KBS

2.2K posts

KBS banner
KBS

KBS

@abeid87

Tanzania Katılım Mayıs 2013
200 Takip Edilen83 Takipçiler
KBS
KBS@abeid87·
@Master_plan7 Ukirealize how women are desperate for stable r'ships hutajiuliza hayo maswali.
Română
0
0
0
11
Juma ‘Machozi’ Ramadhani
Juma ‘Machozi’ Ramadhani@juma_machozi·
Mi Huwa Najiuliza Sana Kama Mwanaume Anatakiwa Awe na Nyumba Nzuri Gari nzuri Kabla Ajaoa.. Ni vitu gani mwanamke Anatakiwa Kuwa navyo Kabla Ajaolewa?🤔
Filipino
85
59
374
19.7K
KBS
KBS@abeid87·
@CarolNdosi Sio maigizo ni kweli na watoto wa kike wameingia huo mkumbo wanajiita " pisi msela" wamejizima data, chanzo ni umaskini na malezi, serikali imejiondoa na malezi hakuna dira ya kulinda kizazi
Indonesia
0
0
2
1.1K
KBS
KBS@abeid87·
@ayubu_madenge Biashara ya faida, retirement package nzuri
Română
0
0
0
4
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Leo Mzee atajiona Shujaa sana, amefanya usajili bora katika historia ya chama chake. Ndani ya siku moja amesajili aliyekuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi Mkuu 2020, aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama, aliyekuwa Mwenyekiti wa kanda nk. Swali ni je jamii inawatazama vipi watu hawa?
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
193
92
1.6K
73.9K
KBS
KBS@abeid87·
@IdrisSultan Wanatamani wawe wadogo siku zote kitendo cha kumuuliza umri kina justify ushamuona age goo unataka uthibitisho,
Filipino
0
0
6
154
Idris
Idris@IdrisSultan·
Hivi kwanini kumuuliza mwanamke umri wake wanasema ni kukosa adabu?
Indonesia
33
14
289
26.1K
Taasisi ya Moyo-JKCI
Taasisi ya Moyo-JKCI@TaasisiMoyoJKCI·
Tanzania na China zimesaini Mkataba wa Msaada wa Shilingi Bilioni 111.2 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete eneo la Mloganzila kuwa Kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Kati
Taasisi ya Moyo-JKCI tweet media
Filipino
21
9
34
19.7K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
⚡Baada ya kuwasha moto kwenye mechi kadhaa za ligi pamoja na shirikisho Afrika, wababe wa soka la Afrika,Wydad wapo na mipango kabambe ya kuitaka saini ya "Inspector" Karaboue kutoka Simba sports! JE WAMRUHUSU AONDOKE?!!.
iddynonga_ tweet media
Filipino
10
17
803
17.6K
KBS
KBS@abeid87·
@Octavianlasway Kuna mtu atajitokeza atasema ni ishara ya kukua kwa uchumi kama alivyosema kuongezeka kwa magari ya usajili wa namba E.
Indonesia
0
0
2
172
Eng Octavian Lasway
Eng Octavian Lasway@Octavianlasway·
This gentleman is raising very valid points that many economists often overlook or avoid discussing openly. In the context of Tanzania, there is an urgent need for comprehensive economic reforms that will drive positive transformations across multiple sectors of the economy.
English
18
66
256
30.4K
Ole King’oso
Ole King’oso@KingosoC·
In simple term! Taifa linahitaji note zingine at minimum ya elfu 20, na elfu 50. TZS 20,000/- Na TZS 50,000/- Tusione aibu, those are mathematical facts. Hela yenye Thamani kubwa haiwezi kua ndio inazunguka zaidi. Fedha inayozungula sana inatakiwa kua ile ya Thamani angalau ya katikati.
Ole King’oso tweet media
Indonesia
6
1
7
1.4K
KBS
KBS@abeid87·
@swahilitimes Hii si ishara nzuri, kutumika sana kwa noti ya 10k ikiwa ndio last/largest domination inaonyesha ni namna gani thamani ya pesa ni ndogo.
Filipino
0
0
0
40
KBS
KBS@abeid87·
@Rchacha1298621 @eastafricatv Mbona tunachimba gesi mtwara, teknolojia yetu ni sawa na Russia au Norway ktk gesi? Hatuna political will tu ya kumiliki uchumi wetu 100% au na wewe unakubali pia tulishindwa kuendesha bandari zetu mpaka tukawapa watu waziendeshe?
