KingK

1.9K posts

KingK

KingK

@MichaRama

call me

Dar es Salaam Bergabung Mart 2013
190 Mengikuti57 Pengikut
KingK
KingK@MichaRama·
@alpro26 @spana_Konki Issue sikulipwa. Nikeeli anaweza kuwa hapati pesa za harakati ila za gavoo anapata na alitumika. Hawa wanaharakati inajulikana wanafadhaliwa! Alipost mambo yakulipwa kipindi kile kukamilisha kazi ya CCM
Indonesia
1
0
1
13
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Si mnaona yadayada nyingi, kasema hawezi kuwataja 😂😂 sasa alikuwa anataka space ya nini? Au tuendelee kusubiri? 😂
Indonesia
38
56
733
17.8K
KingK
KingK@MichaRama·
@spana_Konki Jamaa kamuuliza swali Zuri sana. Yeye anadai hakulipwa, anawafahamu wanaolipwa, hakuona umuhimu wakuwauliza wanaolipwa kwanini hawawashukur Ford akajipostia tu. Yote sawa, aoneshe hiyo DM yahiyo tarehe
Indonesia
0
0
12
1.7K
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
🤣🤣🤣 katoa dakika 2 space iishe ana mambo mengine ya kufanya, bila hata kutoa majibu yoyote 🤣
Indonesia
36
49
748
26.4K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
@EsirEid Kwahiyo Tweet Ya KIKATUNI Ilikua Sahihi Lakini Hakuitoa Kwa Muda Sahihi Na Wazito Wakaitumia Kuwaadhibu WANAHARAKATI Huku Wao Wakikwepa UWAJIBIKAJI Swali La Msingi Madenge Alikua Kazini Au Hakua Kazini? Ukituliza Fuvu Utagundua Madenge Alikua Kazini Na Alivuta Mpunga Mzito Sana.
Indonesia
4
6
66
3.7K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ni Ukweli Usiopingika kwamba WANAHARAKATI WANALIPWA…. hasa waliopo Nje ya nchi kwa huku kwetu na kuna foundations kibao tu za HUMAN RIGHTS ACTIVISTS karibu kila Nchi duniani kote…. ila Kwa yaliotokea Oct 29. haikuhusiana na Malipo haya wala msukumo wa wanaharakati… Wananchi wenyewe tu walichoka… kuna raia waliandamana hata hawana SmartPhone… wengine hawapo hata mitandaoni… Yaliotokea ni matunda ya Udhalimu wa Viongozi wetu…. Huwezi zuia chama kikuu cha Upinzani chama kinachoPendwa zaidi Tanzania nzima- KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU… Umfunge Mgombea Urais wa Chama…anaependwa zaidi na Vijana… Alafu u expect ZERO REACTION… HAIWEZEKANI! Tusijifiche kwenye malipo ya FORD FOUNDATION… Hawajaanza leo kulipwa… wanalipwa toka enzi… kila mtu analifaham hili… wanalipiwa RENT, CHAKULA na UPKEEP ZOTE na hata Kutoa Elimu, yale ma space nk. Ni kazi kama kazi zingine tu. Wengine wanaotaka kuongeza Elimu… wanapewa ufadhili! Hili lipo wazi… na sijui kwa nn WANAHARAKATI wanalificha hili,hawataki lijulikane! Ila haihusiani kivyovyote vile na yaliotokea Oct 29th. Tuliweke hili sawa!
Filipino
223
258
1.3K
56.3K
KingK
KingK@MichaRama·
@bizzybilo @Bughalizah @rollymsouth Nafkiri tuko same page,labda nlikua sijakuelewa toka mwanzo! Mimi nlikua sielewi watu wanaoshadadia sijui aweke space atoe ushahidi wa wanaharakati kulipwa juu ya October 29. Wanaharakati husaidiwa na haya mashirika ni kawaida, swala ni je October 29 watu walitoka kwauongo?
