ทวีตที่ปักหมุด
ShealerJ
3.7K posts

ShealerJ
@shealerjohn77
## a businessman dealing with phones and phone accessories 📱📱 @chelseafc fan @simbasportsclub fan
daressalaam เข้าร่วม Temmuz 2021
834 กำลังติดตาม524 ผู้ติดตาม

@Boanerge_ @erickmunis30069 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Dah kaka hizi fani za watu usiingilie bila kujua kaka watu tumekaa darasani miaka mi3 kusomea haya
Anyway amini unavyo amini🤝
Indonesia

@shealerjohn77 @erickmunis30069 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Kama nikikupa 1000,ukaenda kununua kitu, the ukanirusidhia 2000 jua umelipa riba(ya 100%)
Kama nikikupa 1000,ukanunua kitu kupata faida, kwenye faida unayopata ukanirudishia 1500,jua umelipa riba ya 500.
Haijalishi jina utakaloipa io faida unayonigawia ni riba
Indonesia

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Ndio mana mekuambia tiba yenye marlzo mengi usionekane ni riba. Si wakule gari kwa bei ya sokoni urudishe kile kile
Indonesia

@Noble_design_tz @MsomiKhan18 Unajua Nini maana ya riba kwanza... Dah ila watu mna vichwa vigumu
Indonesia

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Wanakupa riba yenye maelezo mengi isionekane ni riba
Indonesia

@erickmunis30069 @Boanerge_ @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Kwaiyo mm nikinunua kitu cha 1000 niuzie kwa 2000 ili nipate faida hyo ni riba tayari 😂
Filipino

@Boanerge_ @shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 😂😂😂😂sasa mali ya mil10 imeuzwa kwa 15 hiyo 5 si ndo riba? Au mfano uliotoa sio sahihi? 😄 🤣 😂 😆
Indonesia

@Boanerge_ @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Riba si inakuwa calculated kwa percentage kaka sasa mm ninunue bidhaa kwa 1000 niamue kuuza kwa 2000 Kuna riba apo nime calculate Kwan si ni biashara tu ya kawaida nimefanya ili nipate faida sasa hiki kitu ndo kwenye uislam imeruhusu sijui umenipata
Filipino

@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Sasa ukiuza milioni 15 ,si tayari umeweka riba ya milioni 5 hapo?au wanacalculate vipi kupata fedha ya kuongeza juu ya mtaji?
Indonesia

@dkpress3 @Nalee255 @MsomiKhan18 Nimesoma Islamic banking ifm semister nzima nimepiga Banda langu sasa sijui huo ufahamu Gani unao usema ndugu
Eesti

@shealerjohn77 @Nalee255 @MsomiKhan18 Uwe unaelewa sasa ukielekezwa. Najua lengo lako lilikuwa kupata ufahamu
Indonesia

@Shaith_1 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Nina degree ya banking and finance IFM Islamic banking nimesoma mwaka wa pili semester ya 1 Nina A yangu safi kabisa
Indonesia

@shealerjohn77 @OfficialKyejo @MsomiKhan18 Na ukitaka kujua hilo, nenda chuo ukasoma alaf kaombe Islamic Bank wakusomeshe. Hiyo ndio njia rahisi ya kujua. Nyengine hadi uwe na connection za kuoewa pesa mkononi
Indonesia

@NoblyHD @zeelao_og_ Mhhh iphone current series mbona zinaingis earphones mzee
English

@zeelao_og_ Endelea kujifariji ndo nyie mna simu matoleo ya miaka mitano nyuma mnaziona bora updates bob
Indonesia

@OfficialKyejo @MsomiKhan18 Ndo hvyo wanapata faida kwa kufanya biashara ya kawaida tu kama wanavyo fanya wengine bila kuweka riba ambayo dini ya kiislam ndo inaruhusu hvyo
Indonesia

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Aha kumbe sasa kvp nione linauzwa million 10 then waniambia million 15 bas kama ni ivo wanapata faida tuu na sio kwamba hamna riba ipo ila naona kupitia biashara sasa
Indonesia

@Nalee255 @dkpress3 @MsomiKhan18 Hiyo sio riba ni biashara tu ya kawaida imefanyika kwa dini yao waislam inaruhusiwa
Indonesia

@dkpress3 @MsomiKhan18 Sawa lkn mfumo ni tofauti kitu ambacho kinawaepush wao kuonekan wanatoz riba
Indonesia

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Ni lugha tu, traditional banking, vyanzo vya mapato ni hivyo viwili tu. Mengine ni lugha tu
हिन्दी

@dkpress3 @MsomiKhan18 Hakuna riba kwenye bank za kiislam wanacho fanya wao ni kuingiza nakubaliano ya kibiashara ambayo inaruhusiwa kwa dini Yao mfano unataka mkopo wa gari la million 10 wanakununulia gari alaf wanakuuzia kwa milioni 15 utalipia kdg kdg dini Yao inaruhus hyo sio Rina kwao ni biashar
Indonesia

@MsomiKhan18 Benki zinapata faida kwa namna mbili.
1. Funded Income (Interest Income)
2. Non Funded Income ( Fees and collections)
Tofauti na hapo ni Lugha tu, hakuna Benki haitozi riba.
Italiano

@mananajr_ @emabilly2001 Kwa huku bongo itakuwa kesho alfajiri 20/04 saa 10 alfajiri
Indonesia