Indonesia
1
0
0
42
Rchacha
Rchacha@Rchacha1298621·
@abeid87 @eastafricatv Wengi humubmmenishambuliaxna kutukana kwa kutumia ubishi wa Simba na yanga. Nawaongezea pia kasomeni consumer theory . Uchumi hauendeshwi kwa amri za marufuku bali nguvu ya soko ndio maana ukienda Germany kuna mtu ananunua gari Peugeot lakini France kuna mtu ananunua Benz.
Filipino
2
0
0
270
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#UPDATES "Wakati bwawa la mwalimu Nyerere linajengwa nikaishauri serikali chini ya Rais Magufuli, unataka kujenga bwawa unataka kujenga SGR unahitaji chuma, sisi tuna chuma pale Liganga, Ludewa tuna chuma cha kuchimba miaka 100 tuna mlima wa chuma tutatumia hiko chuma hata miaka 100, Mungu akaweka na makaa ya mawe ya kuyeyushia hiko chuma pale pale Liganga, mchanga wa kusafishia hiko chuma akaweka pale Iringa hakuna kitu tunaagiza kutoka nje" "Nikamwambia Rais kabla hatujaanza kujenga bwawa letu la Mwalimu Nyerere tujenge kwanza kiwanda chetu kile kiwanda ambacho kilikuwa kinahitaji Dola za kimarekani Bilioni 3 ambazo ni Trilioni 7.8 halafu tuchimbe miaka 100, halafu ukishajenga hiko kiwanda kingeajiri vijana elfu 60 halafu unamuita mkandarasi ajenge bwawa la Mwalimu Nyerere unampa hela lakini unamwambia chuma utanunua hapa kwahiyo unampa hela kwa mkono huu halafu unachukua kwa mkono mwingine." "Hawakunisikiliza wakanipuuza leo tunaagiza chuma kutoka nje, mwaka jana pekee yake tumeagiza chuma chenye thamani ya dola Bilioni 1.2 sawa na Tsh. Trilioni 3 kwa mwaka, huo ni mwaka mmoja, mwaka juizi hivo hivo kwa miaka 3 tumeagiza chuma cha Trilioni 10 ambacho tungejenga kiwanda chetu cha Trilioni 7.8 tungechimba miaka 100" John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wananchi wa Serengeti. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
132
263
2.7K
167.5K
KBS
KBS@abeid87·
@Rchacha1298621 @eastafricatv Hiyo international trade unayosema wewe ndio huijui vizuri. Unaweza kuchimba chuma, uka outsource technology, uka hire expatriates, nk. Kuchimba ni advantage kwetu kuliko kuagiza na tunaweza hatukua na political will tu.
Indonesia
1
0
1
281
Rchacha
Rchacha@Rchacha1298621·
@eastafricatv Heche rudi kasome uchumi usidanganye kitu ambacho hukijui. Import sio kosa kasome International trade utaelewa basis of trade. Unayo teknolojia wewe? Uafahamu kuna aina kibao za vyuma au unadhani chuma ni chuma tu. Unachukua nadharia za kulima mchicha unaleta katika uchumi.
Indonesia
30
2
17
8.1K
KBS
KBS@abeid87·
@09Vato @eastafricatv Akili na mawazo kama haya ndio yametufikisha hapa, kwa nini uamini huwezi na haujaanza
Indonesia
0
0
0
99
09Vato
09Vato@09Vato·
@eastafricatv Heche anadhani kuchimba chuma ni sawa na kuchimba muhogo. Kwamba ukishachimba unaenda nyumbani kuchemsha unakula. Chuma ili kiwe bomba IMARA ni matokeo ya uwekezaji mkubwa na teknolojia. Ukisema serikali ijenge kiwanda maana yake ifanye biashara, ishindane na kina Kamal na Alaf.
Indonesia
18
0
22
9.1K
KBS
KBS@abeid87·
@mrishogambo Nilidhani Boni Yai kakusingizia, mkuu wewe jasiri sana.
Indonesia
0
0
0
6
Mrisho Gambo
Mrisho Gambo@mrishogambo·
Jana pamoja na Viongozi wa Chama tulitembelea kivuko cha Mto Rajabu kwenye kata ya Sakina. Kivuko hiki awamu ya kwanza imekamilika na sasa tupo kwenye utaratibu wa kuanza awamu ya pili! Kazi na Utu: Tunasonga Mbele.
