
SAGE!
1.9K posts

SAGE!
@8619sb
We live once! Enjoy every second!



Waiter mpelekee yule kijana Baketi ya Henkein mwambie imetoka meza hii, halafu muulize hataki Crown!?🤔😂



Billnass anatuzoea kwa mziki gani wa kumpa magari manyumba na diffender 🤣🤣🖕🏻



Taarifa ya Ikulu inaonyesha kuwa refinery bado ni proposal inayojadiliwa, kuna possibility ya regional shareholding, kuna masuala ya market access na sustainability, na serikali imeangalia broader energy strategy pamoja na viwanda, logistics, gesi na mbolea. Ndiyo maana nilisema tangu mwanzo kuwa strategic investments hazifanywi kwa pressure za mitandao wala excitement. Unakaa mezani, mnajadili terms, kila upande unaangalia faida yake na mwisho mnafanya maamuzi kwa maslahi ya muda mrefu ya taifa. Prof. Samia anaujua mchezo vizuri sana.



Inaonekana Pofesa Jay na aliyekua Dj wake enzi izo Dj Choka walikua wanakula bata na mitungi sana aisee.. Wote wamepata shida za figo.

@hereiseddy_ Nyie mnamskliza Zuchu si ndo Jau kabisa

@hereiseddy_ Unaijua, Ipod ya apple na Walkman ya sony kijana?😂








