Enfant sage retweetledi
Enfant sage
3.2K posts

Enfant sage
@AbdullahAl55225
les cordoniers sont les plus mal chaussés”. #cultivateur, agriFarm|| Allah Mon meilleur, le Meilleur Garant.
Tanzania Katılım Ekim 2023
498 Takip Edilen181 Takipçiler

#TajiriLaKihaya
Yaani Mwanamke nimpe hela mimi Alafu tena NIMNYONYE???
Haiwezekani!
Alafu kuinyonya ni Ku Submit kwake- hawezi kuona tena Kama mwanaume Rijali… huwezi ongea kitu akakuskiza 😅
Mzee Mpini 👴@Apollo__255
@EsirEid Issa chagua moja Kunyonya mbunye ya manzi au kubet
Indonesia
Enfant sage retweetledi

Kuna jamaa nilikuwa namsikiliza jana mtaani Yutubu anasema;
“Mitazamo kuhusu pesa inajengwa tangia utotoni, na siyo tu ukubwani baada ya mtu kujielewa kama wengi wanavyodhani”.
Anasema, “Kama mtu amekulia au amelelewa katika mazingira ambayo hakuna saving culture. Hajawahi kuona watu wakitunza hela, au kila hela inayopatikana ni kwa ajili kutumia tu au ‘Survival’, atakua aki-struggle kupata pesa kwa ajili ya kutumia”.
Anashauri kwa wenye watoto, “Siku moja mpe mtoto wako hela, Kisha toka naye mkazunguke kwenye maduka au supermarkets, akitaka kununua kitu, mwambie subiri, usitumie hiyo nitakunzia ili ufanyie kitu kingine XYZ baadaye. Alafu Rudi nyumbani naye akiwa hujamnunulia kitu au hajatumia hiyo hela”.
Pili, “Unaweza kumnunulia kibubu, afu kama Kuna kitu alishawahi kukuomba umnunulie, mfano iPAD ya watoto au games, unamwambie dunduliza hela yako. Ukifikisha kiwango X nitakuongezea. Afu unakuwa ukimpa hela unamwambia abane ili aweke kwa kibubu. Akishamaster kibubu challenge, Sasa unaweza kumfundisha savings platform kama UTT AMIS”.
Vipi mdau njia nyingine ambayo unadhani ni rahisi au inafaa kuwafundisha watoto elimu ya fedha wakiwa wadogo ni ipi?
Share ili tujifunze kutoka kwako
Pia, usisahau kuni-follow @EdwinMjeru ili tuendelee kujifunza pamoja.
Nakutakia J'mosi njema!
EFM.
Indonesia

@EsirEid Daah,
Bro ametukosea saana.
Wanaume wenye msimamo thabiti nchii hii,
Ni wachache mno.
HT

#TajiriLaKihaya
G- Nako kumbe ndio Huyu 😂😅😂
Sasa wale mliosema hamuwezi mkawa hata na urafiki na mwanachama wa ccm- imekuwaje Tena??
Indonesia

@DeepPsycho_HQ Moreover you can kill millions of innocents and still respected.
English
Enfant sage retweetledi
Enfant sage retweetledi

"The bird that is missed by a stone doesn’t waste time questioning the thrower’s intention.”
Because the bird understands something most humans don’t.
The stone was not thrown to teach.
It was not thrown to warn.
It was not thrown to play.
It was thrown to kill.
And when it misses…
The bird doesn’t circle back.
It doesn’t confront.
It doesn’t overthink.
It doesn’t sit on a branch asking,
“Why would someone do that to me?”
It flies.
Because survival is more important than understanding.
Purpose is more important than closure.
Life is more important than explanations.
---
Humans are the only creatures who get missed by a stone…
…and then sit down to analyze the hand that threw it.
We want motives.
We want apologies.
We want conversations.
We want to be understood by people who already showed they don’t care whether we live or die.
So we pause.
We bleed slowly.
We replay moments.
We investigate betrayal.
We dissect disrespect.
We dig into the psychology of people who already tried to destroy us.
All while the next stone is being lifted.
---
The bird doesn’t do that.
It understands a brutal law of nature:
👉 If something tried to end you and failed, that is not an invitation to talk.
👉 That is your warning to move.
Because intentions don’t change outcomes.
Stones don’t need explanations.
Gravity doesn’t negotiate.
And people who tried to harm you don’t suddenly become safe because they missed.
---
Sometimes God, life, or fate doesn’t remove the enemy.
It removes the impact.
The stone passes.
The wind shifts.
The timing is off.
You survive.
Not so you can build a courtroom in your mind…
…but so you can escape the battlefield.
---
The bird that survives doesn’t become a philosopher.
It becomes faster.
It becomes higher.
It becomes harder to reach.
It changes altitude.
It changes direction.
It changes environment.
It doesn’t waste its remaining breath asking dangerous people to explain themselves.
---
There are people in your life who already showed you their aim.
Their jealousy aimed.
Their bitterness aimed.
Their manipulation aimed.
Their silence aimed.
Their betrayal aimed.
Their disrespect aimed.
They missed.
And you’re still here.
Not because they are good…
…but because you moved, God blocked, or life intervened.
And your survival is not proof of innocence around you.
It is proof of danger near you.
---
The lesson is not, “Why did they throw it?”
The lesson is, “Why am I still standing where stones are flying?”
---
The bird that is missed by a stone doesn’t waste time questioning the thrower’s intention.
It leaves the range.
It values breath over answers.
It values direction over debate.
It values life over clarity.
And that is why it stays alive.
RULES ARE RULES.