Mrisho Gambo tweet mediaMrisho Gambo tweet mediaMrisho Gambo tweet mediaMrisho Gambo tweet media
Indonesia
882
97
958
291.8K
KBS
KBS@abeid87·
@rollymsouth Power of social media, CDM wafanye blending of campaigns, waendelee na mikutano pia waandae heavy social media campaigns ktk platforms zote, no reform no election haijaeleweka na watu wa kawaida. Kwa yanayoendelea campaign yao iwe 25% physical 75% digital watafaulu angalau.
Indonesia
0
0
1
352
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Awareness Ni wakati sasa CDM itafute njia za kuwaelezea wananchi kwa lugha nyepesi ni mabadiliko gani inayoyataka ili kushiriki uchaguzi iwe kwa vipeperushi,mitandaoni,press,midahalo,magazeti nk..kuwaambia tu NoReforms haitoshi,wanatakiwa wazijue.
Indonesia
110
328
1.9K
67.3K
KHATIB MCHELSEA 🧠
KHATIB MCHELSEA 🧠@JamadiHatibu·
@EsirEid vyovyote itakavyokua, niueni, nisemeni sijali. Ila hii hulka ya kishki hajaiacha ya kutafuta kuonekana na sifa. Hapo anajikuta yuko sahihi kujifananisha na wasiokua waislam now ashasema hivyo faida gani amepata? Allah amsamehe ila sheikh wetu huyu mropokaji Huwa anafel sana
Indonesia
13
1
15
3.2K
KBS
KBS@abeid87·
@millardayo Bint wa press sasa anarudi nyumbani
Indonesia
0
0
0
22
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo May 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo miongoni mwa Majimbo yaliyogawanywa ni Jimbo la Mbeya Mjini, Jimbo la Chato , Jimbo la Bariadi , Jimbo la Dodoma, Jimbo la Mbagala na Jimbo la Ukonga. Akiongea Jijini Dodoma leo, Mwambegele amesema “Kwa Mkoa wa Dodoma limeanzishwa Jimbo jipya moja ambapo Jimbo la uchaguzi Dodoma Mjini limegawanywa na kuanzishwa Jimbo jipya la Mtumba, Mkoa wa Mbeya limeanzishwa Jimbo jipya moja ambapo Jimbo la uchaguzi Mbeya Mjini limegawanywa na kuanzishwa Jimbo jipya la Uyole” “Mkoa wa Simiyu, Jimbo la uchaguzi Bariadi limegawanywa na kuanzishwa Jimbo jipya la Bariadi Mjini, Mkoa wa Geita yameanzishwa Majimbo mawili ambapo Jimbo la Busanda limegawanywa na kuanzishwa Jimbo la Katoro, na Jimbo la uchaguzi la Chato limegawanywa na kuanzishwa Jimbo jipya la Chato kusini” “Mkoa wa Shinyanga, Jimbo la Solwa limegawanywa na kuanzishwa Jimbo jipya la Itwangi, Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa majimbo mawili, Jimbo la Ukonga limewaganywa na kuanzishwa jimbo jipya la Kivule, pia Jimbo la uchaguzi la Mbagala limewagawanywa na kuanzishwa jimbo jipya la uchaguzi la Chamazi” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
100
32
653
105.8K
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Vijana mjitokeze kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali. Hongera kwako @RahmaMwita kwa kuchukua hatua hii iliyojaa uthubutu.
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Rahma Mwita, leo Mei 11, 2025, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia chama hicho. Tukio hilo limefanyika katika ofisi za ACT Wazalendo Kata ya Kwa Tumbo mkoani Dar es Salaam, ambapo Rahma @RahmaMwita alikabidhiwa fomu na Kaimu Katibu wa ACT wa Jimbo la Kinondoni, Abdul Mateleka. Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Rahma amesema ameamua kujitokeza kutokana na kiu ya kuwatumikia wananchi wa Kinondoni na kuleta uwakilishi wa karibu unaozingatia mahitaji ya wananchi. Kwa upande wake, Mateleka amemtaka mtia nia huyo kuijaza fomu hiyo kiufasaha na kuirudisha katika ofisi hizo ili kuendelea na mchakato zaidi wa kiuteuzi.

