
@MbyeMustapha @DavidYambio Can you quote how the Quran propelled or supported Slavery?
English
king
152 posts









Hivi kuna any successful Piramid Scheme that you Know? Maana karibu zote watu lazima walie.










Global shipping efficiency could be drastically improved if Africa didn't exist:












Ukiacha yote yaliyowapata, ila Iran imejifunua kwa dunia na watu ambao walikuwa hawaielewi sasa wameitambua vizuri. Iran sio nchi nyepesi kabisa, hawa jamaa ni watata, Iran imejengwa kwa uongozi na mipango madhubuti, pia imejengwa na watu wataalamu wanaoipenda nchi yao.



Iran wametoa funzo kubwa sana duniani - self-reliance ni nguzo kuu ya taifa lolote linalo declare 'sovereignty'. they've officially become a super power.

