Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi
Mohamed Lupinga (Muddyb)
6.2K posts
Mohamed Lupinga (Muddyb)
@muddybtz
I'm a journalist, novelist, Swahilili Wikipedia editor, blogger, English—Swahili translator on https://t.co/oZeUAhwVjG!
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2010
6.5K Takip Edilen13.5K Takipçiler
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

The best decision I ever made was marrying you, @MichelleObama. For 33 years, I’ve admired your strength, grace, and determination — and the fact that you look so good doing it all. Happy anniversary!

English
@noliega11 @Josephmaro8 @godbless_lema Kwamba wakatoliki wasipopiga kura, hazitatimia? Kuna madhehebu mengine na dini nyingine pia. Hivyo hakuna madhara wala chochote kitakachotokea wakatoliki wasipopigq kura.
Filipino
@mkrichard2021 @godbless_lema @IsseBrian Si elimu pekee. Kuna political ideology ndani yake. Hivyo badala ya kutazama facts unaendeshwa na chuki za kisiasa ndani yake.
Indonesia

@godbless_lema @IsseBrian Kuna kitu watu hawakuelewi kwasababu ya kuto kuelewa kwao tu kama mtu kasoma mambo ya uwekezaji anakuelewa vizuri tu bila shida tatizo ni elimu ya uwekezaji kwa watz.
Indonesia

Mgodi wa makaa ya mawe wa Tancoal Energy Limited nchini Tanzania ulikuwa na ubia wa 70% Intra Energy Tanzania Limited (IETL) na 30% Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC). Mgodi huu ni muhimu kibiashara na kitaifa, ukiathiri sekta ya viwanda, umeme, na ajira.
Baada ya mradi kukamilika, Intra Energy Corporation (IEC) ya Australia iliorodhesha hisa zake kwenye Soko la Hisa la Australia. Bei ya hisa ilikuwa takriban AUD 0.006–0.008 na mtaji wa soko ulikuwa AUD 9.5 milioni (~TSh 16.2 bilioni). Baada ya IEC kutangaza kuondoka kwenye mradi, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake alinunua hisa hizo. Hisa hizo zilikuwa kwenye soko la umma, Soko la Hisa la Australia (ASX) hivyo mtu yeyote angeweza kununua hisa hizo.
Sasa , ni nani anayeweza kushutumiwa? Ikiwa kuna tatizo au hoja, mdau namba moja anayepaswa kushutumiwa ni Serikali (NDC) , kwa kuwa waliweka asilimia 30 ya HISA lakini hawakuongeza HISA zao wakati zilikuwa listed ktk soko la HISA la Australia. Kama walijua mradi huu ulikuwa na maslahi makubwa kwa umma!! Kwa nini hawakuchukua nafasi ya kibiashara ya kununua HISA zaidi, na hata pale Intra Energy walipoamua kujitoa kabisa kwenye uwekezaji huu , habari hii ilikuwa ndani kwanza kwa wamiliki wote Intra Energy yenye 70% na NDC wenye 30% na ktk vyombo vya habari vya Kimataifa kwa muda sana mpaka pale Rostam alipojitokeza kununua HISA hizo. Hii inaonyesha changamoto si kwa wafanyabiashara wa nje, bali katika uwezo wa wadau ndani ya Serikali kuona na kushiriki kwenye uwekezaji kwa mtazamo wa kibiashara.
Rostam Aziz hakutenda uhalifu , aidha alitumia fursa halali ya kibiashara. Ambayo mfanyabiashara ambaye hawezi kuiona na kuipuuza ikiwa ana interest , aidha atakuwa hajui namba na mbele sana ya biashara hii , basi , kama ni kukoroga basi Intra Energy ndio wamekorogwa na changamoto zaidi ni kwa NDC na sera zao za uwekezaji na uwezo wao mdogo ktk FIKRA ya uwekezaji. Kumbukeni , Serikali imeshindwa kuendesha biashara ya dala dala hapo Dar , itakuwa haya mambo yenye Kiingreza kingi na graph mingi ? Tufikiri kibiashara kabla hatujahukumu sana.

