
@Master_plan7 Ukirealize how women are desperate for stable r'ships hutajiuliza hayo maswali.
Română
KBS
2.2K posts






















VIDEO: Mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Rahma Mwita, leo Mei 11, 2025, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia chama hicho. Tukio hilo limefanyika katika ofisi za ACT Wazalendo Kata ya Kwa Tumbo mkoani Dar es Salaam, ambapo Rahma @RahmaMwita alikabidhiwa fomu na Kaimu Katibu wa ACT wa Jimbo la Kinondoni, Abdul Mateleka. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Rahma amesema ameamua kujitokeza kutokana na kiu ya kuwatumikia wananchi wa Kinondoni na kuleta uwakilishi wa karibu unaozingatia mahitaji ya wananchi. Kwa upande wake, Mateleka amemtaka mtia nia huyo kuijaza fomu hiyo kiufasaha na kuirudisha katika ofisi hizo ili kuendelea na mchakato zaidi wa kiuteuzi.