Indonesia
1
0
0
37
🙂
🙂@bizzybilo·
@MichaRama @Bughalizah @rollymsouth Kama umesoma vizuri nimekwambia pambano moja likaleta mengine na hayo mengine ni mapambano madogo madogo ambayo yanasaidia watu kujua uchafu unaoendelea kwenye siasa ila lengo kuu ni serikali watu wanayoitaka na katiba yenye haki kwa kila upande
Indonesia
1
0
0
23
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Kama kuna mwana harakati yeyote anajihsi ni jeuri kwangu, mwambieni aande space me ntaongea kila kitu hadi makosa yangu...Hii dhambi sitaki kufa nayo, akitokea nambieni.
Indonesia
292
100
959
295.4K
KingK
KingK@MichaRama·
@EsirEid Nafkiri shida iankuja "kulipwa" yaani kama vile waliambiwa hamasiheni fujo bila ya sababu ya msingi wakalipwa, lakini pia wakati wakuitumia hiyo kigezo chalulipwa nikama kuhalalisha Serikali wanaposema Tanzania inafata utawala wa sheria kwahiyo hao hawaitakii mema Tz
Indonesia
0
0
1
37
KingK
KingK@MichaRama·
@bizzybilo @Bughalizah @rollymsouth Msaliti ni yupi? Wanaharakati waliotishiwa maisha wakakimbia kuokoa uhai nakupata ufadhili wa mashirika ya kutetea haki nakuendelea kuikosoa serikali? Coz bado sioni kwanini mnataka kujua waliopewa pesa ilhali walichokua wanapigia kelele ni yakweli? Matatizo hayakuwepo?
Indonesia
1
0
0
28
🙂
🙂@bizzybilo·
@MichaRama @Bughalizah @rollymsouth Na katika hayo mapambano msaliti lazima ajulikane aambiwe na anapunguzwa kwenye mapambano kama wengine waliopita
Filipino
1
0
0
24
KingK
KingK@MichaRama·
@KKifaruand1377 @Bughalizah @EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Yuko Nairobi kwasababu gani? Alitishiwa nchini mwake kwa kuikosoa serikali? Hizi NGOs niwatetezi wahaki na democracy. Nahawalipi kwauharakati, niwanawasaidia wahanga harakati. Wanaopambana wengi niwanataka nchi inyooke warudi tufaidi nchi wote.
Filipino
0
0
1
14
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Madenge anajaribu kuhamisha mjadala kutoka kwenye maumivu ya wananchi kwenda kwenye “wanaharakati wanafadhiliwa” suala la kufadhiliwa ni la kawaida duniani kote. Yeye ajibu kwa ku tweet ili tubaki na risiti kama alivyotweet Ile asiombe space! Swali letu ni kwanini alitumika kupush agenda kwamba walioandamana walilipwa? Zed Michele inatakiwa uelewe kitu kimoja kazi ya wanaharakati ni kutetea haki za wananchi, kusaidia waathirika wa mifumo kandamizi na kufichua abuses dhidi ya watu. Ndiyo maana mashirika ya haki za binadamu huwasaidia kwa legal aid, security, makazi na mahitaji muhimu wanapokuwa threatened Na wengi wamekimbia nchi na huko hawajaenda vacation, wengi walikuwa wanakabiliwa na vitisho, utekaji, kesi na mashambulizi kutokana na kazi zao Kwahiyo hata organisation ikiwafadhili hiyo siyo issue mpya. Hoja inayotakiwa kujibiwa na gavoo ni kwanini watu walikuwa barabarani? kwanini wengine walipotea, kuumizwa au kuuawa?
Big@Zephania_Ndaki

