Sabitlenmiş Tweet
Cowboy
7.6K posts

Cowboy
@RMbeyale
gentlemen, Jesus disciple, marketer by profferisional, basketball, choleric personality
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2014
745 Takip Edilen1K Takipçiler

@EliabuDanford Ukiacha elimu kuna damage pia
Mfano
USA kuwa Gangs
S.Africa kutumia madawa kulevya
India kuwa Shoga
Ulaya kuzalau mazingira ya maisha ya Africa
Nk
Filipino

Wakati wazungu, wachina wanafikiria kutawala Dunia ndugu zetu waliopata exposure na elimu huko nje
Amiri King@AmiriKing
I’m sorry but this is the most r€tarded culture on the planet and it’s not even close.
Indonesia

@PolycarpMDM Wenzetu hawaangali ukubwa wanaangalia efficiency ya jambo hilo eneo lina weza limwa hata mara 3 kwa mwaka sisi msimu moja tu tupo hoi
Indonesia

@SadaraSued @VungaEl74 Kwaiyo kwenye production process mchina kwa sasa hana uwezo wa kumkuta mswedeni, Germany na Japan kwenye product quality
Filipino

@RMbeyale @VungaEl74 Kuna kitu kinaitwa "new product development". Unatengeneza bidhaa zenye ubora mbalimbali ili uongeze sales volume. Mchina anakutengenezea bidhaa ya 1M na bidhaa ya 100k uchague ww. Angalia pia ile kampuni ya coca cola huko amerika ilianza na coca tu baadae fanta, novida n.k
Indonesia

@SadaraSued @VungaEl74 Usisahau tweet yk kuwa mchina anatengeneza kitu kutoka na uhitaji wako
Je soko la benz na scania kali hudumia????
tunaojua tunajua hana huo uwezo cozy kuna howo zinatumia engine na production za MAN ya German ili kufikia au kujalibu kufikia hili soko
Indonesia

@RMbeyale @VungaEl74 Huko kwenye trucks scania , benz mjapan yupo noma na hzo bidhaa za wenye high purchasing power. Lakini ukija kwenye higher population ambao ni wengi masikini mchina ananufaika kwa kuweka variety which is something profitable
Filipino

@SatisGreenFoods @Isayadicksonjr It's natural bro, if you business man material hata ukiajiriwa you soul don't stop to tells you that place is not where u belong to unakuwa km unaugomvi wa nafsi yk lkn km mtu anaweza pewa kila kitu na asitoboe
Indonesia

@RMbeyale @Isayadicksonjr No, they are made, bro. It is like saying business is a talent, not a skill. People learn from each other to do business. That's what has made many Nigerians very successful. Dangote biashara ya mafuta kajifunza kutoka kwa billioner mwenzake Nigeria.
English

@SatisGreenFoods @Isayadicksonjr Yaaah sometimes your who surround you but business man born not made
English

@RMbeyale @Isayadicksonjr Rich people speak the same language, and so are the poor.
English

@SadaraSued @VungaEl74 Acha wongo ulisha wahi ona
Bus la kichina lina Standard ya marcopolo au ulishawahi on marcopolo ina Standard ya Yutong
Ulishawahi ona howo ina Standard ya benz au scania au Ulishawahi on scania ina Standard Faw
Ubora ni culture inatoka n wewe ulivyo
Filipino

@VungaEl74 Mchina ni kama wnga wa karkoo ulivokuja ndivo anavokupokea, ana options nyingi make it simple to use
Indonesia

@Isayadicksonjr @ItsKamala Tengeneza saloni tu mtaani ya kawaida mwambie kinyozi wako kila siku akupe 12k kwa mwezi una 360k
Au nunua hata bajaji used demand ya transport ni kubwa mno
Indonesia

@ItsKamala Wakufunzi wanasema ni uwekezaji wa log term plans..
Indonesia

@SatisGreenFoods @Isayadicksonjr Ila shule zilitualibu sana seeh
Utajiri wetu sisi maskini ni kutawala mazingira tunayoishi kifedha sasa nambie wewe kwenye mazingira unayoishi unaweza kuzalisha cement
Indonesia

@Isayadicksonjr Dangote alianza kwa kununua stock ata kabla ya kuwa na viwanda. Kuna vitu vingi vikubwa mtu utajifunza na connection nyingi utapata kwa kuuzulia vikao vya makampuni makubwa uliyonunua stock. Pia inakupatia self discipline ya ku control pesa.
Indonesia

@hataweweunaweza @Kicheche_jr Hata Yesu alilipia grahama ya dhambi zetu wewe unataka bure anyway zipo ila agano jipya na kingereza
Filipino

@FaradayMtz01 KENYA market place kwa East Africa
Zone nyingine zina S.Africa Nigeria na Egypt
Filipino

@_realmeter @SangKip4 Also ask yourself why? Most Chinese project use Japanese cars especial klugger
English

@_realmeter @SangKip4 Not true
boxer and tvs took large share of East Africa market because are more durable in global market there's various of tukutuku but do you think why? We brought Re, bajaj and Tv
English

@_realmeter @SangKip4 Our cars 90% are second hand car
From Japan we always believe on durability thus y? We sales them even more than 4 time,
Chinese Car are less durable there's large number 113 scania on road more than HOWO 2010 same to yutong and marcopolo
English

@MustapherM @MalisaGJ_ Maisha tu tamebadilika sana vyakula hali ya hewa nk lkn pia zaman pombe kali ilikuwa konyagi
Wanywaji wa gongo hao walikuwa wanaanguka wenyewe bila sababu nowadays ndio tumejua ni tatizo la figo
Indonesia

@MalisaGJ_ nini kinachosababisha ongezeko la matatizo ya figo? maana kama pombe watu walikuwa wanakunywa toka mababu hakukuwa na hizi shida, wataalamu wa sekta ya Afya wanapaswa kuchukulia hili kama janga wafanye reseach kutunusuru kawa ni madawa tujue maana maisha ni yaleyale.
Indonesia













