Donforgen
3.1K posts

Donforgen
@BDonforgen
Medical personnel: God'splan's. Optimistic: Height 6Ft || 73Inc || 187Cm Life student ..
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2019
2.8K Takip Edilen1.4K Takipçiler

@association_mat @wizara_afyatz @mugishankoronko Nashauri mngeongeza muda badala ya zoezi ya ku update leseni kuisha 31 march liishe 30 April kwasababu mpaka leo hii tumebakiza siku 14 tu mwezi uishe Nadhani hautoshii
Indonesia

@moses11726771 @MsomiKhan18 MD KIUT imeanza mwaka jana hapakuwa na MD kama MD usikurupuke
Indonesia

@Sage_medics My friend failed to graduate because of too much “Kampala nights”
English

@munyamambogo @Alvingtonhk @BakizaHamiss @bajabiri @TBoundBuses @AbroadTanzania @AFRIKA_JANA @Baba_aika1 @donminja47 @SeekNaturalLife @Abdulbakari9 @fadhili_ndilla Kwanini kuna changamoto gan?
Filipino

Kampuni pekee ambayo Ina magari mengi lakini madereva wanaogopa kufanya kazi yupo lazi akae bila kazi kuliko kufanya kazi ASAS @Alvingtonhk @BakizaHamiss @bajabiri @TBoundBuses @AbroadTanzania @AFRIKA_JANA @Baba_aika1 @donminja47 @SeekNaturalLife @Abdulbakari9 @fadhili_ndilla



Indonesia

@MarkMwandosya Happy birthday Mzee, I have a question here
“What’s one thing you’d advise a 30yrs man”
English

Christmas mwaka 2020 ilinikuta internship pale Mloga Nikiwa na adhabu ya kufanya kazi sikuuu na mwaka mpya. Hapa Nilikua sijui itakuje huko mbeleni maana ilikua Giza tupu.
Christmas mwaka 2021 ilinikuta wodini Tamisenga pale kigoma mjini. Nilikua nimeitwa interview ubalozi wa Marekani lakini sikwenda bcoz nilikua sina hata hela ya kulipia visa na nauli ya USA. Niliamua kula vant tu.
Christmas mwaka 2022 nilikua nishasepa Tamisenga niko kibondo huko najitafuta kwenye mashirika. Hapa nilipata pesa ya visa, nauli na vitu muhimu.
Christmas mwaka 2023 nilikua Las Vegas Nevada🇺🇸. Hapa Nilikua Niko na full scholarship ride.
Christmas mwaka 2024 Nilikua Springfield Missouri. 🇺🇸
Christmas mwaka 2025 inanikuta nimemaliza chuo, nafanya kazi huku naweka mipango ya familia. 🇺🇸
Kitu kikubwa sana nimejifunza ni kwamba, kama Kijana inabidi ue na plan mfukoni haijalishi una Pesa au huna. Just have a plan. It will guide you unapotaka kwenda.




Indonesia

@koku_shekya Hii perfume Si. nmritumiaga muda mrefu kidogo sijafanikiwa kuipara tena
Indonesia





