Njoenii Na Hoja Pls Sio Matusi. Kama Hao Mnao Waita Wanaharakati Madenge Akionyesha Miamala Yao Walipokea Pesa Nini Mtafanya Ndugu Wananchi Wa Tanzania Mtaanza Jisimamia Wenyewe Au😂😂

Indonesia
13
21
73
8K
KingK
KingK@MichaRama·
@Bughalizah @EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Kinachotokea ni je watanzania wataelewa kwanini wanalipwa? Mimi naamini kabisa wanaharakati husaidiwa (kulipwa si shaihi) nahaya mashirika ya haki za binadamu. Swala ni kwamba, kama walihamasiha, waliyohamasisha si yakweli? Tanzania haina shida? Kwanini tusidili natatizo?
Indonesia
2
0
1
43
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Nnavyuoona hili saga linakwenda kuwalamba baadhi yahoo wanajiita wanaharakatii yawezekana madenge ana kosa ilawale wanaweza kuwa wanamakosa lukuki kiasi kwmba madenge akaonekana malaika 😁😁 Ngoja tusubiri njaa lazima zijitenge na haki
Indonesia
4
0
4
431
KingK
KingK@MichaRama·
@Zephania_Ndaki Sasa nikuulize? Ulitegemea waishije kama serikali zinawatishia? Sawa walilipwa, matatizo ya Tz wameyatengeneza wao?
Indonesia
0
0
0
46
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Njoenii Na Hoja Pls Sio Matusi. Kama Hao Mnao Waita Wanaharakati Madenge Akionyesha Miamala Yao Walipokea Pesa Nini Mtafanya Ndugu Wananchi Wa Tanzania Mtaanza Jisimamia Wenyewe Au😂😂
Indonesia
48
32
179
14.7K
KingK
KingK@MichaRama·
@Mwinshehe07 @trill_09 Mtu ashambiwa nimahdhirika yakutetea haki za binadamu anaulizia faida
Indonesia
0
0
0
5
KingK
KingK@MichaRama·
@azory_j46751 @Mwinshehe07 @trill_09 Ushaambiwa nu watetezi wahaki za binadamu! Sasa kufaodika nanini wao nikuona ustawi wa jamii yeyote ile (binadamu) wakiishi kwa haki. Ni sawasawa nauulize kwanini wakili au jaji analipwa kufanya kazi mahakamani.
Indonesia
1
0
0
11
KingK
KingK@MichaRama·
@bizzybilo @Bughalizah @rollymsouth Point ni kwamba? Wanavyopambania ni vyauongo? Hii katiba tuliyo nayo mnaona nisahihi? Nchi inatawaliwa kwa weledi? Sawa wanaharakati wanalipwa, kilichofanya watu watoke October 29 nimatatizo yaliyotengeneza na wanaharakati au serikali?
Filipino
1
0
0
13
🙂
🙂@bizzybilo·
@Bughalizah @MichaRama @rollymsouth Mpaka sasa tunajua wanaharakati wengi wanahongwa na ccm ila mda wao unafika sahizi ni kudeal na waliojulikana
Indonesia
1
0
1
45
KingK
KingK@MichaRama·
@Bughalizah @Clinton75728311 @rollymsouth Mimi nachouliza? Unadhani kama walilipwa kuhamasiha fujo na serikali inatumia ile tweet, mbona hakukamatwa kuhojiwa kwanini alilipwa kuleta fujo? Kwamba waliokua wanadai no reforms no election walilipwa na wanaharakati kwamatatizo yaliyotengenezwa na wanaharakati?
Filipino
0
0
1
11
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@MichaRama @Clinton75728311 @rollymsouth Haikuwa halali ila kwa nini yeye tu? Kwani hakun wengine? Anasemakuna wengine walilipwa that's why tunataka tuwajue wote nah ili litasiadia na kutupa muelekeo mwingine
Filipino
2
0
0
14
Prince
Prince@lughxt11·
@MichaRama @Innocen89950594 Sasa unifahamu na unanibishia kaz inayoningizia kipato? Kwann nisiwe X wakat bando la buku natamba humu kwasababu X haili bando kama Instagram na uzuri hapa kiwandan kuna Wi-Fi kwaio mda wa chai kama hiv tunapata wasaaa wa kuperuzi kidogo
Indonesia
1
0
0
16
KingK
KingK@MichaRama·
@lughxt11 @Innocen89950594 🤣🤣🤣 sikufahamu ila wewe si kibarua. Tuishie hapo, nakama nikobarua siyo wale wabeba viroba! Usinge hata kuwa humu X
Indonesia
1
0
0
12
KingK
KingK@MichaRama·
@Bughalizah @Clinton75728311 @rollymsouth Swala nikwamba watu wanatafuta uhalali wamauaji ya October 29 kwakisingizio watu walilipwa kuhamasisha fujo. Nani asiejua Ford wanafanya kazi gani? Je ilkuwa halali Madenge kutweet vile katika kipindi kile?
Indonesia
1
0
0
18
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@MichaRama @Clinton75728311 @rollymsouth Daah sikuelewi mkuu sijajua hoja yako inasimamia wapi Mi nadhani lingo ni kujenga kwaio wakati tunajenga kumbe kuna watu wanabomoa huku wakijifanya wanajenga nasi sio sawa Na ndio tunatakiwa kuwajua Usipoelewa na hapo basi tukaushe tu
Indonesia
2
0
1
62
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Mimi sio muoga na naona kila kitu ila busara zangu zimenituma nisiongee chochote,sitaki kuzua mjadala mwingine katika kipindi hiki kigumu(watu hawajapona bado)..Mungu atatuvusha salama na ipo siku tutaongea vizuri kabisa
Nyamandenge Magufuli@NellyNyamandege

Tatizo la Msukuma @rollymsouth ni uoga 😂. Mwanzo alikua na mbwembwe nyingi ila baada ya kukutana na mashambulizi ya wanaharakati akaufyata. Madenge man up na elezea upande wako watu waukubali au waukatae. Usife kinyonge.

Filipino
165
23
332
231.8K