고정된 트윗
John Madereke🦏
15.8K posts

John Madereke🦏
@Professionature
Wildlife Biologist & Researcher|GIS & Digital Literate|Education Facilitator @ConservNtn |Rewild @wahifadhihub #LetNatureLead 📖Genesis 1&2
Mara, Tanzania 가입일 Mayıs 2021
3.3K 팔로잉2.7K 팔로워

@ayubu_madenge Utafiti wako unatatua tatizo sugu lipi hapa Tanzania?

@sabrimakavel @CavityDamas23 Ahsante sana kwa msaada wako, it's this one.
Sijui kama Mungu alimwepusha na ile dhahama ya mitutu huyu ndugu yetu.
Indonesia

@rayasel94 Usipoambiwa unamkufuru roho mtakatifu nitafute kabla ya jumatatu
Indonesia

@Professionature @JosmanStima Imekuchukua muda gani kugundua hili?
Indonesia

@fintanjr_ @ZenjiboyZnz @Mrpengine47 USA, SA, Germany, Russia, China, India ni kubwa zaidi mara ya Tanzania lakini kwanini tunaishi kwenye shimo la ufukara kama kigezo ni udogo wa eneo?
Tuna rasilimali zote za kutukwamua kwenye hii zahama lakini ndio tunazidi kuzama why usimpongeze tolu kwa kutumia mali vizuri?
Indonesia

@ZenjiboyZnz @Mrpengine47 Rwanda ina square meter karbu na mkoa mmoja tu wa Dar es salaam, kama asingefanikiwa angekuwa ni mjinga wa mwisho...
Indonesia

@Lleopard_ @JosmanStima Huwezi julikana kama ni mjinga ama mpumbavu mpaka pale utakapofungua kinywa kuzungumza.
Indonesia

@JosmanStima Bro, chukua hii ukawasambazie na wengine ambao hawajui bado.
Huyu mwanamke anawazidi kila kitu. wewe, mimi, na wengine wote wanaosoma hii reply.
Anawazidi akili, anawazidi style, anawazidi confidence.
Ukizungumzia Mwanamke, umezunguzia dunia na vyote vilivyopo.
Indonesia

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.
1. Anauza duka la mtu.
2. Migahawani na mahotelini.
3. Bar maid.
4. Muhudumu wa Guest house/Lodge.
5. Muigizaji.
6. Mnenguaji.
7. Saloon za kiume.
8. Muhudumu wa magari.
9. Agent stendi.
10. Mtembeza mboga + matunda.
Hiyo ni aina ya ladies among other ambao wapo subjected ma wanaume aina mbali mbali.
Wanakutana na watu ambao wanazo hela zilishakosa kazi where as kazi yake inabaki ni kurutubisha mbong'o.
Huyo kama hana akili binafsi ni ngumu na wengi ni single moms katoto kako kwa bibi.😁
Indonesia

Kati ya msichana aliyesimama wakati huna chochote na msichana aliyekusaidia kuwa mtu fulani, utamuoa nani?
Nasoma comments
LADE HERSELF@Thebiglade
Between a girl who stood by you when you had nothing and a girl who helped you become somebody, who will you marry??
Filipino

@mlinganya @SeekNaturalLife Umaskini mbaya sana mtoto wa tajiri hawezi kusema hayo maneno
Indonesia

@ayubu_madenge Kizazi kipya cha Tanzania hakitasahau uharamia uliofanyika October 29, Operation Chinjachinja
Indonesia
John Madereke🦏 리트윗함

The past 11 years have been the hottest on record.
Record levels of greenhouse gases continue to drive temperatures higher on land and at sea, with long-lasting consequences for humanity.
Browse @WMO's latest #StateofClimate: wmo.int/publication-se…

English






















