
@gabyconscious @huggingface Final year project niliruka na model ya huggingface. Event za AI za Kaleb zilinipa mwanga
Filipino
DJF
1.9K posts












Africans at global stage


Nilipokuwa mdogo,kuna binti jirani aliitwa Zamda,nilikuwa nampenda, alikuwa anavaa hijab.Rafiki yangu akawa ananiambia,Zamda hana dhambi.Kwa hiyo nikawaheshimu sana wanawake wanao vaa hijab. Mama Samia alipokuwa Rais, nikamkumbuka Zamda,nami nikasema moyoni Mama Samia hana dhambi