Ochellah Chembe
53 posts


@SadaraSued @VungaEl74 Acha wongo ulisha wahi ona
Bus la kichina lina Standard ya marcopolo au ulishawahi on marcopolo ina Standard ya Yutong
Ulishawahi ona howo ina Standard ya benz au scania au Ulishawahi on scania ina Standard Faw
Ubora ni culture inatoka n wewe ulivyo
Filipino

Huyo dogo anacheza sana PS😀
Fabrizio Romano@FabrizioRomano
🔵🔴👟 Lamine Yamal: “My L2 pass? It’s just natural for me… I’m not practising that in training”.
Euskara

@NgenyaDr26543 @MwanzoTvPlus Huna akili kwamba hayo maelezo yote haujaelewa kitu
Indonesia

@MwanzoTvPlus Sikukuu ya ead ya kuchinja ni Ibada kwa waislam na kutoa sadaka ile nyama ni ibada ..sasa watu wasifanye ibada kwa ajili yao
Indonesia

#TANZANIA: WAFANYABIASHARA YA NYAMA MJINI SINGIDA WAGOMA KISA WAFADHILI KUNUNUA MIFUGO KWA BEI KUBWA NA KUTOA NYAMA BURE KWA WANANCHI.
Wafanyabishara ya Nyama katika Manispaa ya #Singida wamegoma kuchinja mifugo kwa madai kuwa bei ya mifugo imepanda maradufu kutokana na mifugo hiyo kununuliwa kwa bei kubwa na wafadhili kutoka mataifa ya nje ya nchi kwa ajili ya ibada ya chinja inayofanywa na Waislamu hata baada ya sikuu ya Iddi kuisha.
Wafanyabishara hao wamesema hata wakijitahidi kununua mifugo na kuchinja biashara inakuwa mbaya kutokana na wafadhili hao kugawa nyama bure kwa wananchi hali ambayo inasababisha wapate hasara na wameiomba Serikali kuweka utaratibu mzuri wa ibada ya kuchinja ili nao wao waweze kufanya biashara kwa sababu kwa sasa hali ni mbaya.
Mwenyekiti wa wauza nyama manispaa ya Singida Omary Mbaraka amesema uhitaji wa nyama mkoani Singida haupo kutokana na wananchi wengi kupewa nyama bure na waturuki na wamisri hata baada ya sikukuu ya Eid kuisha
Aidha ameongeza kuwa hawana kikomo cha mgomo huo ni mpaka pale watakapojiridhisha hali ya soko lao kuwa sawa na wao kufanya biashara na kupata faida
Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Singida, Godwin Gondwe amesema kufuatia hali hiyo tayari ameshakaa nao pamoja wauza nyama na uongozi wa wilaya pamoja na wale wanaochinja kwa ajili ya sadaka na kukubaliana kufanya hivyo mara moja kwa mwaka

Filipino
Ochellah Chembe retweetledi

Taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ni kwamba wajumbe wote wa bodi ya klabu ya @SimbaSCTanzania kutokea upande wa mwekezaji @moodewji wamejiuzulu!
Indonesia

@valence2853 @TMnyama4_ Anapaswa kulaumiwa aisee ilitakiwa iwe three some
Filipino

@_MrSham @Iam_denie Ona huyu, sasa mbona wewe unaishi kwenye Dunia ya Mungu ambae hapendi ushetani. Si ungehama, ukakae kweny dunia aliyoumba shetani huko unaemsapoti.
Filipino

@OriginoZee17 Kuna application ya kutrack matumizi ya bando wakitaka kuiba tu inakupa notification unazima data kidogo afu unawasha baadae🤣
Indonesia
Ochellah Chembe retweetledi

@Alphayotz @swahilitimes Ukweli
Walikuwa wanachimba methane gas
Sasa iltokea hitilafu ikabidi wawashe moto ili methane isilete athari angani
Sasa hawakujua cubes za deposition zilizopo wakajua moto utaisha fasta kumbe assumptions zao hazikua sahihi
Halaf halflife ya methane ni 10yrs
Filipino

Mwaka 1971, Wanajiolojia wa Soviet waliwasha moto huko Turkmenistan, Asia ya Kati ili kuzuia kuenea kwa gesi yenye sumu wakiamini ungezimwa baada ya muda mfupi.
Cha kushangaza, moto huo haujazimika hadi leo, licha ya juhudi mbalimbali zilizofanyika. Eneo hilo linajulikana kama ‘Darvaza Gas Crater’ au Mlango wa Kuzimu.

Indonesia
Ochellah Chembe retweetledi

JAMVI LA KIJIWE
Leipzig ✅
Man city✅
Porto✅
Barca✅
Atletico✅
PSG✅
Leicester✅
Mamelodi ✅
Berkane X2
Code: 58F8A2C
Hapa tumtoe nani aingie nani? Gusa link bit.ly/BTTW01 kisa uweke mkeka wako tupige pesa za Christmas
#ShindaNaBetway
Indonesia

@Iam_denie Nitamuambia ili aache kuniauzia coz mdogo wake inatakiwa anipe bure
Indonesia
Ochellah Chembe retweetledi

@ChoperWang Unauliza swali na ukikuta kuna konyeza fira kabisa
Filipino






























