Hamidu Bobali

21 posts

Hamidu Bobali

Hamidu Bobali

@BobaliHamidu

Katılım Ocak 2016
62 Takip Edilen146 Takipçiler
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
@ThatBoyKhalifax umetafuta tu namna ya kutuingiza @ACTwazalendo katika jambo hili. Mfano wako wa Mbunge wa Konde ni mfano wa kufinyanga finyanga wala hauna uzito. Chama pekee cha Upinzani kilichotayari hata leo kuongoza nchi hii ni ACT Wazalendo. Sababu tunazo; 1. Ndio chama pekee cha upinzani kilicho pande zote za Muungano bila kutafuta kwa tochi. Tupo Zanzibar na tupo Tanganyika. Wewe unajua na Dunia inajua. 2. Ndio Chama pekee cha Upinzani ambacho kimeweka wazi bila chembe ya ubaguzi msimamo wake kuhusu Muungano. Kwamba tunataka Muungano wa HAKI ( Nchi washirika wa Muungano kuwa na haki zao kwa mujibu wa mkataba wa Muungano), Muungano wa USAWA ( kutambua kuwa nchi mbili zinazounda Tanzania ni sawa mbele ya sheria za kimataifa ) na Muungano wa KUHESHIMIANA ( kwa wananchi wa nchi hizi waheshimu kila mmoja badala kuonana hawa wadogo au wakubwa etc). Muungano huo ni Muungano wa Serikali 3. Wewe unajua, dunia inajua! 3. Ni Chama kinakataa POPULISM sio kwa misingi yake kwenye katiba tu bali kwa kufundisha vijana wetu kutojenga hoja kwa misingi ya CHUKI au UBAGUZI. Tulikataa kujenga hoja ya Bandari kwa misingi ya Rais katoka wapi, bali tulifanya uchambuzi wa kisera na HAKUNA CHAMA HATA KIMOJA NCHINI KILIFANYA UCHAMBUZI WA HOJA ILE. Wewe unajua, dunia inajua! 4. Ni chama pekee ambacho kinakosoa na kutoa mbadala. Nionyeshe chama kimoja chenye sera distinct kabisa kuhusu jambo nyeti la nchi tofauti na ACT Wazalendo. Sera yetu ya Hifadhi ya Jamii kwa wote ndio sera pekee kutoka chama cha siasa ya wazi ambayo ina address jambo moja kubwa la afya za watu na maisha yao ya uzeeni. Show me one other party with a clear policy like that. Hakuna. Wewe unajua, na dunia inajua. 5. Tumeunda Serikali kivuli yenye watu mahiri na weledi ambao wakati wowote wanaweza kuwa mawaziri katika Serikali. @ACTBarazaKivuli ndio chombo pekee cha chama cha siasa cha upinzani kinachotoa mbadala kila uchao kwa kila Wizara za Serikali. Nionyeshe chama kingine. Hakuna. Wewe unajua hili vizuri kuliko dunia inavyojua. Licha ya Baraza Kivuli la Mawaziri kuwa most diverse pia uongozi wa chama chetu utazame unaliona TAIFA ( Jinsia, North, South, Pemba, Unguja, Dini, Umri ). Tazama picha hizo za shadow cabinet na secretariat ya chama chetu na viongozi wa kitaifa. Nionyeshe mfano wa hili katika vyama vya Tanzania. Bahati mbaya nchi yetu haina wachambuzi wa hoja. Kuna watu wakikosea ili muwe objective inabidi mkosoe na wengine wala hawamo. SISI HATUMO HUMO Khalifa, umetuonea! Tuondoe kwenye hii makala yako. Haina maana sisi ni kamilifu kwa 100%, la hasha. Tunayo mapungufu ambayo tunayafanyia kazi. Kwenye UBAGUZI unatuonea. Hujatutendea haki. Umetaka tu kubalance makala yako ili na sisi tuwemo. Tunapinga UFASHISTI sisi. Wajibu wetu ni kuunganisha watu sio kugawa watu. Huwezi kutuona huko kwa sababu tuna stake pande zote. Ni wale tu wasio na stake mahala ndio wanaweza kubagua watu wa mahala huko. Sisi tunajua kuwa ULAGHAI ni njia fupi na haraka kushika dola lakini sio njia ya kudumu. Tunajua kuwa tunataka tuchaguliwe kwa SERA zetu. Taifa la Wote, Maslahi ya wote ni Ahadi yetu kwa Watanzania kujenga Taifa lisilo na ubaguzi na lenye ustawi kwa wote. Zanzibar Mpya, Zanzibar Moja yenye Mamlaka Kamili ni Ahadi yetu kwa Wazanzibari kujenga Zanzibar yenye mamlaka katika mambo yake kwa ajili ya ustawi wake. Sisi tupo tayari kuchukua usukani wa nchi zetu na kutekeleza sera za uchumi zinazokuza uchumi unaozalisha ajira nyingi na bora. Hakuna mtu ana doubt mawazo yetu kwenye uchumi. Yupo? Ajitokeze tufanye mdahalo. Kwa heshima na taadhima, tuondoe humu Khalifa. Chama chetu na wanachama wake wanapinga UKABURU wa aina yeyote. UKABURU NI UKABURU tu. Populism is dangerous! Usituweke humo please @TheChanzo
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet mediaZitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
The Chanzo@TheChanzo

Nioneshe Chama Kilichotayari Kurithi Mikoba ya CCM Kama Chama Tawala ‘Tanzania’ thechanzo.com/2024/05/02/nio…

