Anuary Mwetta

101 posts

Anuary Mwetta

Anuary Mwetta

@AMwetta30231

Katılım Ocak 2025
508 Takip Edilen22 Takipçiler
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Namibia Mhe. Caesar Chacha Waitara, amemwakilisha Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb), Waziri wa Maji katika Mkutano wa 12 wa Kamisheni ya Bonde la Mto Zambezi (Zambezi Watercourse Commission-ZAMCOM) uliofanyika tarehe 15 Mei 2025 jijini Windhoek, Namibia. Katika mkutano huo wa ZAMCOM unaojumuisha nchi nane za Tanzania, Angola, Botswana, Malawi, Msumbiji, Namibia, Zambia na Zimbabwe, Waziri wa Maji, Mheshimiwa Jumaa Hamidu Aweso (Mb) amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa ZAMCOM katika kipindi cha mwaka 2025/2026.
Jambo TV tweet media
Indonesia
1
0
6
2.4K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@DwayneDedan @earadiofm Ooh nadhani WeWe ndo bogus kabsa siasa za uzalendo watu wake Hao hawapo Leo wangapi wamehama vyama hivi tena walikua na misimamo mikali wew kama huoni siasa ni fursa wenzio wanaiona hiyo ni sehemu ya kutokeaa
Indonesia
0
0
0
10
Boniface Jacob
Boniface Jacob@ExMayorUbungo·
Hellow Kisutu....! We are back. 1.Mahakama inapoenda kugeuka kuwa uwanja wa burudani na ulingo wa mpambano wa Kisheria. 2.Ghafla Kisutu inakuwa na mvuto kuliko Uwanja wa Benjamin Mkapa. 3.Madawati nadhifu ya chumba namba 1 ya Kisutu yanakuwa ya moto kama Jiko kukalia jiko la mkaa. 4.Sheria ni mchezo wa wazi,wenye akili nyepesi yenye rejea ya vifungu vya Sheria na kesi mbalimbali kutoka jumuiya ya madola ndiyo utawala ukumbi wa Mahakama wazee wa JALO na JALA 5.Serikali ilikupata timu bora inaruhusa ya kuunda jopo lake la Seheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Umma,Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali na kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini. (Kadri watakavyo ona inafaa) 6.Upande wa utetezi (Defense) chini ya CHADEMA watakuwa na kikosi maarufu cha "THE WOLVES" Wamepachikwa Jina la "Mbwa Mwitu" tangu Kesi ya Ugaidi ya Freeman Mbowe kwa style yao ya Ushambuliaji wa pamaoja na Ukabaji wa Pamoja,ndiyo maana hata Simba anaogopa Mbwa Mwitu. Kikosi cha "WOLVES" safari hii Kimeboreshwa zaidi kwa ingizo Jipya la Wakili Mpare Mpoki pacha wa Wakili Jebra Kambole ambaye ndiyo Kiongozi Mkuu wa Jopo 1985 ni Mwaka aliohitimu Chuokikuu cha Dar es salaam. Ana uzoefu wa miaka 40 katika Viunga vya Mahakama. Anasaidiwa na The Big Boss Daktari wa Sheria Lugemeleza Nshala ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Muhitimu wa Chuo Kikuu cha Havard kule Marekani waliposoma Marais wa Marekani kama Barack Obama,Bill Gates, John F Kennedy, George Bush,Theodore Roosevelt na John Adams Dimba la Kati anatawala Kiungo Mchezeshaji Wakili Peter Kibatala (Piere) Bingwa wa Sheria ya ushahidi kwa sasa ukimuondoa Profesa Safari Kama un amashahidi wa Kuunga unga nakushauri kwa upendo futa kesi na Kama una Ushahidi wa mchongo nakushauri msiusogeze Mahakamani tafadhali..! Si mnajua alivyobobea ile mtego wa wa  "The doctrine of chain of custody"   Central Defender utamkuta Wakili Jeremiah Mtobesya ( Mzee wa Functus officio) Huyu kazi na sifa yake kubwa huwa ni Kutoa darasa la bure kwa Jopo la Mawakili wa Serikali bila ada. 7. Nakuonya tena,nyuma ya Viongozi hao wa Jopo la Mawakili wa Utetezi utakuta kuna timu kubwa ya Mawakili kama 30 hadi 40 