@FaradayMtz01 Kuwa na makampuni mengi ya kimataifa sio Bora kama kuwa na makampuni mengi ya wazawa. Hii narrative kwamba lazima tuwe na wawekezaji kutoka nje hua ni ya kizamani sana. Serikali inapaswa kuwezesha makampuni ya wazawa na kuyapa nguvu ndo yaalike makampuni ya nje kuleta ushindani.
Makampuni ya kimataifa yenye ofisi Nairobi 🇰🇪
1. Google LLC
2. Microsoft
3. IBM
4. Oracle
5. Cisco
6. SAP
7. General Electric
8. Citibank
9. Unilever
10. Coca-Cola
11. BCG
12. Deloitte
Yenye ofisi Dar Es Salaam 🇹🇿
1. Yanga
2.Simba
3. Efm
4. Wasafi
5. Uchawa
6. Kitambaa cheupe
@JSabufa@VungaEl74 Aya majamaa yanayo force kutetea Kila kitu bila hoja kwa kutumia source za CNN, Fox News na maparody ya MAGA yote yapo kama yamekatwa vichwa.
@VungaEl74 Wewe unaongea kama wale wanaoteteaga mambo same sex marriage huwaga wanalazimushia na kuongea fact amabzo hazipo uskute pia wewe ni mmoja wao😂
Mchina ilikuwa ni swala la muda tu kufata mambo marekani anayo taka
Mchina mifumo yake yote ya ulinzi ilionekana dhaifu sana irani na Venezuela
Makombora yake aliyo kuwa akimpa irani yalikuwa ni rahisi sana kudunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Marekani na Isreal
Mifumo ya ndege za Marekani bado ziko juu sana kuliko za china kwenye rada
Kwenye technologies ya kivita na mtandao China kaachwa mbali sana
@PolycarpMDM Acha kuwa kama mbulukenge. Kujua ni lazima ukizingatia tunaishi Kwenye ulimwengu wenye unlimited information ambazo unaweza zichakata mwenyewe na kujua ukweli upon wapi. Labda kama wewe ni propagandist.
@Analyst_Oracle Sasa China Hajasema, USA hajasema.
Sasa tukae tuamini maelezo ya watu ya kukisia, Si ujinga huu.
At least China yeye mwenyewe angekua kasema, Sasa China Hajasema, wewe haya maneno yako yanatoka wapi?
Hao wachambuzi wapo katika Vikao huko China?
Nimeona Ile video wachina wamejazana kulicheki lile ndege linalobeba mizigo C-17 Globemaster III ambalo limeshusha magari yote ya Msafara wa Trump China.
Wamarekani wanalalamika kwanini wameruhusiwa kusogelea kiasi kikubwa Vile 😁
@PolycarpMDM Kwahiyo mpaka waseme? Wewe unaishi duniani au ndo ushatangulia Mars? Ivi unafikiri kwa akili kama Yako ya kusubiri kuambiwa ndo ujue unafikiri watu wangekuwa wanafanya market analysis ili kujua supply na demand? Kwahiyo wakae wasubiri serikali ziseme ili wajue wapi pakuwekeza?
@PolycarpMDM Hawawezi sema kwasababu ya egos walizokuwa nazo. They are too arrogant to admit. Pia kidiplomasia Chinese Government haiwezi ongelea hivyo. Ila politicians na analyst watasema ukweli.
@Dagwaaa@PolycarpMDM Sasa USA ana saidia Nini ulimwengu zaidi ya vita na chaos Kila Kona. Siasa zao ni zakipuuzi sana. Ubepari wakishenzi ndo unaendelea hapo Washington.
Moja ya agenda aliyobeba Trump kwenda nayo China ni kuwaomba jamaa warudi kununua soya ya Marekani. Lima utakavyolima. Fainali ni soko. Ungewashaurije Wachina?
They told the whole world to avoid China. Decouple. De-risk. Sanctions. Tariffs. War rhetoric.
Then 12 US capitalists flew to Beijing to beg the Communist Party for deals.
Elon Musk. Top CEOs. Trump himself. All in China. Smiling. Shaking hands. Asking for business.
The same politicians who call China an "evil empire" are now standing in Beijing with their hands out.
Told Africa to stay away from China. Told Europe to cut ties. Told everyone China is a threat.
But when their economy is burning, when their factories are shutting, when their own system is failing, where do they run?
Beijing.
They do not believe their own lies. They just want you to.
Hypocrisy has no borders. But neither does desperation.
China imebadilisha rasmi herufi za Kichina zinazotumika kuandika jina la Marco Rubio ili kukwepa vikwazo vyake yenyewe dhidi ya Rubio.
Mamlaka za China zilibadilisha herufi za jina lake la mwisho na kutumia neno “Lu” (卢), jambo lililomwezesha Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuingia nchini humo licha ya marufuku ya kusafiri aliyowekewa na Beijing mwaka 2020.
Nini Maoni yako?
Kujinyonga is not for the weak mazee, jirani yangu nikiwa chuo aliwahi kujinyonga Ile situation tulimkuta nayo huwa haifutiki akilini, tulimkuta jamaa kajinyea akiwa kaning'inia. Kila nikipitia mazito nakumbuka ile scene najikaza tu kuendelea kupambana, sitaki mje mnikute na mavi
@Gibson44178359@HabiibYahyaa USA imeshafall. Hawana ushawishi Tena. Ziara ya Trump kwenda China ni kwaajili ya kusettle baadhi ya mambo ambayo yanaumiza uchumi wa Marekani. Ndio maana yupo na jopo la maCEO. Hawajaenda kupiga picha kaka. Hivi unahabari kwamba Tesla battery zilikua zinatoka China?
Rais wa Marekani Donald Trump tayari amewasili Jijini Beijing nchini China 🇨🇳 dakika 30 zilizopita ikiwa kwasasa ni saa 2:20 usiku ambapo amepokelewa na Makamu wa Rais wa China.
Stori kubwa zaidi ni kuwa Trump amesafiri na MaCEO zaidi ya 12 wa Makampuni makubwa nchini Marekani ambapo wanaenda kutazama fursa na kufungua soko la China nchini Marekani.
🎥 Rapid Response
Mhindi anafungua duka saa 2, then saa 7 anafunga anaenda lunch anafungua saa 8 na saa 11 jioni anafunga anaenda nyumbani,
Mwisho wa mwaka anaenda Vacation na familia wanakaa wiki nzima na wanaishi fresh kabisa.
Hawa jamaa wametupiga gap kubwa mno kwenye masuala ya maisha.