Mastermind

6.4K posts

Mastermind banner
Mastermind

Mastermind

@therealmsamilo

Arsenal &Yanga die hard fan entrepreneur & baharia mwandamizi

Mtwara, Tanzania เข้าร่วม Temmuz 2014
1.4K กำลังติดตาม733 ผู้ติดตาม
US Embassy Tanzania
US Embassy Tanzania@usembassytz·
Usiku wa kuamkia leo, @NASA imezindua misheni ya kihistoria kwa kuwapeleka wanaanga wanne katika safari ya kuzunguka Mwezi, hatua kubwa mbele katika uchunguzi wa anga za mbali. Misheni ya Artemis II itaweka msingi kwa wanaanga kuchunguza Mwezi kwa ajili ya ugunduzi wa kisayansi, manufaa ya kiuchumi, na kusaidia kujenga msingi kwa safari za kwanza za wanaanga kuelekea sayari ya Mars. Tazama uzinduzi huo na utupe maoni yako kwenye sehemu ya maoni! #Freedom250
Indonesia
5
5
34
2K
Jerry Msechu
Jerry Msechu@Pie44LH·
Vijana wa 30 -45 sasa hivi wanaongoza kwa kufa kwa Pressure na Stroke.. What went wrong? 🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️🤷🏽‍♂️😪
Filipino
26
19
224
18.7K
Mastermind
Mastermind@therealmsamilo·
@DrScenarios @gray_swai @giboretz Hatujawahi kufika 89 nafasi ya huu zaidi ni 93 Mwaka 2010 tena ilitoka tulimfunga New Zealand wakati anajiandaa kwenda SA kwenye kombe la mabara pale uwanja wa taifa now benjamin mkapa 2-1
Indonesia
0
0
0
11
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Tanzania kwenye msimamo wa FIFA tangu mwaka 2000 (Msimamo wa mwisho wa mwaka) 2000 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 140 2001 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 149 2002 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 153 2003 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 159 2004 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 172 2005 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 165 2006 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 110 2007 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 89 2008 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 99 2009 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 106 2010 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 116 2011 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 137 2012 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 130 2013 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 120 2014 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 105 2015 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 132 2016 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 156 2017 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 147 2018 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 138 2019 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 134 2020 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 135 2021 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 131 2022 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 130 2023 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 121 2024 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 106 2025 ➡️ 🇹🇿 FIFA Ranking: 112 Nafasi ya juu zaidi 65 (Feb 20, 1995) Nafasi ya chini zaidi 175 (Oct 15, 2005)
TheProtégéTZ tweet mediaTheProtégéTZ tweet media
Indonesia
8
8
181
38.7K
de son
de son@gray_swai·
@giboretz 2007 tulifanya nn tunatoka 110 had 89
Filipino
6
0
4
3.4K
Mastermind
Mastermind@therealmsamilo·
@ZenjiboyZnz @Noedson_tz Watu muda wote manakula vyakula rojorojo kulainisha mkundu kwa hiyo lazima upondee ugali
हिन्दी
0
0
1
27
Mr IBU 🇪🇦
Mr IBU 🇪🇦@ZenjiboyZnz·
Tangu nizaliwe sijawahi kula ugali, na sitokaa kuja kula ugali.... I can't eat those fvcking swallow food 🚮 ✍️✍️
Filipino
38
17
92
14.5K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Sema hii ngoma ikiendelea miezi kadhaa itakuwa noma 🙌🙌
Indonesia
8
16
251
13.3K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Miaka ya nyuma kuna mataifa yalikuwaga hayana ngozi nyeusi kwenye team nzima, lakini zama hizi timu za Taifa za ulaya huwezi kosa ngozi nyeusi hata moja.
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
28
20
244
7.3K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Filipino
44
20
25
3.6K
Mastermind
Mastermind@therealmsamilo·
@Eric__Bernard Huu ni zaidi ya ujinga kwa hiyo hali za kipato pia tunafanana na Norway sio
Indonesia
0
0
1
369
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
MR BEN tweet media
Filipino
325
31
151
81.7K
Mastermind
Mastermind@therealmsamilo·
@MarekaMalili Hata kama ingekuwa kweli lisingeweza kusaidia kwa sababu kule ni mbali sana hapo kitu pekee cha kutusaidia ni kuomba hii vita imalizike
Indonesia
0
0
2
182
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ila si naliona mahali wanasema tumevuta Wese la Aliko Dangote?
Italiano
27
15
233
10.4K
Mastermind
Mastermind@therealmsamilo·
@justyfromNorth @ayubu_madenge Kwanza sio RDC yote ina vita ni mashariki tu lakini kitu kingine sidhani kama kuna mchezaji hapo anacheza ligi ya nyumbani kwao kuna wengi hapo wamezaliwa na kukulia Ulaya
Indonesia
0
0
0
20
chalkboard teacher
chalkboard teacher@justyfromNorth·
@ayubu_madenge Congo yenye vita inaishinda Tanzania kisiwa Cha amani kimichezo chenye doa sugu la Oct 29!! Msigwa uwanja wa bil 180 kasign kwa bil 300+ eti CAF wameongeza grades kwani kabla ya kutupa AFCON caf hawakutupa viwango vya viwanja wanavyotaka? Msigwa azomewe aone ajibu UWoooooo uwooo
chalkboard teacher tweet media
Indonesia
1
0
3
271
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Baada ya miaka 52 kupita, hatimaye DR Congo wamefuzu tena kushiriki World Cup. Hii itakuwa mara yao ya pili kushiriki michuano hiyo, mara ya kwanza ilikuwa 1974 huko Ujerumani tena wakati huo nchi yao ilikuwa ikiitwa Zaire. Sasa wamepangiwa kundi K pamoja na Portugal na Colombia.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
8
46
727
10K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Kipande cha Tano cha Mradi wa SGR Mwanza–Isaka (km 341) unaogharimu Sh trilioni 3.06 Utekelezaji wa jumla wa mradi huu wa umefikia asilimia 68. 51% madaraja asilimia 90 na utandikaji reli asilimia 53, huku kazi za tuta, makalavati, madaraja na miundombinu ya vituo zikiendelea kuratibiwa. Epukeni uzushi na propaganda, hakuna kilichosimama Kazi inaendelea!!!
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Kigogo Media@kigogo2014