huku wengi wao ni Vijana kati ya miaka 20 hadi hadi 30 Hao ndiyo hatari,kuna kazi wanafanya pale nyuma kimya kimya ,naweza Kuwaita ndiyo "Engine" ya timu, muda wote wapo bize kufungua Vitabu vya Sheria, Kufungua la laptops zao na I Phone 16 zao. Yes..! IPhone 16 ndiyo nyenzo zao za Kuingia mtandaoni Kusaka Sheria,Kesi za rejea na kuchungulia mtandao wa Mahakama wa "TANZLII" Siku hizi Pandora tupa Kule ni mwendo wa IPhone na Ipads tu na tumawani tweupeee. Hawa ukiwa fala unaweza kufikiri ni mabishoo tu walivyo nadhifu na miwani yao Hekima Mwasipu,Dickson Matata au Michael Lugina kumbe ndiyo wanaokuchomesha kwenye Ods zako pale Kwa Pilato. 8.Nakuonya tena , Kaambali na wale Wadada wanaokaa nyuma ya hili Jopo la "Wolves" unaweza Kufikiri ni Masister Du,kumbe ni kikosi cha Warembo wenye black robes attire chini wana Loafers kali huwakuti wakiongea ovyo uwanja wa Mahakama kazi yao moja tuh kuhakiki kila neno ,kifungu na kesi tajwa kutoka upande wa mashitaka na baadae upeleka vimemo mbele kuwasanua Washambuliaji kama tayari "adui" ameshaingia kwenye 18 au kakivaa kitanzi kiwendawazimu bila Kujua. 9.Sasa nasikia Kipenga kimelia huko pande za Kisutu ,tayari Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Kisutu Mheshimiwa Kiswaga ameshapuliza Kipenga ,ameita ngoma kati ya uwanja tarehe 19 May 2025 Ogopa sana unapoona picha za mitandaoni "Wolves" wakiwa wamekumbatiana huku machozi yanawabubujika kwa furaha kama Simba mwenye njaa wameona Kundi la Swala mbele yao. Nauliza shida nini.? naambiwa wanashangiilia Kesi Kuitwa Mahakama ya wazi ,chumba namba 1 alafu No kideo Mshtakiwa atakwepo kusikiliza Vijana wake wakijenga hoja za Kumnusuru na Kitanzi cha Shingo Wanyakyusa tunasema 'Imbombo Jilipo" 10.Dunia ipo tayari,Tanzania ipo tayari na Dar es salaam ipo tayari.
Boniface Jacob tweet media
Indonesia
277
594
3.1K
120.9K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Kocha Mchezaji @mshambuliaji ameshangaa kutangazwa kwa tarehe ya Derby ya Kariakoo Juni 15 huku wahusika Mamlaka inayosimamia Mpira nchini TFF na Bodi ya Ligi zikishindwa mpaka sasa kutoka hadharani na kueleza kadhia ya Machi 8 iliyosababisha mechi hiyo kushindwa kucheza. Kocha Mchezaji anaamini Mamlaka ya mpira na Bodi ya Ligi zinapaswa kutoka hadharani na kuomba radhi kwa kadhia ya Machi 8 kabla ya kutangaza ratiba ya Mechi ya Derby Juni 15. #KitengeUpdates
Indonesia
302
146
1.1K
98.5K
Al Jazeera English
Al Jazeera English@AJEnglish·
Uganda’s military chief, General Muhoozi Kainerugaba, says he is holding missing opposition activist Eddie Mutwe in his basement and threatened violence against him after his party said he was abducted aje.io/yuiqy5
Al Jazeera English tweet media
English
637
1.9K
8.6K
566.1K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@millardayo @chemical_tz Sas ndgu @millardayo 2020 /2021 bachelor degree naona kutoka muda huo KUPIGA masters na pHD ni muda mfupi mno otherwise vyuo vya ulayaa huko no complications ila kwa bongo hii issue ya pHD miaka nenda rudi mpak watot watakusahau kosa kosa miaka 6 Inakuhusu
Indonesia
4
0
2
3.6K
millardayo
millardayo@millardayo·
