AWAMO
3.6K posts


@YoungAfricansSC Tafteni kocha wa ushindani, kuna ibenge ,gamondi, sioni kama folz atatoboa
Filipino

@YoungAfricansSC Nashangaa hata wanaojita wachanbuzi wa soka wanacomment kama wasiojua mpira, kushinda ,sare au kufungwa ni matokeo ya kawaida kwenye soka
Indonesia

@GodoGodo255 Ukiona kocha mpya kwenye timu alafu timu inaendelea kucheza kama zamani ujue hajabadili chochote, huyu dogo kocha wa Yanga ana kitu anakitafta mtakiona badae msiwe na haraka
Indonesia

@claramogul Hana kosa lolote wanaosema aondoke ni simba hao, kocha anatengeneza kikosi na yupo mbion kukipata
Indonesia

Kosa la Folz ni lipi nielewesheni katika jicho la mpira na upole jaman
John kalage 🇹🇿@kalage_jr
Sema huyu kocha ni swala la muda tu😅😂
Filipino


@singidabssc Tz ndo tunachokiweza, ila angekuwa wa nje mngeshoboka balaa
Indonesia

Kwa @PMadeleka maghorofa ya polisi @DevotaMinja ubwabwa kabla ya dawa; huku suti na jeans. Mwaka wa vichekesho huu.
Indonesia

@godfrey_cmg @IAMartin_ Unateuliwa na unaowatuhumu unakubali, unasubir miaka 5 wakati wa uchaguzi unajitokeza ni uroho wa nadaraka tu hamna lolote
Indonesia

@AWAMO6 @IAMartin_ Wameuwawa marais wangapi, tena wengine wa mataifa makubwa kabisaaa.
Indonesia

@YoungAfricansSC Historia inaonyesha wachezaji karibia wote waliotoka Tz kwenda kwa waarabu walifeli, chama,kisinda ,mickson ,mwalim nk, acheni kukurupuka
Filipino

Uteuzi wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, umebatilishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa kwa madai ya dosari za kikatiba na kikanuni katika mchakato wa uteuzi wake, hatua iliyoibua mgawanyiko wa maoni ndani ya chama.
Uamuzi huo umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na mwanachama wa chama hicho, Monalisa Joseph Ndala, ambaye alipinga uhalali wa mchakato wa uteuzi wa Mpina. Ndala alieleza kuwa uteuzi wa Mpina ulikiuka kanuni kwa sababu alijiunga na chama tarehe 5 Agosti 2025, siku moja kabla ya kutangazwa rasmi na Mkutano Mkuu wa chama, na nje ya muda wa kurejesha fomu ambao ulikuwa umeisha Mei 25, 2025.
“Kwa msingi huo, Msajili wa Vyama vya Siasa ametamka wazi kwamba uteuzi wa Bw. Luhaga Joelson Mpina ni batili kisheria na hivyo hastahili kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo. (uteuzi umevunja sheria ya vyama vya siasa sura 258, Katiba ya Act-Wazalendo na kanuni za kudumu za uendeshaji wa chama za mwaka 2015 na toleo la mwaka 2024”, amesema Monalisa Ndala katika taarifa yake ya Agosti 26, 2025, akiutaja uamuzi huo kuwa “ushindi wa kuheshimu Katiba, Kanuni na Sheria za nchi katika kulinda demokrasia ya kweli.”
Hata hivyo, uongozi wa ACT Wazalendo umetangaza kuwa hautafuata maelekezo ya Msajili, ukisema mamlaka pekee yenye uwezo wa kuingilia mchakato huo ni Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kupitia mfumo wa pingamizi.
Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu, katika taarifa yake amesisitiza kuwa Mpina amekamilisha hatua zote muhimu za kugombea Urais, ikiwemo kuchukua na kujaza fomu, kukusanya wadhamini nchi nzima na kula kiapo mahakamani.
“Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Luhaga Joelson Mpina amechukua fomu, amezijaza, amezunguka nchi nzima kusaka wadhamini, amekula kiapo mahakamani na kukamilisha taratibu zote zinazohusu ukamilishaji wa fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo tarehe 26 Agosti 2025 fomu hizo zimehakikiwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na kesho saa 7.00 mchana zitawasilishwa Ofisi ya Tume Huru ya Uchaguzi kwa ajili ya uteuzi”, amesema Shaibu.
Aidha, ACT Wazalendo imetangaza mpango wa kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi huo na kutafuta zuio la kisheria dhidi ya utekelezwaji wake.
Shaibu amesema: “Chama cha ACT Wazalendo kitafungua kesi Mahakama Kuu kupinga hatua hii ya Msajili wa Vyama vya Siasa. Katika kesi hiyo, Chama kitaweka zuio (injunction) dhidi ya utekelezwaji wa uamuzi huu hadi kesi ya msingi isikilizwe”.

