fredyagronomist
150 posts


Huku sio China au Japan, ni hapo Manyara.
➡️ Hanang
➡️ Dongobesh
➡️ Gitting
➡️ Katesh
➡️ Loiborsoit
➡️ Maghang
➡️ Muslur
➡️ Getanuwas
➡️ Endasaki
➡️ Haydom
➡️ Murkuchida
➡️ Datlaa
➡️ Bargish
➡️ Kainam
➡️ Terat
➡️ Waang'waray
➡️ Orkesumet
➡️ Hoshan
➡️ Dareda, n.k
Visit Manyara hutajutia 📸✈️

Indonesia
fredyagronomist retweetledi

NYASA TUNAKWENDA NA NANI ..?
Usikose kufuatilia MDAHALO kati ya magwiji wa siasa Nchini Tanzania, Mch. PETER MSIGWA na JOSEPH MBILINYI (SUGU).
Mdahalo huu utarushwa mubashara kupitia Runinga ya STAR TV na mitandao yake ya kijamii katika kipindi cha MEDANI ZA SIASA, siku ya Jumamosi ya 25/05/2024 kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku.
Tumetoa nafasi kwa watu wachache ambao ushiriki wao ulishathibitishwa kushuhudia mtanange huo Studio Live,
Lakini pia kwa wale watakao kuwa wanafatilia kupitia runinga watapata fursa ya kuchangia kupitia ukurasa zetu za mitandao ya kijamii na kwa njia ya simu.
Ulinzi mkali utakuwepo eneo la tukio wakati wote wa mjadala, Wote Mnakaribishwa.
@chiefodemba @MsigwaPeter @TheRealJongwe


Indonesia

JARIBU KUCHAGUA UPANDE HAPA, KWA KUPITIA HIZI NGOMA MKUU 😅
👉🏽 10 za JUX
~Uzuri wako🎶
~Sisikii🎶
~Nitasubiri🎶
~Fimbo🎶
~Nikuite nani🎶
~Napata raha🎶
~Wivu🎶
~Umenikamata🎶
~Utaniua🎶
~Unaniweza🎶
👉🏽10 za BEN PAUL
~Nikikupata🎶
~Pete🎶
~Number one Fan🎶
~Moyo Mashine🎶
~Sophia🎶
~Jikubali🎶
~Wapo🎶
~Wakuone🎶
~Samboira🎶
~Maneno🎶
NI HUMU TUU 😅
Indonesia
fredyagronomist retweetledi

Mfanyabiashara haongezi thamani kwenye bidhaa. Ana nunua chungwa shilingi 100 analiuza shilingi 150.
Mjasiriamali ana nunua chungwa na kutengeneza juisi kisha anauza.
Lubasha Jr@MarekaMalili
Hivi tofauti ya Mjasiriamali na Mfanyabiashara ni nini?
Filipino
fredyagronomist retweetledi

The Point here is:
Kuna limitation ya traffic VSAT inaweza kusafirisha, imagine subsea cable inasafirisha zaidi ya 1.2Tbps, hakuna satellite inaweza kufanya hata nusu ya hiyo.
Kingine kwenye Satellite, there's usually a fiber optic cable connection kati ya ground station...
Jackie@Jackie_officiel
Network Engineer. Your humble advice on this! @TOTTechs your team may advise
Filipino
fredyagronomist retweetledi

Siku hizi nikipenda Bidhaa au Huduma, nanunua hisa za kampuni (haijalishi ni ndogo kiasi gani).
Imagine toka iPhone zimeanza kutoka, badala ya kununua simu ungenunua hisa za Apple Inc. ungekuwa umenunua hiza za maybe $10,000… ambazo by now (depending on when you invested) ungeweza kuwa na kama $150,000 na pia pengine ungekuwa unatumiwa iPhone za bure by now! 🤷🏾♂️

Indonesia

Bila izi mbinu za kivita atutoboi,😁
Uwe na laini yenye zaidi ya miezi mitatu tangu isajiliwe kwa hii mitandao apa,👇
Airtel(1.2GB)
Tigo(1.5GB)
Halotel(2GB)
Kwa wale wa voda utapewa link ya VPN[500MBs] per day
Cha kufanya
📌Repost
📌Follow @dyabala01, cmnt ADD au Njoo DM

Indonesia

Ni jibu gani unatakiwa kutoa ukiulizwa swali hili kwenye interview?
Picha: enrollify.org
#EastAfricaTV #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Dodoso

Filipino

Jua Kali Ukija Bila Gadi, tunagawa kwa Wastani wa Idadi💪🏾💪🏾!!
Season 7 hii hapa,ukiikosa lia tu kwakweli!!
Cc @DStv_Tz @MaishaMagicTZ
Indonesia

@nyondothegun0 @jason_kanani @MalemboLE @FrankKisamo1 @VannesserMalick @_GiftApril_ @OMsodoki @FollowWestwood @Emilyyyy_nyondo Vip mkuu hivi shamba ya kitunguu kama acre 2 inataka capital kama ya sjingapi
Indonesia

UPANDAJI WA KITUNGUU
1. Matuta.
Una weza panda kitunguu kwa njia ya matuta kwa watu walio katika naeneo yenye mvua kali ama maji ni mengi sanaa. Sababu majai hayata weza kubaki sehemu moja na kitunguu ya namna hiii huwa ina kua kubwa sababu ya upatikanaji wa maji na aridhi yake kuwa simple kufumuka kwa ajili ya kitunguu kutanuka. Maeneo kama Iringa
2. Majaruba
Wengi wana tumia majaluba ni kwa maeneo ambayo wana pata na uhaba wa maji na wengi wana tegemea maji ya kisima so wana radhimika kutumia majaluba ili maji yaweze kutwama sehem moja na maeneo aya kitunguu kina kua cha size ya kati na ni cheusi. Maeneo kama Arusha
Note 📝. Kitunguu inayo pendwa ni hii ya hatua ya pili (jaruba ). Hatakma ni kdg kuliko kile cha matuta
Next time nita ereza why


Indonesia



















