Anko Chifu
1.8K posts

Anko Chifu
@AnkoChifu
A man with Integrity are you going
Dallas, TX Katılım Ekim 2018
326 Takip Edilen30 Takipçiler

@Geophreyfg @HildaNewton21 Kama mnaafikiana na uhuru wa kuongea mbona mnahangaika na wanajeshi barabarani mkisikia Maandamano? Acheni propaganda za kunujua watu. Huo sio uhuru wa kuongea bali ni siasa za maji taka za kununua watu
Indonesia

@HildaNewton21 Kwan si tumekubaliana tunataka uhuru wa kuongea kaen kimya watu waongeee kwan wanasema uongo kwan hawa si kama chadema wana haha na uchaguzi usio wahusu
Indonesia

Picha ya kwanza ni mzee Mohamed Saidi, dini Mwislamu, mkazi wa Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar. Shuguli anayofanya ni kubeba mizigo soko la Tandika. Amekana imani yake na kujibatiza Ukatoliki wa kuchaji kwa tamaa ya vipande vichache vya fedha.
Picha ya pili (aliyezungushiwa duara) anaitwa Naomi Matola, kabila Mnyakyusa, mkazi wa Kurasini, mzaliwa wa Mwakaleli, Mbeya. Amewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM Kata ya Kurasini 2017 hadi 2022, na pia aliwahi kugombea Uenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mivinjeni, Kata ya Kurasini jimbo la Temeke mwaka 2014 akashindwa na Claudius Togocho wa Chadema.
Naomi ni Muumini wa Kanisa la Moravian, ushirika wa Keko. Amewahi kuwa muimbaji wa kwaya ya Sinai Moravian Keko, lakini akafurushwa kwa utovu wa nidhamu. Naomi amekana imani yake ya Moravian na kujivika Ukatoliki wa kuchaji kwa tamaa ya vipande vichache vya fedha. Namba yake ya simu ni 0712 535467, msalimieni kidogo.!

Indonesia

@godbless_lema Ni baba Mnafiki Wala Hana uzalendo Wala utu. Rudi miaka ya 80 wewe Bado labda hujazaliwa au ni mdogo unanyonya yeye akiwa kiongozi wa juu sana, muulize wananchi walikuwa na maisha gani nguo hamna viatu chakula kwa Kaya mpaka siku ugawaji wakileta bidhaa dukani sukari robo Kaya.
Indonesia

Watoto wa Mzee Joseph Warioba, sijui kama wanatambua baraka kubwa waliyo nayo. Kuwa na baba mzuri, mwema, na mwenye uadilifu wa moyo ni neema adimu sana. Katika Dunia ya leo ambako watu wengi wanathamini vitu kuliko utu, kuwa na baba wa namna ya Mzee Warioba ni jambo la kujivunia na la kushukuru kwa Mungu kila siku. Nasisitiza kwa dhati kabisa ya moyo wangu , nyie watoto wa Mzee Warioba mna baba mzuri sana. Mlindeni , mpendeni Baba yenu kwa gharama kubwa sana.
Indonesia
Anko Chifu retweetledi

Hatuna Uhuru wa Tanzania Bara... Yuna Uhuru wa TANGANYIKA... Acheni upotoshaji wa Makusudi @bunge_tz

Indonesia
Anko Chifu retweetledi
Anko Chifu retweetledi

TUPATE COMMENTS ZA KUTOSHA KUWAONYESHA WAKOLONI WEUSI #Disemba9Tunatoka #D9
REPOST 500
#MD9
#Disemba9Tunatoka
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Filipino

@NguRu24 @HecheJohn Yaani sasa nimethibitisha kabisa kwamba uwepo wa mataahira Tanzania ni Halisi
Filipino

@HecheJohn Ndio mjuwe kuwa chama chenu kimewatia watu kwe majanga makubwa. Badala ya kufanya siasa ninyi mnafanya uhaini. Sasa cha kufanya CHADEMA muasaidie hao watu. Wapeni pesa wanunuwe huo uhuru unaosema. Lakini pia ujuwe polisi unaenda bure lakini lazima utoke kwa gharama.
Indonesia