Indonesia

Mwandishi wa habari mwandamizi Ansbert Ngurumo amewakemea vikali wafuasi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akiwataja kuwa wanakwepa uwajibikaji kwa madai kwamba “kama Lissu asingekuwa rumande, nchi ingekuwa imewaka” kutokana na msimamo wa chama hicho wa No Reforms, No Election.
Kupitia andiko alilolichapisha Agosti 25, 2025, Ngurumo ameeleza kuwa kauli hiyo ni kisingizio cha kushindwa kuchukua hatua za kishujaa za kisiasa.
“Kisiasa, Lissu kuwa ndani ndiyo sababu halisi ya Watanzania kukiwasha, CHADEMA kufungiwa ndiyo sababu halisi ya watu kuamka na kukiwasha. Serikali imewapa sababu ya kukinukisha, Hivi wafuasi wa Lissu na Watanzania wanasubiri Lissu arudi uraiani ndipo wakinukishe? Are we serious?”, ameandika Ngurumo.
Ngurumo ameongeza kuwa hata kukamatwa kwa Lissu mbele ya wafuasi 2,000 ni ishara kwamba umma haukuwa tayari kulinda kile wanachokiamini.
“Lissu si mchawi. Hana maajabu yoyote atakayofanya bila nguvu ya umma. Hata kukamatwa kwake mbele ya wafuasi wapatao 2000 hivi, ni kudhalilisha umma uliokusanyika kumsikiliza na kumshangilia. Alitarajia nguvu ya umma izuie kukamatwa kwake; Ikamtelekeza. Alitarajia nguvu ya umma ikiwashe, ikinukishe aondolewe gerezani, lakini nguvu ya umma imebaki kusikika vijiweni na mitandaoni tu”, amesema.
Ameeleza kuwa kukamatwa kwa Lissu kulipaswa kuwa kichocheo cha harakati za kuzuia uchaguzi, lakini Watanzania wanabaki wakiombea na kuchangia harakati badala ya kusimama kidete.
“Watanzania ni watu wa ibada na michango, wanamwombea, wataombea taifa, watachangia harakati; siasa za mikikimikiki si zao. Vinginevyo, kwa serikali kumkamata Lissu, ilikuwa imewatengenezea fursa ya kufanya kile anachotamani- kukinukisha na kuzuia uchaguzi. Ajabu, siku tatu zijazo, kampeni zinazinduliwa! Sasa tuulizane. Kama Lissu amekamatwa, wafuasi wapo mitandaoni wana-twiti, wanasubiri nani akamatwe ndipo wakiwashe na kukinukisha? Tujitafakari upya”, ameeleza Ngurumo.

Indonesia

@Tanfootball @CAF_Online @TaifaStars_ Nilishasema tena hamasa na ahadi kubwa kubwa, zinawafanya wachezaji wacheze kwa presha wanatoka mchezoni, mambo ya ahadi achaneni nayo let football decide then wapeni zawadu
Filipino


Kipindi kama hiki Mangungu hatajwi, haguswi. Hasemwi kwa lolote. Sifa zinaenda kwa Mdi. Sasa hivi zinasukumwa kete kuwa mdi kasajili. Haya timu ikianza kufanya vibaya halafu Yanga tukipeleka moto wataanza kumsema Ngungu. Nafikiri mmeona moto wa jana pale Kigali, zamu hii mtamgeukia mdi wenyewe mtagundua Mangungu mnamuonea tu
Indonesia

@Mkali26Og @AnkoChifu @privaldinho Unaelewa tofauti ya kupangia na comment, ndio maana hizo page zina sehemu ya comments
Indonesia

@AWAMO6 @Mkali26Og @privaldinho Ndugu yenu Ahmed Ally anapozungumziaga mambo ya Yanga kunakuwa hakuna hakuna mambo ya kuzungumzia ya Simba?
Tumia akili hata kidogo basi
Filipino

@AWAMO6 @privaldinho Hiyo ni private page yake unampangia cha kupost mkali?🤔
Filipino