Msanii Staa wa Rap kutoka Tanzania, Claudia Lubao maarufu Chemical (@chemical_tz ) , leo April 30,2025 ameamka na habari njema iliyoandika historia mpya kwenye maisha yake huku ‘Dr’ ikiongezeka mwanzo wa jina lake baada ya kufaulu mtihani wake wa mwisho wa shahada ya uzamivu (PhD) kwenye masuala ya sanaa na sasa anaitwa rasmi Dkt. Lubao. Chemical amehitimu shahada hiyo katika Chuo Kikuu cha St Andrews, nchini Uingereza ambako alikwenda kusoma baada ya kupata ufadhili wa kimasomo kufuatia kufanya vizuri na kuwa Mshindi wa kwanza wa tafiti bora Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) 2020/2021 alikosoma shahada ya kwanza (Bachelor Degree) ya sanaa za maonesho, baadaye shahada ya uzamili (Masters) ya sanaa katika usimamizi wa urithi wa kitamaduni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chemical ameelezea furaha yake kwa kuikamilisha ndoto aliyokuwa nayo na leo kuamka akiwa anaitwa Dr. Lubao ambapo amewashukuru Wasimamizi , Familia, Marafiki na Watu wote wakiwemo Mashabiki waliompa moyo katika safari yake hiyo inayomfanya kuwa Msanii wa kwanza wa Rap kusoma na kuhitimu PhD Chuoni hapo. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
140
119
3.2K
168.5K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@Jambotv_ Hakika harakat zote za chadema naunga mkono lakini hili LA kutokushiriki uchaguzi eti reforms kwanini mkazo unakuja kipindi hiki tunakaribiaaa uchaguzi wakati viongoz wanajuaa reforms hizo zinataka mchakato this is a big loss
Indonesia
0
1
1
260
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Aliyekuwa Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema Bw. John Mrema ambaye sasa ni Msemaji wa kundi la G55 linalojumuisha waliokuwa watia nia ya Ubunge kupitia Chadema katika uchaguzi wa 2020 sambamba na watia nia wa 2025 kupitia Chadema, ameandika waraka mtandaoni, akionekana kumjibu Mwanasheria wa @ChademaTZ2 Dkt. Rugemeleza Nshala, akionesha kukerwa na maelezo yake yasiyokuwa na uhalali na uthibitisho wa kikanuni. Mrema ameandika; "Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli. Umesema kuwa uongozi mpya unasimamia maamuzi ya vikao vya Kamati Kuu na Mkutano Mkuu wa chama , ila hujaweka ushahidi wowote ule kwamba kulikuwa na azimio la KUZUIA UCHAGUZI . Hapakuwa na azimio hilo kama lipo ,tafadhali weka ushahidi mezani ili Dunia ijue na iwapuuze wote wenye hoja kinzani . Pili, umesema kuwa walioshindwa uchaguzi wa ndani ya chama ndio wanaopinga, ila hujasema ukweli kuhusu ambao hawakuwa na upande ndani ya uchaguzi ule na ambao ni wagombea ambao walishawekeza sana kwenye Kata na Majimbo ya uchaguzi na walitakiwa kufanya maandalizi tangu Tangazo la Katibu Mkuu la Januari ,2023 akiwa Mwanza alipowataka wagombea wote watie nia ya kugombea na waendelee na maandalizi ya kiuchaguzi . Ushahidi wa hili ni kuwa Mwenyekiti wa Chama alitia nia ya kugombea urais na mpaka leo hajawahi kuiondoa nia hiyo na wapo wagombea Ubunge ambao hawajaondoa nia zao kwani hapajatoka tangazo rasmi la Chama kuwa hakitashiriki uchaguzi mkuu wa 2025. Tatu, umesema kuwa Kuna azimio la Mkutano mkuu la no reforms no election, na kwamba lilisimamiwa na Mwenyekiti Mbowe ; nakuomba ufanye utafiti wako kabla ya kujiingiza kwenye hizo propaganda uchwara, utafiti wako ujikite kwenye maeneo yafuatayo ili ukweli ukuongoze ; 1. Ajenda ya No reforms no election ilianza mwaka gani, na ilikuwa na malengo gani, nini ilikuwa tafsiri halisi ya kampeni hiyo ? 