Nina taarifa za uhakika kutoka kwa watu waliokamatwa na kubambikiwa kesi za uhaini fake.
Hii imekua njia ya watu wa serikali kujipatia kipato..
Tarime kuna watu wametoa fedha laki tano mpaka milioni 1 kununua uhuru wao.
Lakini kuna watu wana majeraha makubwa Bado wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za magereza..
Hali hiyo iko Shinyanga, Dar, Mbeya, Arusha na Nchi nzima..
Kilichoitwa msamaha limegeuka biashara za watu.
Kwasasa pia kila mtu akikatwa polisi wanamtishia kumpa uhaini na wengine ili kujiokoa wanatoa fedha.
Utawala umefitinika.
Indonesia

The violence Samia Suluhu unleashed on Tanzanians for protesting, demanding free and fair elections.
Huyu mwanamke alipigwa risasi geita nyankumbu tarehe 31/10 alikuwa Ameenda kununua mafuta na hapo alikuwa na mimba ya miezi 6,😭ameacha watoto wadogo mpaka sasa ukiwauliza mama yuko wap wanasema Ameenda kununua mafuta 😭😭huyu samia ni muuaji hastahili hata kuongoza familia 😭

Filipino

@Sativa255 Hata taarifa za habari za Media zao siku hizi hatuangalii
Indonesia

Kwani ni chombo gani cha habari au muandishi gani wa habari walifanya kuripoti jambo lolote kuhusu yaliyofanyika GIZANI?
Je dunia iliona mliyofanya GIZANI HAIKUONA?
GIRISHONI hakuna mtanzania anaetegemea hizo media zako wewe na waandishi wako wewe—watanzania kwasasa hakuna MEDIA au MUANDISHI WA HABARI wanaemtegemea kuwahabarisha zaidi ya Page zetu. Na kama ulivyoona yote yaliyofanyika GIZANI leo yapo nuruni.
Na hata Ripoti ya CNN leo hakuna mtu ambae hajaiona licha ya VITISHO VYAKO VYA KIPUMBAVU. Tushatoka huko kwenye kutegemea Media zenu mzee.
Ndiomaana hata maandamano hakuna media hata moja ilisapoti na yakafanyika na dunia nzima iliona.
Hatupo zama za MAWE WE MPUMBAVU GIRISHONI. Kaa na media zako na taarifa zenu za kipumbavu.
RIPOTI YA CNN HAITEGEMEI MEDIA ZA BONGO ILI ITEMBEE—CNN HAWAWEZI KUKUPIGIA MAGOTI WEWE GIRISHONI ETI URUHUSU MEDIA ZIPOST ILI RIPOTI IANGALIWE, ACHA KUJIPA UMUHIMU NA PUNGUZA SHOBO UTAKATWA NA POPO BAWA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia

@Bizydan Kwa hiyo CNN walituma askari wao kupiga Risasi watu mtaani sio
Indonesia

@Twaha_Mwaipaya Mzee ulaya imeanza kutupa miasaada since 1961 imetusaidia nini?
Eesti

