
Nikiwa ni muhitimu Namshukuru Mungu nimeshiriki Mahafali ya 8 ya Seneti ya vyuo na vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam tarehe 06 June 2025, Iliyofanyika katika ukumbi wa Ubungo PLAZA ambapo mgeni rasmi alikuwa ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @TuliaAckson


Indonesia