2. Mwaka 2020 Januari, kamati kuu iliyokutana Makueni, nchini Kenya na kuja na kampeni hiyo ilimaanisha nini? Mbona hatukuzuia uchaguzi wa 2020 kama maana ilikuwa mi kuzuia uchaguzi mkuu? 3. Taarifa ya Baraza kuu kwa mkutano mkuu uliwataka viongozi kwenda kufanya maandalizi ya kuingia kwenye uchaguzi ikiwa ni pamoja na kuandaa wagombea,ilani, rasilimali. Kama kulikuwa na kuzuia uchaguzi, kwanini mkutano mkuu uliazimia kwenda kufanya maandalizi hayo? 4. Kwa nini katibu mkuu hakusaini maadili ya uchaguzi ? Alipewa mamlaka hiyo na kikao gani ? Mbona hapakuitishwa vikao kabla ya kufikiwa kwa uamuzi huu mkubwa na wenye madhara makubwa kwa chama chetu ? Nani ananufaika na uamuzi huu? CCM inapita bila kupingwa ,nani mnufaika wa mpango huu na amelipwa au ameahidiwa kupewa ujira gani? 5. Malengo ya chama chetu kwa mujibu wa katiba ibara ya 4.1.1 ni kushiriki na kushinda Chaguzi......mamlaka ya kuvunja katiba ya chama anayo nani? Adhabu ya kuvunja katiba ya chama ni ipi? Kama mtu hakubaliani na malengo ya chama anaweza kuendelea kuwa Mwanachama? 6. Ibara ya 5 ya katiba yetu imetoa haki kwa wanachama ikiwa ni pamoja na haki ya kugombea na kuchaguliwa kwenye chaguzi mbalimbali. Haki hii inavunjwa na uongozi wa chama ,nini adhabu yake ? Au kiongozi anaweza kuvunja katiba ya chama na asikemewe au kuchukuliwa hatua ? Naomba ukikamilisha huo utafiti wako utupatie taarifa ili tuweze kujiongoza vyema . Huu mtindo wa kulaumu watu na kuwapa majina hauwezi kusaidia Chama , na kumbuka chama cha siasa sio pressure group . Chama kina malengo ya kisiasa tofauti na wanaharakati ambao malengo yao ni ya muda mfupi tu na wanaendana na upepo kadiri unavyovuma ,ila chama cha siasa malengo yake ni kushinda chaguzi na kutumia sera zake kuwaondolewa wananchi matatizo makubwa kama vile sheria kandamizi, kutumia rasilimali kwa manufaa ya wote, kuondoa ukandamizaji nk. Unapokimbia uchaguzi utaweza vipi kufikia malengo hayo ? Siasa ni mapambano ya kudumu na yataendelea kuwepo mpaka malengo yatakapofikiwa."- @JonMrema
Jambo TV tweet media
Indonesia
153
18
296
57.5K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@godbless_lema Lema uko matured Sana, naww ni legend, mm kinachoniuma na kuona Nchi hii viongoz ni ni bora liende najiuliza mamlaka za juu hazioni hizi tafrani maendeleo kwa WANANCHI yatakujajaje km viongoz WA kubuni na kusimamia miradi wanagomban kwann hatua hazichukuliw?
Indonesia
3
0
3
4.5K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nafikiri unaonewa na kudhalilishwa kupita kiasi, nafikiri hii sio sawa sawa. Pengine unaweza kuwa unavuna ulichopanda kwa watu wengi sana ulipokuwa RC , DC kila mahali ulikopita, hata hivyo kuna kitu tunapaswa kijifunza kama binadamu kuwa kesho ni ya Mungu pekee. Jipe moyo mkuu, vilevile usiwe mjinga kupitiliza. Kuna wakati najisikia vibaya kuona unayopitia , kwani najua nilivyokuwa najisikia siku zile nilipokuwa napita ktk mateso na huzuni ulipokuwa RC hapa Arusha.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
261
265
2.3K
147.5K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@nulphin Mkuu hakuna ubaya ayo makofia mrefu yasikutishe ndio ibada za ndani izo
Indonesia
0
0
0
55
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Tuache kua brainwashed unataka kuniambia kua kuna utakatifu kwenye hiki? Hii ibada ya kiroma kuna holiness kwenye hili yaan kwa akili yako tu ya kawaida angalia Clip hii sema kuna utakatifu hapa? Tuache ujinga eti kila kitu kina maana yake maana gan hii?