Indonesia
40
37
48
13.3K
Flaviana Matata
Flaviana Matata@FlavianaMatata·
Mijadala kama hii huwa haiibuki wakiteuliwa wanaume hata kama hawana uwezo wa kuongoza yaani “wamebebwa”. Tukubali au tukatae jamii yetu ina tatizo la ku underestimate wanawake wenye muonekano flani.
Indonesia
490
256
3.6K
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
👉Diwani husikii sana! Yaani huyu Fred Kibuta ishia kumpa kazi za kuisaidia CCM lakini unampa kazi ya kunisaka mimi hataiweza! 👉Mwambie hii namba 0747 204392 nimesikiliza kila kitu anachoongea na Ndege(umerudia tena) kutaka kumpa $300,000 ku engage kampuni ku hach account yangu!
Kigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet mediaKigogo Media tweet media
Indonesia
117
92
1.7K
0
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Siku moja Mtume Muhammad (S.A.W) alimuona Mwarabu jangwani akiacha ngamia wake bila ya kumfunga. Akamuuliza, "Kwanini haumfungi ngamia wako?" Naye akajibu, “Nimeweka imani yangu kwa Mungu." Aliposikia hivo, Mtume akajibu, "Mfunge ngamia wako kwanza, kisha uweke imani kwa Mungu."
Filipino
517
460
5.3K
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
@swahilitimes Ngwali muogope mungu..kama kweli hizo ndio sababu kwanini basi haukusubiri kumaliza muda wako wa kumaliza bunge???.. umefika bei kaka.... sema tu ukweli
Filipino
0
0
0
0
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mbunge wa Jimbo la Ziwani Kisiwani Pemba, Ahmed Juma Ngwali (CUF) akielezea sababu za kujiondoa katika chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Indonesia
22
12
213
0
Jokate Mwegelo
Jokate Mwegelo@jokateM·
Usinune/Kususa ukishushwa cheo-kufukuzwa. Na usijikweze ukipewa Nafasi. Cheo/Uongozi ni dhamana hivyo huwezi kuona wewe ni bora sana au unastahili zaidi kuliko mwingine ni nafasi tu zinatoka na kuondoka kwa kudra na majaaliwa yake Mwenyezi Mungu mwenye kujua hesabu zetu duniani
Indonesia
255
185
2.2K
0
SAUTI YA WATANZANIA
SAUTI YA WATANZANIA@_uzalendo·
Wakati mwingine tuwaachie wasanii waonyeshe hisia zao kwa kiongozi wao,ilimradi hawafanyi kwa nia mbaya,hakuna sababu ya kuwaadhibu,Siku ya kuzaliwa kwa kiongozi wa nchi kila mtu anahaki ya kufikisha ujumbe wake kufurahia uwepo wa kiongozi wetu akiwa na afya.
SAUTI YA WATANZANIA tweet media
Indonesia
297
119
1.7K
0
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Wanaomfahamu Ezekiel Kamwaga mtajadharisheni! Team ile ile iliyomfuata Erick wanakuwinda siku ya 2 leo. Wamepewa ultimatum Jpili uwe kwa Kayafa.. Be carefull na endelea kufunikwa na dawa ya Yesu maana watesi wako wako mawindoni! Wanaamini Erick kakuachia nyaraka wanazozitafuta
Indonesia
118
137
1.5K
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Msaidizi wa Mhe. Zitto Kabwe( mbunge wa kigoma mjini) anaetambulika kwa jina la Raphael ametekwa na watu wasiojulikana na sasa account za social media za Mhe. Zitto zinatumika kuandika mambo ya hovyo sana...Tena hovyo kabisa....Kama watanzania tunapaswa kulaani vitendo hivi.
Filipino
0
0
2
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Tuwaite watoto wetu majina yenye maana nzuri.... Kwa taarifa yako, majina huakisi matendo yetu pia....mfano ni huu Maana ya neno Assad.. 1. As'ad - maana yake furaha 2. Asad - maana yake simba (haogopi) 3. Azad - maana yake ni Uhuru.. Tamka uwezavyo maana bado ni fire.
Indonesia
0
0
2
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Kwaiyo alielima shamba la Bhangi ili agawe bure kwa wavutaji yeye si mtu wa hovyo!!!. Ila alievuta bhangi hiyo kisha akapiga kelele mtaani yeye ni hayawani kabisa sio!!!!.. Hivi siku hizi sifa za kuwa mkuu wa mkoa ni nini???..
Hamidu Bobali tweet media
Indonesia
1
0
1
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Nchi yetu itabaki milele kuwa Tanzania ...Dahali na Dahali....lkn Serikali zitabadilika sana....Naipenda Tanzania...lkn ninawapinga sana watu wanao tuongoza kwa Sera zao zilizokosa macho mapevu kwenye sekta za kiuchumi, kisiasa na kijamii
Hamidu Bobali tweet media
Indonesia
0
0
1
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Anesema kuikosoa serikali ni kuitukana nchi... Anakosea sana...tena sana....serikali na nchi ni vitu viwili tofauti....serikali ni watu na nchi ni ardhi iliyo ndani ya mipaka yetu....unaweza ukaikosoa serikali na hata kuikataa lkn hauwezi ikataa nchi yako
Hamidu Bobali tweet media
Indonesia
0
0
2
0
Hamidu Bobali
Hamidu Bobali@BobaliHamidu·
Yes ni listening tour .makundi maalum ya Vijana, wanawake na walemavu tumewafikia na kuwasikiliza
Hamidu Bobali tweet media
Indonesia
0
0
7
0