JE, MMEYASIKIA YA BUNGE LA ULAYA?
Mwl John Pambalu
Bunge la Ulaya limetoa uamuzi mzito unaobeba ujumbe wa kisiasa wa hali ya juu dhidi ya mwelekeo wa utawala wa sasa nchini Tanzania. Kupitia Kamati ya Mambo ya Nje (EP_ForeignAf) na Kamati ya Maendeleo (EP_Development), wabunge wa EU wamepiga kura kuzuia hatua ya Tume ya Ulaya kutoa fedha nyingi kwa Tanzania mwaka ujao kupitia mfuko wa NDICI–Global Europe – mfuko muhimu kwa kukuza maendeleo, ustawi na uwajibikaji barani Afrika.
Katika kura hiyo, wabunge 53 waliunga mkono kusitisha fedha hizo, huku 2 wakipinga na 1 akijizuia kupiga kura. Hii si kura ya kawaida. Ni tamko rasmi la kisiasa la kuonyesha kutoridhishwa na hali ya kisiasa, uchaguzi, na mwenendo wa haki za binadamu nchini.
Kwa nini wamechukua uamuzi huu?
Sababu zao ni tatu kuu:
1. Kukithiri kwa ukandamizaji wa wananchi – ikiwemo kubanwa kwa haki ya kujieleza, kuandamana na kukusanyika.
2. Uchaguzi wenye utata na udanganyifu – kutokuwepo kwa uwazi, haki na uwanja sawa wa kisiasa.
3. Mwelekeo wa kiimla wa Serikali – kuongezeka kwa matendo yanayoashiria kupotea kwa misingi ya demokrasia.
Kwa lugha nyepesi, Bunge la Ulaya limesema:
“Hatutoendelea kutoa fedha kubwa kwa Tanzania huku demokrasia ikiendelea kupungua na wananchi wakizidi kunyanyaswa.”
Hii ina maana gani kwa Tanzania?
1. Fedha za maendeleo Zinaweza kuzuia au kucheleweshwa hadi maboresho ya kisiasa yaonekane.
2. Sifa ya Tanzania kimataifa Inaendelea kuharibika kutokana na tuhuma za ukandamizaji.
3. Mahusiano ya Tanzania na EU Yanapitia mtihani mkubwa na presha itaongezeka.
4. Serikali ya Tanzania Itahitaji kuchukua hatua kurejesha imani ya dunia
Uamuzi huu unakuja katika kipindi ambacho macho ya dunia yote yapo Tanzania. EU imeonyesha wazi kuwa haitatoa fedha za kujenga barabara na miradi ya maendeleo kwa taifa linaloshutumiwa kubomoa misingi ya haki, uhuru na demokrasia.
Onyo au Fursa?
Serikali inaweza kuchagua:
1. Ama kuendelea na njia ya sasa na kupoteza washirika muhimu,
2. Au kuanza kufungua mfumo wa kisiasa na kurejesha matumaini ya wananchi na jumuiya ya kimataifa.
Lakini jambo moja liko wazi:
👉🏽 Dunia imeamka. Na sasa inaangalia Tanzania kwa makini zaidi kuliko hapo awali.
Wasalaam
John Pambalu

Indonesia

@Advocate_Jebra Wataka kuzifungia Satelite na Google na CNN na kila kitu
Slovenščina

@earadiofm @GodiFalsafa Yaani mnaongea kama mmekatwa Vichwa... hata makampuni binafsi huwa kuna kujitathmini wenyewe ndani lakini ili kuondoa kujidanganya wenyewe huwa tunaita external consultants ili kuwa more Objective...
Mwanadamu anatabia ya kuukimbia ukweli mchungu
Indonesia

#TheInterview Mchambuzi @godifalsafa antoa sababu za kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguza wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 iliyozinduliwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan.
#EastAfricaRadio #SupaBreakfast #TheInterview
Indonesia

@zittokabwe @UhtredBebenberg @DrTaxs Mmeshiriki kuhujumu haki za watanzania kuwa kukubali kutumika kuhalalisha Uchaguzi Haramu. Kwa kushiriki kwenu mmewapa nafasi watawala wakandamizaji kuonekana walifanya uchaguzi wa Kidemokrasia... Hampaswi kuaminika kwa wananchi nyie
Indonesia

@UhtredBebenberg @DrTaxs Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
Indonesia

Naungana na Msimamo huu madhubuti. Pamoja na wajumbe wengine wote kutokidhi vigezo vya UCHUNGUZI HURU lakini kuwemo kwa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi @DrTaxs kwenye Tume ilhali JWTZ ni watuhumiwa ni UTANI wa hali ya juu kwa Watanzania waliouwawa, kujeruhiwa na kupoteza mali zao.
ACTWazalendo@ACTwazalendo
TAARIFA KWA UMMA Chama cha @ACTwazalendo kinapinga na kinakataa kabisa Tume iliyotangazwa na Rais @SuluhuSamia kuchunguza matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Indonesia

@NellyNyamandege Nelly nakujua sana na huwa unajifanya usalama wa taifa ... watu wameua kinyama afu unaongea usenge kaka... hata binti yako tunamjua sanaa umeanza kuwa chawa.. hufananii kuwa rafiki waa Odemba ... kwahiyo kaa kimya usije ukaibua hasira za watu...
Indonesia