Wazalendo na watetezi wenzangu tunapata taarifa nyingine kuwa kampuni yetu pendwa ya kichina ya CCECC pia ilipewa kazi ya kujenga SGR Lot 5 ( Isaka-Mwanza) urefu wa kilometa 341 na kulipwa 3.12 trilion TZS Mpaka sasa mradi umefikisha 4% ya utekelezaji!.. Tuendelee tu au bado!..😁😁

Indonesia
8
17
55
10.4K
brother
brother@ChelS_brother·
@therealmsamilo @AbroadTanzania sugu ni investor toka kitambo sana lakini pia unaweza kuwadanganya watu ambao hawajafika hotel hii hii ni billions za kutosha ambazo huwez kupata hata ukae mbunge miaka 100 pumbavu kabisa 🙌 hii hotel ina sensors karibu kila kitu acheni ukuma kabisa 😂
Indonesia
1
0
0
21
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Mtumishi wa Umma anayedaiwa kuwa mwadilifu anapata wapi uwezo wa kujenga Hotel ya Namna hii?
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
78
60
698
49.4K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
HABARI MBAYA KUTOKA MKOANI GEITA Mgodi wa uchimbaji wa dhahabu wa Geita unaojulikana kama MSASA ambao unamilikiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigela huku hisa za Kiongozi huyo zikisimamiwa na Cosmas Ignas, mtoto wa Samia Abdul na mtoto wa mkurugenzi wa usalama wa Taifa Mombo. Leo yani Machi 29, saa 5 asubuhi mgodi huo umeua watu zaidi ya 200 baada ya kufukiwa na kifusi wakiwa ndani ya mashimo, Kikosi cha gasia FFU wametanda eneo hilo wakati zoezi la kuopoa miili iliyonasa kwenye kifusi likiendelea Waandishi wa habari wa Mkoa wa Geita wamehongwa pesa ili wasitoe habari hii. Hakuna mtu yoyote ambae anaruhusiwa kusogea maeneo ya Maduara na mpaka sasa miili ya watu zaidi ya 20 imeopolewa kwenye mashimo hayo lakin bado watu wengi wako chini.😭 Hii ndio Serikali ya Nduli Idd Amin Mama uhai wa watu kwao sio kipaumbele. Repost 200
SATIVA tweet media
Indonesia
26
115
655
44.8K
Chapo Guzmán 🇹🇿
Chapo Guzmán 🇹🇿@GuzmnChapo1·
Arsenal Mmeshindwa ya Mo.Salah nawasogezea ya Rooney. Leteni ya legend Wenu kama hii
Chapo Guzmán 🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
18
262
5.7K