
Drunken Masta ๐
11.9K posts

Drunken Masta ๐
@Drinking_cham
Pesa/Mapenzi/Siasa na Dini isiwe chanzo Cha mimi na wewe kugombana.๐ซก Born:Dar es salaam-Tanganyika Nationality: People's Republic of Tanganyika #AmaniNaUpendo
Simiyu,Kasulu,Kagongwa,Buhigwe ๊ฐ์
์ผ Eylรผl 2020
742 ํ๋ก์639 ํ๋ก์

@MarekaMalili Hii Nchi watu wanapitia mateso iyo nyama inafika hata robo kweli?
Indonesia

Hiyo nyama unaweza hata kuonja chumvi kweli bila kuleta manung'uniko mezani?
Nurse Saphia@StoneSaphia
Huyu baba ndio maana akija kwangu akiondoka harudi anaondoka kama hakuacha mke dar imagine toka nimeanza kupika saa tatu asubuhi mpaka sasa sijaivusha hata mboga huku watu wengine washakula wakasahau naona aibu ๐
เคนเคฟเคจเฅเคฆเฅ

@prossoff changamoto nyingi zinatokana na dawa za majira yale ma vitanzi ndio yanaletaga shida.
Indonesia

Mama mmoja ambae ni amekuwa single mom kwa muda mrefu (ndugu yangu kabisa)
Alikuwa na watoto wawili madume, lakini akawa anatamani sana kuongeza mtoto maana vijana walikuwa wamekuwa ila yeye umri bado bado.
Basi mama kasaka mtoto lakini wapi, kapita sana kwa waganga na waganguzi ila bado hapokei.
Mungu fundi, pamoja na kukosa mimba alipata bwana wa kumuoa huko pwani ya jotoni kwenye soko kubwa Tanzania hapa na mabandari.
Mama akapitisha donee ya michango za harusi na tukatoa.
Picha linaanza ata picha za harusi hatukuona japo sio jambo lililonisukuma kuandika uzi.
Baada ya muda kupita yule mama tukasikia kashika mimba in her 37+ kalea mpaka kujifungua. Ila sasa;
Mtoto alizaliwa akiwa dhaifu, kafika miezi mpaka mitatu hawezi vuta maziwa wala kukaza shingo.
Ni mtoto wa kulala na kulia, kichwa kama hakina shape maalum ya duara japo sio kikubwa.
Mama anampambania binti yake vibaya sana, chaajabu baba na ndugu wa baba hawamsaidii na wanamkana kwamba kwenye ukoo hawana izo shida.
Mama anapambana ivo ivo huko maghorofani kwa wagonjea fire kushoto kama unatoka jagwani.
Filipino

@EsirEid mkoa gani? Tanzania hauna uchawi tena Dar es salaam kati ya watu 10 basi watu nane ni washirikina(wachawi).
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Kigoma kuna Uchawi saana-
Mtu mwenye akili timamu HAWEZI INVEST huko๐
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga
@EsirEid Huna apartments huku Kigoma tajiri na sisi tuufinye?
Indonesia

@PMadeleka Tunawaondoa wamasai Ngorongoro ili tuwape Waarabu? ikiwa tumewapa Bandari, Ngorongoro nini kinafatia? Je Rais anafanya haya kwa faida ya nani?
Indonesia

#TajiriLaKihaya
YESU akiwa nyumbani kwa Simoni Farisayo, kuna yule mwanamke aliesemakana ana dhambi nyingi โKahabaโ Alilia na machozi yake yakamiminika miguuni mwa Yesu.
Akaifuta miguu hiyo kwa nywele zake.
Akambusu miguu na kuipaka mafuta ya marashi.
Na akasamehewa madhambi yakeโฆ
Huwezi jua huenda hio ni njia moja ya kumfamya huyo T akabadilikaโฆ
Msikate tamaa na rehema za mwenyezi Mungu- Hakuna dhambi isiosamehewa almuradi uombe Toba ya kweliโฆ
Masheikh na wachungaji hawapo kwa ajili ya watu wema tuโฆ
CONGRATULATION!@Ponge_Bromine
Dini ya haki inafutulishwa na shoga na masheikh wamejazana ila likija suala la kudai haki, masheikh wanatoka kudai WALI. ๐ค
Filipino

@Makaveli_255 now days demu akikutaka ukimkataa anaamini na wewe ni mmoja wao,tunaishi kwenye nyakati ngumu.
Indonesia

@DaimuManafi brother amka usingizini kumeshakucha ๐ค
Indonesia

Piga marufuku bajaji na boda boda kuingia katikati ya jiji, jenga mfumo wa treni za mjini (Metro) zichukue watu kila pembe ya jiji na kuwamwaga katikati. Funga CCTV cameras kila eneo, weka dustbins kila eneo, sambaza law enforcement officers kukamata wanaochafua jiji.
Ondoa wasafisha barabara kwa mikono, tumia magari ya kisasa kuondoa vumbi na uchafu barabarani, baada ya mwaka mmoja tupime matokeo.
Indonesia


@jwise017 Tatizo linaanzia hapa
1.kipaumbele cha Serikali
2.Kipaumbele cha Rais
3.kipaumbele cha Chama
Eesti

@tonyalfredk uongo ni kansa inayolitafuna Taifa letu.
Filipino
Drunken Masta ๐ ๋ฆฌํธ์ํจ

@MoruoKing ile kugalagala kurudi uwanjani imefanya nione anaigiza.
Filipino

Halafu mtoto mpuuzi kama Martinelli anadhani jamaa amelala chini kupoteza muda.
Ni huzuni
Liverpool FC@LFC
Liverpool FC can confirm Conor Bradley has sustained a significant knee injury.
Indonesia

@Evancelastborn1 @joeselasini ili wakifa gafla msishangae.
Indonesia

@joeselasini Mshauri Mkuu hajapata kutangazwa ๐๐๐ hawa wanatumika kama chambo
Indonesia

@joeselasini ushajiuliza kwann mshauri mkuu JK hajawahi kuteuliwa hadharani?
Indonesia

Drunken Masta ๐ ๋ฆฌํธ์ํจ

Usually a Sunday like today Paratrooper @fbuyobe would bless us with Rhumba and Congo songs, He would translate the songs from Lingala and make us understand the songs we bang in bars, while we drink so called โMachozi ya simbaโ after a good Church session. Please
#freebuyobe

English

@ReganTesla_ pressure yake iko juu sana na kwa yale mafuta yake wamuweke karibu na feni muda wote.
Indonesia












