Shaith

568 posts

Shaith banner
Shaith

Shaith

@Shaith_1

เข้าร่วม Eylül 2024
786 กำลังติดตาม89 ผู้ติดตาม
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Bank ya Amana ni Bank ambayo haiweki Riba katika Mikopo Dhamana yako Mkopo wako Wanapataje faida hapa? 😂
Indonesia
37
41
600
37.3K
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Mimi ni muajiriwa mwaka wa 8 tokea nimeanza kazi Serikalini, nishawahi kukopa mara mbili hizo benki za Kiislamu ni kausha damu mzee. Na uzuri mara zote napata pesa mkononi. Yaani sikopi kununuliwa kitu napewa cash. RIBA KAUSHA DAMU ndio maana hata dini zinakataza.
Indonesia
0
0
1
37
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Hujanifahamu. Yaani nenda Bwnki ya Kiislamu kama ni Amana au PBZ waombe wakulipie ada. Nd utajua kama riba ipo au haipo. Na utakapoajiriwa kufanya kazi utajua zaidi.
Indonesia
0
0
1
14
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@prossoff Majamaa wa Afya wanasema 24 hrs.
Indonesia
0
0
0
355
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Ukila manzi leo. Kesho ukala mwingine. Huyo wa pili. Shahawa zinaweza kumpa MIMBA?
Indonesia
42
31
486
25.7K
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Na ukitaka kujua hilo, nenda chuo ukasoma alaf kaombe Islamic Bank wakusomeshe. Hiyo ndio njia rahisi ya kujua. Nyengine hadi uwe na connection za kuoewa pesa mkononi
Indonesia
1
0
2
67
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Aha kumbe sasa kvp nione linauzwa million 10 then waniambia million 15 bas kama ni ivo wanapata faida tuu na sio kwamba hamna riba ipo ila naona kupitia biashara sasa
Indonesia
6
0
7
1.1K
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@lifeofmshaba Muhalifu anatoka Marekani kuja Tz. Unadoubt udhaifu wa mifumo yetu kuingia wahalifu, bila kueleza alitokaje tokaje nchi kama Marekani yenye mifumo mizuri ya kudhibiti uhalifu. Wangeweza kumdhibiti wao kwanza huko asitoke.
Indonesia
0
0
0
197
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mamlaka za Zanzibar zinatakiwa kueleza umma Kwa nini kuna wakati wengi ambao ni raia wa Marekani, Italy , uingereza na Caribbean wanaishi Zanzibar lakini huko walikotoka wanatafutwa na Polisi ? Moja ya chaka la waharifa dunia kwa sasa Zanzibar ni moja ya eneo waharifu wamejificha kwa Appartments, mahotel na viota vya starehe Wamejaa kwa wingi Waitaliano mpaka wanaendesha clubs ambazo hawataki wenyewe huko na kuna mambo mengi ya kishenzi yanaendelea Hao waharifu ndio wameanza elezea udhaifu wa mifumo yetu kila mtu anayetaka fanya ushenzi hasa mwenye pesa anakuja Tanzania Huko mbele tutakuwa hot ground ya mauaji
Think Different tweet media
Indonesia
9
27
240
20.1K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mitandao inahoongoza kwa internet ya kasi zaidi Tanzania 🛜 1. Vodacom 2. Yas 3. Halotel 4. Airtel Wapi nimezingua wakuu? 😂🙌👇🏿
Indonesia
60
32
211
12.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Barcelona na Atletico wanatupa game moja kali sana hapa, hauwezi kufumba macho ukiwa unaitazama hii game. Sema yote kwa yote huyu chaliii, Lamine Yamal apewe heshima yake. Dogo anaujua sana mpira halafu anacheza kama vile football ni jambo jepesi mnoo.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
15
21
644
8.5K
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@midiayao1 @assengajrr Uganga unaousema ni ushirikina kitu ambacho uislamu unakataza. Nandio dhambi kubwa.
Indonesia
0
0
0
13
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
Ko waislam Riba ni haramu, kitimoto ni haramu. Kwenu jema ni lipi wenetu.
Indonesia
62
11
127
21.3K
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@assengajrr @midiayao1 Wakiristu ukichunguza kwa undani asili yao ni utapeli tu. Hasa Afrika. Mzee Afrika huchomoki.
Indonesia
1
0
0
15
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@Shaith_1 @midiayao1 Afrika ukiachilia mbali UTAWALA mbovu unachaguza umaskini, ila Kuna dini zinajitahid kuleta ahueni mfano sehemu zenye Wakristo kuna Taaisis nyingi sana za kidini mfano shule, hospitali, hadi benki za makanisa na kutetea wananchi mfano TEC, tofauti na kwa ndugu zetu waisalam.
2
0
0
47
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@assengajrr @midiayao1 Ndio ujue sasa, kuna nchi Kama Uganda ni nchi ya kikristu ila inatisha kwa umasikini, Burundi n.k.
Filipino
1
0
2
49
Assenga Jr
Assenga Jr@assengajrr·
@Shaith_1 @midiayao1 Afrika tumeshindwa kuishi kwenye tamaduni zetu, tuko confused 😁 Ukikataa utamaduni wako lazima uwe mtumwa tu
Filipino
1
0
0
35
Shaith
Shaith@Shaith_1·
@midiayao1 @assengajrr Mzee umasikini ni janga la Afrika. Ukienda Duniani nchi zenye waislamu wingi ni matajiri sana. Hata nchi zenye wakristu wingi Afrika ni majanga tu mzee...
Indonesia
1
0
1
36
Graphic Designer
Graphic Designer@midiayao1·
@assengajrr Tuwe Wakweli Kaka Sehemu Zenye Uislam Mwingi Umaskini Umetawala Kuna Tanga, Kigoma na huko ulipopataja Umaskini ni Wakutupa
Indonesia
3
0
1
63
Jogoo Pori
Jogoo Pori@sindai_mabula·
@mshambuliaji Njia ya kimataifa kwa urithi wa dunianthen IRAN aileteee mizengweeee. Trump akaisambaratisheee kabisaaa IRAN wakiendelea na upimbi waooo
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
3
0
1
400
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema hataruhusu utozwaji wa ada au ushuru kwa meli zinazopita katika Mlango wa Hormuz, akisisitiza kuwa njia hiyo muhimu ya kimataifa inapaswa kubaki wazi kwa usafirishaji wa mafuta na biashara nyingine za baharini. Kauli hiyo imekuja wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuathiri shughuli za usafiri katika eneo hilo muhimu la Mashariki ya Kati. Mlango wa Hormuz ni moja ya njia muhimu zaidi duniani kwa usafirishaji wa mafuta, ambapo sehemu kubwa ya mafuta ya dunia hupita kila siku. Wachambuzi wa masuala ya nishati wanaonya kuwa hatua yoyote ya kuzuia au kutoza ushuru katika eneo hilo inaweza kusababisha kupanda kwa bei ya mafuta duniani. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
15
6
241
13.6K