanamke wako kuna kitu hakupi kati ya hivi vitatu, ujue huyo msenge HAKUPENDI na anakutumia kwa maslahi yake binafsi.
Indonesia













