Criticalthinker

4.3K posts

Criticalthinker banner
Criticalthinker

Criticalthinker

@ChachaMathias2

Certificatied batchelor. #handtomouthbattalion

unkown Katılım Eylül 2021
913 Takip Edilen832 Takipçiler
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
Kuna vijana walienda Ajira za Vijijini wakiwa na confidence kubwa sana kuhusu maisha yao. Walikuwa wanaota biashara, investments, travelling, big city life… Nowadays wanaishi tu from salary to salary waiting for years to pass. That pain is real .
Filipino
24
69
719
23.9K
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Mzazi kama una binti alafu kuna kijana humjui hapo mtaani ila hajawahi kukupita bila kukusalimia kamata huyo janja ndio mwenyewe 😁😁😁
Indonesia
53
113
649
16.6K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kama umemkosea Girlfriend wako ukamuomba msamaha yakaisha alafu baadae akayaanzisha tena. Ujue alienda kuwasimulia marafiki zake alafu Board ya wakurugenzi hawakukubaliana na hilo swala.
Indonesia
37
73
400
7.8K
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Umeona kabisa maisha yamepanda kila kitu bei juu baadala ujiongeze na wewe bado upo hapo ofisini unasubiria hiyo laki 8 au 1M kwa mwezi ambayo inaishia kwenye mihogo na nauli 🫵🏾🫵🏾
Filipino
31
29
427
36.6K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kijijini ilikuwa bora umpe mtoto wa mtu mimba wazee watakuelewa kuliko kuruhusu ng'ombe kula hilo kitu baada ya kuzaa. Utahama nakwambia
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽 tweet media
Indonesia
52
51
624
55.7K
Professor🇹🇿🇪🇹
Professor🇹🇿🇪🇹@ProfessorTZA19·
@yaredy30 Kama ni hivyoo sawa nimekupata maana niliona mpaka wale diploma walioko secondary waliambiwa warudi wakafundishe msingi au wajiendeleze
Indonesia
1
0
0
152
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨⛔️ Some of the main players left out of France squad for the World Cup. ❌🇫🇷 ❌ Eduardo Camavinga ❌ Khéphren Thuram ❌ Corentin Tolisso ❌ Randal Kolo Muani ❌ El Junior Kroupi ❌ Florian Thauvin ❌ Esteban Lepaul ❌ Pierre Kalulu
Fabrizio Romano tweet media
English
2.1K
2.8K
37.5K
4.5M
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Hakuna mechi hapa ngoja niendelee na mambo yangu
Indonesia
7
6
55
1.5K
Commentator
Commentator@Jovin_festo·
@chapo255 Chanukah popote unapotokea ni mbali sana always waga nasema Chanika ule ni mkoa mwingine
Filipino
1
0
7
1.3K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Wazee Chanika mbali kinoma, sijui kwanini mnaisemaga Kigamboni. Ule ni mkoa mwingine kabisa😂
Eesti
49
44
710
22.7K
Tee🌸
Tee🌸@tracytrachu·
Kuna mkaka tiktok anaitwa ottie kapangiwa na tamisemi Mara huko😂Yupo kuwabebesha vyuma kijiji kizima😂
Filipino
26
38
850
65.4K
This Is Idrisa
This Is Idrisa@mnunguyeidrisa·
@TriciaAbou Trica Amini Nakuambia Hakuna Timu Inachukiwa Duniani Kama Barcelona, We Si Unaona Arsenal Inachukiwa Hiyo Ni Nusu Tu. Watu Wanafurahi Kuona Barcelona Inavyoteseka Kinoma
Indonesia
3
0
1
520
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Huko unapoishi vipi zile kelele za kusawazisha goli la West ham, zilikuaje 😂 Oyaa nilisikia kelele hizo hapana asee, tunachukiwa bana 🙌🏻
हिन्दी
30
18
322
7.1K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Kama hukumwona Iniesta basi mtazame Pedri.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Filipino
58
33
1K
42.8K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Hivi mtu umeishi na mtu zaidi ya mwaka, bila ndoa, siku mkitaka kufunga ndoa kuna haja ya send off kweli? 😅😅
Indonesia
12
1
84
5.4K