Indonesia
325
112
528
134.1K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@AfricanHub_ I think there is no bad at all, and then why don't he attend the duties he was assigned by his state instead spending his country's resources to conduct researches which are non of his business Shame up on
English
0
0
0
6
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
USA General, Michael Langley is facing criticism for accusing Burkina Faso's President, Ibrahim Traore, of using the country's gold reserves to protect himself.
African Hub tweet mediaAfrican Hub tweet media
English
367
909
4.8K
125.5K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@chiefodemba Very unfair mtu anaibua hoja kwamba Kuna ubadhilifu kweny miradi badala apewe support inatumikaaa nguvu kuzima hoja ya upigaji sas mh. Waziri yeye si angempa ushirikianoo wajue ukweli WA mambo lakini hoja inazimwa kwa namna hiyo "if you can't fight join them"
Indonesia
0
0
0
311
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Mrisho Gambo hakushiriki kikao lakini posho ya kikao alichukuwa” Mchengerwa - Bungeni.
Indonesia
107
73
627
101.9K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@chiefodemba Ivi kweli mamlaka za dini eneo aliko huyu wanashindwa kumuita na kumpigia spana
Filipino
0
0
0
170
Edwin Odemba
Edwin Odemba@chiefodemba·
“Muislam wa kweli hauwezi kwenda msikitini bila kutaja jina la Rais Samia ni msikivu, Tumpate wapi mtu kama huyu” Abdulrahim Hamidu - KATIBU WA CCM KONDOA
Indonesia
73
25
131
17.8K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@JonMrema Sasa mbona wamekunj Kuenda tofauti na maazimioo why this
Indonesia
0
0
0
46
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
Katibu Mkuu John Mnyika akisoma Maazimio ya Mkutano Mkuu wa Chama Januari 21,2025 katika Ukumbi wa Mlimani City. Wale ambao mnasema kuwa G-55 inapinga maazimio ya vikao vya Chama na wengine wameandikiwa barua za kujieleza kuwa wanapinga maazimio halali ya Chama ,onyesheni azimio linalosema kuwa tutazuia uchaguzi, kilichopo hapo ni Chama kujiandaa na uchaguzi na kujiandaa kuongoza dola baada ya uchaguzi . Wale wa matusi ruksa kuendelea nayo.
Indonesia
201
24
137
26.2K
Anuary Mwetta
Anuary Mwetta@AMwetta30231·
@JonMrema Imeniuma Sana eti CHADEMA haitoshiriki uchaguzi kwa ajili ya mihemko ya watu wachache Sasa ivi Chama kitakua kinadai mabadiliko yapi wakati hakipo kweny mchakato WA uchaguzi? Waliopo ndani ndio watakua na access ya kudai hayo mabadiliko hapa viongoz wakiri kwamba walipiga boko
Indonesia
0
0
0
206
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
Nasikitika kuwa kuna Mawakili ambao wanashauri kuwa tunaweza kwenda Mahakamani kudai haki ya kushiriki uchaguzi baada ya kutokusaini kanuni za maadili, hawajasoma kifungu hiki cha Katiba ? Kwamba Tume haihojiwi au ndio wanaendelea kutufanganya kuwa kuna option ? Wanaharakati wa mtandaoni ,someni Katiba hakuna namna tena . Wanachama wa Chadema na wwgombea hakuna namna tena, mpaka tutakapobadilisha Katiba ya nchi yetu . G-55 iliposhauri kuwa chama kikasaimi maadili tulijua msimamo wa katiba ya nchi japo mbovu ,ila ndio iliyopo leo na inatumika . Matusi,kejeli na ubagazaji ,ruksa .
Jon Mrema tweet media
Indonesia
560
48
378
112.5K