Rahim Pingu

1.5K posts

Rahim Pingu banner
Rahim Pingu

Rahim Pingu

@PinguRahim

Washington, DC เข้าร่วม Kasım 2018
2.5K กำลังติดตาม1.4K ผู้ติดตาม
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@bonifacejoseph_ Jitahidi ujue gharama za miguu bandia na Yale ma antenna kama wewe unaendesha bodaboda, sijui yanaitwaje lakini MOI wanafunga watu kwenye miguu.
Indonesia
0
0
0
16
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Jitahidi sana ujue gharama za Dialysis kama wewe ni mlevi wa pombe.!!
Indonesia
35
46
332
24.5K
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@koku_shekya Nida ni kama SSN number USA ukipewa hata kutembea nayo bila sababu za msingi wanakwambia usitembee nayo.
Rahim Pingu tweet mediaRahim Pingu tweet media
Indonesia
0
0
1
24
Koku Shekya🇹🇿
Koku Shekya🇹🇿@koku_shekya·
If there’s one thing you need to be extremely careful with in this life, it’s your NIDA ID 🙂‍↕️ even if it’s your blood relative, husband, fiancé, or someone you trust with your whole heart, don’t hand it over 😅 in this country, your ID is your life.
English
8
22
134
7K
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
Sasa mtoto wa mdogo wako sio damu yako, sijui baadhi ya familia mimi nimejua kwetu tupo wanne nikiwa mtu mzima kabla nilijua tupo zaidi ya nane sikujua huyu mtoto wa baba mdogo au huyu moto wa mama mdogo katika watu tulioishi nyumba moja kila mtu anaita baba na mama hakuna baba mkubwa wala mama mkubwa.
Indonesia
1
1
7
261
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Machalii wengi wanadhan James Mbowe ni mtoto wa Freeman, huyo ni mtoto wa mdogo wake freeman Machalii wa FAM hawan shobo na mzee wake hata 😂
Indonesia
14
21
514
27.2K
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@khalid_benju @EsirEid @Zephania_Ndaki Kupambana baada ya kupewa nafasi , kama unaweza toa kauli mtu akapata nafasi toa , akiharibu na kurudi mtaani inakuwa yeye sasa we kazi yako ushamaliza.
Indonesia
1
0
2
132
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mtu akikuambia umtafutie kazi hajamaanisha umFORWADIE LINKS na Adverts… Anahitaji kitu kama; “Hello,Report on Monday you have been referred by so and so…” Or “Nenda kwenye ile Ofisi waambie nmekuagiza” Hizo links na Advets is not it💯
Indonesia
79
155
907
24.7K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Wakuu maduka yapi yanauza multivitamins za kutoka U.S.A kwa mkoa wa Dar Es Salaam.
Indonesia
3
3
34
1.8K
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@MkulimaKante @pastajoshuatz Huyu dada anauza ana duka Sinza na mara Kazaa Anakuja USA sema bei itakuwa juu , ya kununua moja bongo unaweza pata nne USA .
Rahim Pingu tweet media
Indonesia
1
0
1
28
Kante
Kante@MkulimaKante·
@pastajoshuatz Bei zinaendaje kwa multivitamins kutokea,U.S.A mkuu wangu. Bei ya jumla na reja reja
Indonesia
3
0
0
104
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@simply__fiasco @MrDepalitto9 Unaweza , unarudi umechoka, kuamka asubui sana , hela unatumia jumamosi jioni na jumapili baadhi ya watu ambao hawana njaa hawatoi gari, ni siku ya kucheki na service tu.
Indonesia
0
0
2
37
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Kazi ya ukonda nikazi inadharaulika sana ila pesa nyingi sana wanatengeneza Nina jamaa angu kajenga chanika alianza ukonda 2020 kila siku alikua anaweka 30K juzi alikua anazindua mjengo wake ahamie
Real Nigger tweet mediaReal Nigger tweet media
Indonesia
24
14
339
24.4K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
@Zephania_Ndaki Tena akikucheki unawakandia sana waliomkera kama hajala unaenda kumfatia chap supu la chaz pale opposite kama usiku mbovu na carton nzima ya beer yake pendwa halafu lipigwe samba la Barcelona Yamal mgongoni namba tisa
Indonesia
2
0
1
71
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@simply__fiasco @MrDepalitto9 Jambo la kula kwenye daladala cha asubui na mchana ni bure, ata ukienda kazini unaenda bila 100 . Kupanga watu wana kwao mjini. Pesa ile ile ya nauli ndio maji , chakula mpaka viroba zamani.
Filipino
1
0
1
76
Rahim Pingu
Rahim Pingu@PinguRahim·
@TheRuthless0 @TMnyama4_ Mtoto wa kiume kuwa na Ujuzi ni muhimu tofauti na hayo makaratasi ya shule, wowote ule ata basic tu.
Indonesia
0
0
0
10
T
T@TMnyama4_·
Mimi ningekuwa kijana ambaye sina mishe yoyote mjini moja ya kazi ambayo ningeweza kujifunza ni ufundi wa bodaboda au magari na nikajitahidi kuwa master katika fani hii. Ukipata goli lako kuingiza 20,000 kwa siku ni jambo dogo sana. Kijana kuna fani nyingi sana zinalipa ukizijua.
T tweet media
Indonesia
16
14
178
6K
No Name
No Name@TheRuthless0·
@TMnyama4_ Unajua unatumia miaka mingapi kujifunza
Suomi
2
0
0
22