Indonesia

@IAMartin_ Ila vitu vingine tujiulize, kweli Raisi anaweza kuhujumiwa na kudhuriwa kirahisi namna hiyo? Tena na watu anaowafahamu, na kwa nguvu aliyonayo Raisi!!?
Indonesia
@HappyKate437868 @HildaNewton21 @AdvMahinyila Sasa mbona Polepole anasema 2020 ulikuwa uchaguzi wa haki na huru? Uchaguzi bora kabisa?
Indonesia

@HildaNewton21 @AdvMahinyila Nilikuwa BEREGE SCHOOL 2020 form 6 tulishuhudia hii ishu ya mapolisi kuvuruga kura Kijiji Cha BEREGE watu wasiokuwa na hatia waliumizwa na wengine walinyanyaswa sana mapolisi machalii waliwarukisha watu vichura wababa wamama wakimwagia maji kutukana na maduka kufungwa kama wiki
Filipino

Ukimskiliza huyu OCD unaweza kudhan ni Mwenezi wa CCM maana bila hata aibu anajitapa kabisa vile kaumiza Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wake.
NB. Huyu mgombea ambae OCD anamzungumzia kwamba amemkamata yeye na wafuasi wake ni @AdvMahinyila wakati anagombea Udiwani 2020 kata ya Berege, Mpwapwa.
Wakili Mahinyila alishinda Udiwani kata ya Berege kwenye Uchaguzi wa 2020, Polisi walipoona mgombea wa CCM ameshindwa kwenye sanduku la kura wakapiga wafuasi wa Chadema mabomu then msimamizi wa Uchaguzi akamtangaza mgombea wa CCM ambae kimsingi Wananchi walimkataa kwenye sanduku la kura.
Maeneo mengi nchini wagombea wa CHADEMA kwenye Ubunge na Udiwani walitendewa kama alichotendewa Wakili Mahinyila ndo maana Mara hii CHADEMA tunasema #NoReformsNoElection Ili kukomesha haya mambo ya kipuuzi kwenye CHAGUZI
Indonesia
@AbsalutC @LuhagaMpina Promo inaenda na pesa. Wataulizwa wamepata wapi pesa ya PROMO!
Indonesia

@LuhagaMpina Unaweza kwenda Dubai hapo tuu unakuta raia hata hawajui nchi inaitwa Tanzania lkn nchi kama South Africa inajulikana na baadhi ya watu wa nje Africa wanajua south na Nigeria tuu 😂.Kwa hiyo progress sio mbaya tunaenda vizuri inabidi tuongeze promotion zaidi na zaidi tutafika huko
Indonesia
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

@lwaitama1 Kwa IRAN mnashauri…
Ila hapa nchini mbona hamuwaambii CHADEMA tuache kupambana na ccm maana wametuzidi kila kitu??
Na ht kifedha hatuwezani nao na wana dola?
CHADEMA TUNAPAMBANIA HAKI!
Vivyo hivyo kwa IRAN… ku surrender na kua mtumwa tena kama LIBYA is not an option!
Indonesia
@drtamertekin @RishiSunak So everything is dead except the camera man?
English
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

The world doesn't accept the claim that Iran is a threat to global security, and if it were, the question is, a threat to whom?
Israel has carried out repeated military operations in Gaza, killing thousands of civilians, including women and children. It continues to expand illegal settlements, violate international law, and impose a blockade on an entire population. It has assassinated political and military leaders far beyond its borders and faces zero accountability.
The United States has invaded and destabilized multiple countries across the Middle East, from Iraq to Libya to Syria. Entire nations have been reduced to ruins, and millions have been displaced or killed. Successive US administrations have armed and protected Israel through every violation.
So who exactly gave the US or Israel the right to define global threats or decide which countries are allowed to defend themselves? The rules are made by those who break them the most.
English
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

@TanzaniaLeaks Kila mmoja asimamie kwa kile anachokiamini hakuna sehem CDM imekatazwa kumlipa Diamond
Indonesia
@kinlop_ Masogange sio wimbo wa kwanza mzee. Tafuta wimbo wa Suma Rider 2005, youtu.be/1FXQLrFeM2s?fe…

YouTube
Filipino

Kesi ile ilienda, ikaenda , ikaenda tena na kwenda tena —wazee wa kazi walitafuta konekisheni hadi mahakamani bondeni..
Mabinti wale wanaachiwa huru na ile kesi inageuzwa mwanngu⤵️
Mkemia mkuu wa bondeni anasema “hayakuwa madawa bali yalikua ni makemikali ya kutengenezea madawa ya binadamu”
Basi mwanangu mahakama inaamuru mabinti wale walipe faini ya milioni 4 tu.
Mabinti walirudi bongo salama, na hadi leo hakuna anaewajua wazee wa kazi—kumbuka waliweza kucheza na mfumo wa bondeni kwa madiba.
NB. Usicheze na wazee wa kazi…
Mwisho———

