joseph msusi
7.3K posts


@Jizzlewantandu Biashara ni strategy yaani kiutaniutani anaweza kutoboa katikati yao
Indonesia

@INFLUENCERjr @Ngattaboe99 Baraza ndo linaweza kusuggest kufukuzwa lkn mkurugenzi ndo mwenye maamuzi
Indonesia

@Sulphuric_aci17 @ClaraFundi Kuanzia zile game za Cafcl,droo alizotoa kabla ya International break kuna zile akishinda kwa shida karudie post zako huo wakati halafu hurudie kusema naangaria football au ni hisia za wakati husika zinakuendesha
Indonesia

@JosephMsusi @ClaraFundi Yanga akipoteza mechi haya yanatokeaga😀😀mara ya mwisho yanga kupoteza mechi kabla ya juzi ni lini? Kuna muda hata kijibishana na mtu kama wewe inakua jau yani
Indonesia

Yani Depu hakuna kazi kisa hajafunga game za 5imba na Azam??! Haya😹
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17
Ila Yanga sometimes 😀😀hakuna kazi hapa
Indonesia

@chapo255 @Adv_innocent Bingwa ilikuepo juzi tu hapa hata sio miaka ya 90
Indonesia

@Sulphuric_aci17 @ClaraFundi Hamna football unaongeaga wewe hisia za mechi zinatawala
Yaan yanga ikipoteza game haya hutokea
Indonesia

@ClaraFundi Tatizo unaweka ushabiki kila pahala, sisi tunaongea football na wala sijaanza jana wala juzi kuandika kuhusu jamaa kwahiyo juu ya swali lako jibu ni hapana ukitaka kujua kwanini nitakufundisha pia
Indonesia

@krisBangala Wanajaribu kulazimisha yanga waumie au waanze kushamburia makocha na wachezaji lkn wao wamechagua sherehe tu
Indonesia

@bboy_ogast @chapo255 @Adventure_36 Wasanii wote wa wcb walitambulishwa clouds kasoro mbosso tu ko clouds ilimsaidia mpaka pale walipokosana
Filipino

@JosephMsusi @chapo255 @Adventure_36 Wakat mavoko anaenda WCB mondi alikua kashatoboa bila Clouds na WCB ilikua tayar ni lebo kubwa
Filipino

@shaffihdauda1 Wachambuzi wanajifanya wanampa moyo wakati wao ndo wanamsema
Mm cnaona shabiki wa yanga anaemlalamikia huyo wengi wanaongelea kushuka kwa uwezo wa wachezaji wao na timu yao kiujumla
Indonesia

Calm down Edmund John, najua DM
yako itakuwa bize sana leo wapo watakao kutia moyo lakini wapo pia watakaokusema as if haujawahi kufanya jema
Kukosea kupo na leo umekosea wewe, huu sio mwisho wa career yako stay strong
Ujumbe wangu kwa Wananchi, wachezaji wengi wazuri wamewahi kupotea baada ya kukosea na waliopaswa kuwapa moyo kugeuka na kuwasimanga, Edmund yupo Yanga lakini Taifa linamuhitaji mpeni moyo badala ya kumpoteza

Indonesia

@Wakanda_republi Bongo wanasubirigi hupate matokeo mabovu siku moja wajimalize
Indonesia

Bro said Duke Abuya is average😁
BracuszCadabra@BracuszCadabra
🔰 Nawaelewa Wanaosema Damaro Camara anafika sana maungoni anafinya sana kasi ya wapinzani Imewapeleka mbali na kusema ni average player hatukuapaswa kumpa NIDA ya biskuti Niwaambie tu He is the best DM you have kwenye hiyo squad Duke is an totally average with consistency
English



