Indonesia
8
6
23
2.8K
KBS
KBS@abeid87·
@ExMayorUbungo Kakupambania kwanza kukutoa kwenye msala ndio anakuuliza tatizo lilikua nini. What a fried
Filipino
0
0
0
38
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
NAKULILIA RAFIKI YANGU MDUDE Ni siku takribani 8 tangu uvamiwe, utekwe, ujeruhiwe na kupotezwa ukiwa ndani ya nyumba yako kata ya Iwambi, Jijini Mbeya. Tukio lako limeacha maswali mengi bila majibu, simanzi kubwa kwa ndugu, Jamaa na familia yako. Nilichofanikiwa kujua hadi sasa ni kimoja tu, kwamba kabla hawajafanikiwa kukudhibiti na kutoweka na wewe, ulipambana kwanza mpaka ulipozidiwa nguvu. Damu yako kumwagika ni ishara ya kupata majeraha makubwa katika mwili wako, michuruziko ya damu ni ishara ulichukuliwa na watu wakatili sana. Kukosekana kwako hadi sasa ni ishara kwamba waliokuteka ni watu wenye taaluma na wajuzi wa medani za mapigano katika misheni mbalimbali kwa maelekezo maalum. KUMBUKUMBU; Nakumbuka mara ya kwanza nilipoonana na MDUDE uso kwa uso ofisini kwake Mbozi, mkoa wa Songwe. Nikiwa Diwani wa Kata ya Ubungo nilikuwa nimetumwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwenda Mbozi kusimamia mechi ya timu yetu ya daraja la kwanza ya KMC. Wakati ule ilikuwa bado inaitwa TESEMA msimu wa 2013/14 tulinunua kutoka TEMEKE kwa mtu anaitwa Ndonga lakini tukachelewa kubadili jina kuwa KMC Nakumbuka msafara wa timu uliongozwa na mimi pamoja na Sharif Majisafi (alikuwa Diwani wa kata ya Bunju, CCM) tulikuwa tumetumwa sisi kwa sababu mbili.. Sisi wawili ndiyo tuliasisi vikaoni wazo la halmashauri kumiliki timu daraja la kwanza ili baadae ije kupanda hadi ligi Kuu. Sababu ya pili timu ya KMC (TESEMA) ilikuwa imeshapoteza michezo zaidi ya 5 bila pointi hata moja, tulitumwa Mbozi kuhamasisha timu na kujifunza changomoto za ligi daraja la kwanza. Asubuhi mapema kabla ya mechi nilimkuta Mdude katika fremu za soko, nje ya stendi ya Mbozi, Duka lake dogo la simu na vifaa vya umeme, akiwa na suti nyeusi, mrefu nadhifu lakini jasiri na mwenye kujiamini. Mchana niliachana na Mdude nikaenda uwanjani, kwa bahati siku hiyo timu ya KMC (TESEMA) ilikuwa inaongoza mchezo kwa goli moja Lakini Kwa bahati mbaya mechi ya KMC Vs KIMONDO haikumalizika kwa sababu ya mvua kubwa dakika ya 80. Refa alimaliza mpira na viongozi wa timu zote mbili tuliitwa ofisi ya ya chama cha soka wilaya ya Mbozi ili mchezo urudiwe kesho yake asubuhi kumalizia dakika 10 zilizobakia. Si unajua mizengwe ya mpira tena, kule ofisini kamisaa na refa wakasema mpira haukusimamishwa dakika ya 80 bali dakika ya 50. kwa hiyo kesho asubuhi, zitarudiwa dakika 40 na siyo dakika 10. Jamaa walikuwa serious kweli, timu ya wapinzani wetu KIMONDO FC ilikuwa inamilikiwa binafsi na Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Mbozi (CCM) VURUGU Katika kubishana na kutetea haki yetu ya KMC (TESEMA) nikaanza kutukanana na viongozi wa mpira wilaya ya Mbozi baadae mmoja akanitemea mate pale ofisini na Polisi wakiwemo. Si unanijua kwa utata? Ndugu yenu nikapanda juu ya meza nikamrukia kwa kichwa yule kiongozi wa mpira wa Mbozi. Basi kikanuka mbaya, lakini sisi tupo wachache sana na Jamaa zetu wapo nyumbani na ni wengi sana, Jamaa nikiwa nimekabana kabari na yule kiongozi ukutani, mgongoni nilihisi ngumi nyingi sana kutoka kwa wenzie. MDUDE ndiyo aliingia mlangoni kwa teke, mlango uliokuwa umerudishiwa kwa komeo la ndani ili washabiki wasiingie ndani. Support ya Mdude ilikuwa kama