English
Enfant sage retweetledi
Enfant sage retweetledi

@EsirEid Jazzakallahu khair bro
Umeieka vizur saana,
Hope vijana wataelewa.
Indonesia

#TajiriLakihaya
Jana tulikua tunakumbushana tu ili tuwe Sawa!
Sasa VIJANA Naomba tujadili issue kamili- najua wengi mnaogopa kujadili hii mada Kwa kuogopa matusi na hata usipate support yoyote… Ila lazima tulijadili hili Kwa maslahi mapana ya Sisi vijana na kizazi chetu cha kesho…
Kuzidi kufunguliwa kwa Betting Companies kila uchao na hata hii ya juzi ilioleta kelele humu si hatua ya maendeleo,
ni kengele ya hatari kwa kizazi chetu vijana.
Kamari haitujengei vijana uwezo, haitupi ujuzi, wala haitengenezi thamani kwenye uchumi.
Inauza ndoto ya ushindi wa haraka, lakini ukweli wake ni mzunguko wa hasara, madeni, utegemezi na kuvunjika kwa maisha.
Tunaambiwa ni ‘AJIRA’, lakini ni ajira ya aina gani inayotegemea watu wengi kupoteza pesa zao ili wachache wanufaike?
Huu si uchumi jumuishi,ni mfumo unaonufaisha kampuni huku ukiwaacha vijana wakizama kwenye hasara.
Na ndio maana kampuni za kamari kila siku zinaongezeka lakini vijana BADO tupo kwenye umasikini ule ule Miaka nenda Miaka Rudi💔
Athari zake zipo wazi; Madeni yanayokua kimya kimya,Msongo wa mawazo na hata uraibu wa kamari, Kupotea kwa muda na nguvu ambazo zingetumika kujenga maisha,Kupungua kwa tija kwa vijana waliopaswa kuwa nguvu kazi ya taifa nk.
Serikali haiwezi kusema inajali vijana huku ikiendeleza mazingira yanayowasukuma kwenye utegemezi wa BAHATI badala ya juhudi na ubunifu.
Hii si sera ya maendeleo, ni kuruhusu kizazi kipotee polepole.
Vijana tuamke. Hakuna ‘shortcut’ ya mafanikio kwenye kamari.
Waliopo juu ni wachache wanaotumika kama matangazo,lakini maelfu wako chini wakipoteza.
KAMARI sio ajira, ni mtego unaowalenga vijana moja kwa moja.
Tunauziwa ndoto za ushindi wa haraka, lakini uhalisia ni madeni, utegemezi, msongo wa mawazo na kupoteza kabisa mwelekeo wa maisha.
Serikali haiwezi kwa mkono mmoja kuzungumzia kuwawezesha vijana, halafu kwa mkono mwingine kufungua milango ya kamari inayowapumbaza na kuwavuta kwenye utegemezi wa bahati.
Hii si sera ya maendeleo,ni kulea utegemezi.
Vijana tuamke. Hakuna utajiri wa mkato kwenye kamari!
waliowanufaika ni wachache sana, na wengi wanabaki na hasara, maumivu na muda uliopotea.
Taifa haliwezi kujengwa kwa tiketi za bahati nasibu. Tunahitaji ajira halisi, elimu bora na fursa za uzalishaji,sio kamari.
Tunahitaji uwekezaji kwenye elimu ya vitendo, ujasiriamali, viwanda na teknolojia,not betting.
Taifa haliwezi kujengwa kwa kubeti,linajengwa kwa kuzalisha💯💯
Serikali ifikirie upya,hatuwezi kujenga taifa kwa kuwapa vijana ndoto za mkato zisizo na kesho💯💯
Serikali haipaswi kulea kizazi kwa bahati nasibu badala ya fursa halisi. Vijana tuamke,hii si njia ya mafanikio💯💯
Indonesia

@Hunaiya153989 As long as mwanaume huyo ana mipango na bidii ya kuelekea huko.
Ni vile tuu dou'a zake hazijajibiwa ila anaonekana ana uthubutu na focus.
Sio wale hana chochote na wala hafkirii chochote, yeye kazi anayoijua ni kupiga sim anasema "babe njoo getto bhana,nimekumiss."
Huyo ni fala.
Filipino

@Hunaiya153989 Kumfundisha usafi ki uswahili tena,
Kuna watu wana akili za mazombies
Haha.
Indonesia

@InnocentMmbando @Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Hio mbaya.
Uza bei ile ile.
Türkçe

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Akija mteja mwingine na unaona anaeleweke unamuuzia kwa sh.13.
Indonesia

Rick Rose ana msemo wake,
Anasema ukitaka kuwa tajiri..
"Never leave any money on the table"
How..
Tuseme una duka lako, unauza nguo, mteja akaja anataka shati wewebukawa unaliuza kwa 10k.
Mteja ana 7k na analitaka sana hilo shati, ila hiyo 3k ya kuongezea hana.
Rick Rose anakwambia,
Mwambie mteja leta hiyo 7k, nakupa shati, kesho ukipata 3k uniletee uje umalizie deni lako!!!

Filipino

Enfant sage retweetledi

@nuru_yumyum Huyu aende tuu huko kwa wasukuma wampe za kienyeji.
Indonesia
















