
Tatizo ni kubwa kuliko uwezo wake na unavyofikiri. Nilipokuwa MP tulipewa semina ya TACAIDS kuhusu maambukizi ya Ukimwi. Mmoja kati ya watoa mara alikuwa Shoga na mfanyabiashara mkubwa. Wabunge walimuuliza swali; " mnapataje wateja wenu?" Jibu likawa wengine ni miongoni mwenu.










