silencerR

507 posts

silencerR banner
silencerR

silencerR

@XMusk04

For Fun

Seattle, WA 加入时间 Şubat 2025
63 关注52 粉丝
Bilaal- BD investing
Bilaal- BD investing@bdinvestingg·
If you invested $10,000 in SanDisk 1 year ago, you would have… ~ $268,721.​​​​​​​​​​​​​​​​ today. $SNDK 😳
Bilaal- BD investing tweet media
English
10
10
130
10.2K
silencerR
silencerR@XMusk04·
@ChachaWegelo Fungua duka la dawa dogo tu then unakua mdg mdg may be unaweza otea bingo ukafungua kubwa zaid
Indonesia
1
0
5
329
Mturi, C. ✨
Mturi, C. ✨@ChachaWegelo·
Fresh Medical Doctor ..... Tsh 10M on the table, afanye kipi kujikwamua kiuchumi???
HT
10
0
50
3.9K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@XMusk04 @FaradayMtz01 Jack Ma ni service provider anayesaidia wauzaji na wanunuaji wa bidhaa kukutana na kufanya biashara. Jack ni intermediary ambayo kama haipo traffick ya biashara inapungua sana. Impact yake kubwa mno, wakati hawa waliosemwa hapa hawana relevant impact in supply chain or production
Indonesia
1
0
0
123
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Ukiwa na akili timamu Vunjabei, Niffer, Chief Godlove, Diamond, Lugumi n.k huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu waliofanikiwa kiuchumi. Sababu, Hawawezi kuchangia 4% ya GDP ya nchi wote kwa pamoja. Pili, sio producers wa bidhaa wao ni kama suppliers Real wealth is productions.
Indonesia
54
63
724
28.2K
silencerR
silencerR@XMusk04·
@GraceNguo mke wangu kama anataka zaid ya watatu atahudumia yeye 😎
Indonesia
1
0
1
353
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Nilikua naongea na old classmet ambaye anapenda kua Neurosurgeon USA. Nikamwambia kwamba ni ngumu sana kuipata yaani almost impossible. Hizo specialty most of the time wanapewa wazawa. Akasema kama hivyo bora abaki bongo. Wewe unaonaje? Ni bora uwe neurosurgeon bongo utimize ndoto yako ya kua na shule bila pesa au ufanye speciality yeyote USA afu uwe na mpunga mwingi?
Dr. Kala. MD tweet media
Filipino
10
2
31
2K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Kwahio Raisi kukosea kuongea mmeifanya ni Agenda Ni kama hamna mambo ya msingi ya kujadili Nyie hamjawahi kukosea kwenye kuongea? Upuuzi!
Indonesia
116
14
84
11.9K
silencerR
silencerR@XMusk04·
@baraka_asege Wanashangaza sana yan mtu kawekeka assist zote kwenye njia ata angekuwa Selemwalim angefunga alafu hawampi Man of the march
Indonesia
1
0
2
403
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Only for Footballers How Does Mudathir Being MOTM over Allan Okhelo.? 🙄
Mr.Mbeya tweet mediaMr.Mbeya tweet media
English
9
9
308
7.3K
silencerR
silencerR@XMusk04·
@Wakazi washington state ni $16.5 hr nomaaa
English
0
0
2
1.7K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Usiishie hapo… Pia ongezea CURRENCY DISPARITY. Kuwa 1$ ni sawa na Tsh 2500 (at least) na kima cha chini cha mshahara cha Wastani ni $8 kwa saa, ambayo kwa siku ya masaa 8 ya kazi ni $64 (Tsh 160k) Soo mtu wa chini kabisa analipwa kwa siku hela ya kutosha kunanunua litre hata 42 za wese. Mshahara wa Daktari ni 900k kwa mwezi. So kwa siku ni 30k, so anaweza nunua litre 8 tu (na huyo ni Daktari) Tanzania sidhani kama kuna watu zaidi ya million 5 wanaolipwa at least 900k . NDIO TATIZO LA VIONGOZI HARAMU
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki

Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70

Filipino
32
184
903
50.5K
Jino Ukucha
Jino Ukucha@JinoUkucha·
@Wakazi Kima cha chini cha mshahara wa wastani kwa bongo hivi ni shi ngap?
Indonesia
3
1
1
644
tiba asili
tiba asili@tibaasili3·
@Twaha_Mwaipaya hapo hatazami quality ya mafuta wala thamani ya pesa yetu,hapa kazi tunayo
Filipino
2
0
6
1.3K
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Tulieni Tanzania MAFUTA bei ipo chini huko Europ mafuta ni Euro 6000 marekani Dollar elfu 8, humu hamna MTU.
Indonesia
153
153
938
31K
Dr michael.
Dr michael.@MichaelMad29165·
@Twaha_Mwaipaya Hivi kwanini viongozi wetu wa serikali hawaweiz kusolve matatizo ya wanachi wao bila kujifananisha na mataifa makubwa ambayo kimsingi yamtuzidi kila kitu.
Indonesia
2
0
10
1.5K
Msambinungwa😍😂
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082·
Unajua tulipofikia now hii kimara suka ijengwe daraja kama la kimara mwisho waenda kwa miguu tupate nafuu, aiseeh this is to much waah💔yani leo nimekoswa koswa na boda boda hadi saa hii bado natetemeka 🙌🙌
Indonesia
6
3
27
2.3K
silencerR
silencerR@XMusk04·
@Henrydan25 @emabilly2001 Faida yake ni kwamba utajenga nyumba alafu baada ya miaka ya bond kuisha utarudishiwa pesa yako, may be ni miaka 20 au 15 lakn utarudishiwa mil 100
Indonesia
0
0
0
191
Beast
Beast@emabilly2001·
Wafanyakazi wote waliosajiliwa na Dp' world wana nafasi ya kuomba mkopo kiwango cha chini kuomba kwa mtu wa level ya chini kicheo ni million 60😄...muhandisi wenu nauwezo wa kukopa mpaka million 100 within a week na zikaingia je ninunue gari au nyumba 🥲💣
Beast tweet media
Indonesia
23
9
259
23.2K
MightbeOj
MightbeOj@MightbeOj·
@SportsarenatzTz juzi bandani kuna mshikaji kasema hili gueye ni machachari ila hana hatari, ni kama akina mpanzu na kisinda tu
Indonesia
4
0
4
1.6K
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 | Tuhamie kwa mchezaji anayeitwa Libasse Gueye. Alipoingia katika timu niliona ataleta jambo jipya. Ana kipaji maridhawa lakini nimeanza kuwa na mashaka na msaada wake katika timu. Kipaji siyo kila kitu. Kipaji inabidi kilete bidhaa ya mwisho Bao au pasi ya bao. Libasse anahitaji kubadilika.” — Legend, Edo Kumwembe.
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Filipino
28
18
621
31.1K