Indonesia

MREMBO MASOGANGE NA WAZEE WA KAZI-kesi ya madawa ya kulevya 2013
Agness masogange alizaliwa september 1989 Mbeya—alikua mwanamtindo, na maarufu kama video vixen hapa bongo.
Video ya kwanza kabisa kwa masogange kama video vixen ilikua ni ile ya belle 9 iitwayo Masongange—weka kichwani hilo GenZ—wewe mtoto wa 2000s.
Vijana wa makamo wanamjua Masogange kama video vixen wa nyimbo za wasanii bongo na alikua mrembo haswa—shape la nicole sura ya Mobetto.
Ilikua ni July 2013, Mrembo masogange anafuatwa na wazee wa kazi…..
Wazee wa kazi ni kina nan?
Wazee wa kazi hawa walikua ni wafanyaBiashara wanaohusika na uuzaji wa Sembe—Kitaani wanaita wauza Unga.
Wazee wa kazi wanamfuata masogange “tunataka utupelekee mzigo wetu bondeni kwa madiba”
Mzigo wa Sembe ulikua na thamani ya Billioni 6 za kitanzania…
Masogange alikubali ila kwa sharti moja….
Wazee wa kazi ni kina nan hasa?
@kinlop_ 🧵👇🏽


Filipino
@LOUDER_24_7 @HildaNewton21 Nikukumbushe, YouTube kuna batani ya promo wala hawafi njaa anaelekeza mahali atakapo views ziwe ngingi. Mtu kama Diamond hata TZ tusipo view anaishi.
Indonesia

@HildaNewton21 Tuendeleee ku un-follow & Unsubscribe, media, influencers, celebrities wote wanaoshirikiana na wakoloni weusi.
Kuandamana bara barani hatuwez.
Tuwapake mafuta wameremete kwenye digital platforms.
Kanyaga kanyaga twendeeee😂
Filipino

Wasanii wenu wa bongofleva walikuwa wanajiona wa mabingwa, hakuna kitu tunaweza kuwafanya hata wakiwa upande wa madhalimu.
Kwa mara ya kwanza wameonyeshwa nguvu ya umma leo ni Sikukuu ila wanaogopa hata kujipost huko instagram maana wanaogopa comments za Wananchi za #NoReformsNoElection
Filipino
@nguchiro47 @Jaguar_455 Nafikiri walitambua zimekata, wakamtoa kafara.
Indonesia

@MwauraRobert2 Ivi kweli ameandika hivo au ni editing za watu? @ikulumawasliano .
Rais hawez andika hivi jamani hata kwa hasira za kike kike naamini akiwa rais lazima ajizuie. Ila sishangai, kama alimtoa ndugai sembuse na gwajiboy?
Indonesia

@godbless_lema Haiwezekani MTU kutetea watu wenzako wasitekwe iwe ushetani. Taifa hili limejaa kinyume na mzaha. Inatia aibu Sana.. Leo mimi na familia yangu natangaza rasmi #KUHAMA kanisa la #KKT
Nahisi kuvuliwa nguo na kanisa hili. I hate you KKT... DAMNNNNNNNN
Filipino

Ehhh Mwenyezi Mungu Inuka Sasa Ili Sisi Binadamu Tujue Uwezo Wako Kwa Utimilifu Wake.Hali Hii Sio Ya Kawaida Hata Kidogo. Kuna Kitu Hakiko Sawa. Mtamuona Mungu. Tuwaombe wote Wanaokemea Mateso Na Mauaji. Tanzania Fungeni,Ombeni , Shukuruni Kwa Sadaka Nzuri. Kisha Tazameni Na Mjifunze Kuwa Mungu Adhihakiwi.

Indonesia
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

@godbless_lema Kwani mtumishi anaefanya pornography, tapeli wa kisiasa, tapeli wa madhabahu, dalali ya uharibifu wa Chadema katika Uchaguzi Mkuu 2015 kisha atumie upepo fulani wa kisiasa kujinufaisha anashindwa vipi ku fit into context ya "mtumishi wa shetani" ?
Indonesia
Mohamed Lupinga (Muddyb) retweetledi

TANESCO NA KABURI LA WACHAWI IRINGA🪄miaka ya 2000s.
Kaburi lawakimbikiza wafanyakazi wa Tanesko,si lingine ni kaburi lililopo mkoa wa iringa—Njia panda ya Mlolo-Iringa unavoelekea Mafinga.
Mkuu wa wachawi Iringa anafariki 1974, baada ya hapo Jeshi la wachawi linaamuru azikwe pamoja na mtu aliyehai
Ni mila? Uchawi? Kwani ilikuaje?
Fuatilia nami kisa hiki cha kutisha…..
@kinlop_ 🧵👇🏽


Indonesia
@MwangiHub Bakhresa alijichanganya kufungua tawi Kenya, kubwa sana. Wasenge wakaiba kila kitu wamemwachia magofu na magari. Bakhresa ipo Uganda, Rwanda, Burundi kasoro Kenya, nini tatizo? Ubinafsi na wizi.
Indonesia