msaada kutoka kwa Malaika, nikajikuta nimepata nguvu upya na mashambulizi yakapungua kwangu baada ya kuwa vichaa wawili mule ndani, tukawa tunarushiana viti mpaka polisi walipotutuliza. RAFIKI WA KWELI Nilimpenda Mdude tangu siku hiyo nakumbuka baada ya ugomvi mashati yetu yamechanika ndiyo Mdude ananiuliza chanzo cha ugomvi.... What a friend...? Anasema alipoambiwa rafiki yako (Bonge) aliyekutembelea ofisini asubuhi wanamchangia ofisi ya chama cha mpira katika fremu za uwanjani Mdude aliita vijana wake wa CHADEMA pale stendi haraka sana wakaja kunisaidia ugomvi bila kujua chanzo cha ugomvi. NAMBA 4 Namba ya 4 ndiyo Jina la utani tunaloitana mimi na MDUDE ni baada ya kuishi Gereza la Ruanda, Mbeya aliniadithia kuhusu vituko vya selo namba 04 ambayo walikuwa wanaishi watu wenye matatizo ya akili (vichaa) URAFIKI Ulikolea zaidi 2016 baada ya Mdude kutekwa 26 August 2016 mara ya kwanza na kuletwa Dar es salaam 01 September 2016. Baada ya kupewa mateso ya kupigwa uume (penis) kwa fimbo na rula na wadada waliokuwa wanamtesa hadi kukojoa damu baada ya kuachiwa mateka Nakumbuka nilimlipia gharama za matibabu ya hospitali mbalimbali za Dar es salaam hadi kupona. MIKASA YA MDUDE NA DOLA Agosti 26, 2016 - Mdude alikamatwa Vwawa, Mbozi Agosti 28, 2016: Mdude alihamishiwa kambi ya FFU Mbeya Agosti 29, 2016 - Mdude alipelekwa Dar es Salaam na kuwekwa Oysterbay polisi. Septemba 1, 2016: Mdude alipelekewa hospitali ya Mwananyamala Dar Es Salaam kufuatia madai ya kuteswa. Septemba 13, 2016 - Polisi wamuondoa Mdude hospitali Mwananyamala na kumpeleka Vwawa. Septemba 14, 2016 - Mdude alifunguliwa kesi ya mashtaka ya kuandika uongo. Aprili 15, 2017 - Mdude ashinda kesi. Novemba 2017: Mdude alikamatwa tena Vwawa na kupelekwa Dar Es Salam ambako aliwekwa kituo cha Polisi cha Central kwa siku 21. Baada ya hapo arudishwa Vwawa ambako afunguliwa kesi ya uchochezi Novemba 2018: Kwa mara nyingine Mdude ashinda kesi Novemba 2018. Januari 2019: Mdude aandika notisi ya kulishtaki Jeshi la polisi Juni 28, 2021; Mdude aachiwa huru na kushinda kesi ya Kusafirisha Madawa ya kulevya. Machi 2019: Mdude alifungua kesi mahakama kuu kanda ya Mbeya na kumshtaki Inspekta Jenerali wa polisi, RPC wa Songwe, Mwanasheria mkuu wa serikali na askari polisi watatu. Julai 14, 2023; Mdude ashikiliwa na Jeshi la Polisi Mbeya Julai 17, 2023; Mdude aachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi Mbeya August 12, 2023; Mdude na Mwabukusi wakamatwa Mikumi wakiwa safarini kwenda Dar es salaam. November 22, 2024; Mdude na Viongozi wengine akiwemo Mbowe alikamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe. December 06, 2024; Mdude aachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi. May 02, 2025; Mdude anavamiwa nyumbani kwake Mbeya na kutoweshwa kusikojulikana. Nakulilia rafiki yangu MDUDE.
Boniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet mediaBoniface Jacob tweet media
Indonesia
156
580
2.7K
127K
KBS
KBS@abeid87·
@EsirEid Nguzo zipo mkuu, usiwe mzalendo sana.
0
0
0
2
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Aaah kmmk… Nli Apply Kufungiwa Umeme Apartments zipo kwenye Renta… Nmemaliza Finishing kila kitu- Wapangaji wanataka kuingia hata Control number ya kulipia sijatumiwa aiseee💔💔💔 Wanasema Nguzo Hazipo Nchini…Miezi minne sasa! Hili tatizo ni kwangu tu hapa Ubungo au hadi kwenu wakuu?? Isije ikawa wanataka kupewa chochote kitu…
Filipino
129
35
503
46.7K