Simon Sanga
202 posts


@HildaNewton21 Au alikubali kufirwa na mafwele na vikosi vyake hayo pia ni maswali ya kujiuliza
Indonesia

Buyobe baada ya kupewa dhamana, alisema kwamba anataka kuondoka nchini kwasababu maisha yake yapo kwenye risk maana Mafwele anamtafuta sana na aliahidi kwamba lazima atamfira kama akina Boniface Mwangi.
Wakati ule baada ya mambo ya Oktoba 29, mipaka ya kwenda nchini Kenya ukiwa unatoka Tanzania ilikuwa na ulinzi mkali sana kwasababu Serikali haram ilikuwa inaamini kwamba watu wakitaka kukimbia option yao ya kwanza ni Kenya so Buyobe alishauriwa kwamba aende nchini Zambia kwasababu hakutolewi sana macho kama Kenya lakin alikataa kabisa option ya kwenda Zambia, akang’ang’ania kwenda Kenya so ikabidi washauri wakubaliane nae.
Akaenda Kenya lakin hata alipokuwa Kenya kuna wadau aliwambia kwamba Polisi wameenda nyumbani na kazini kwa mkewe CRDB, walimsumbua sana mkewe ili awaonyeshe alipo yeye.
Cha kushangaza ile siku ya tukio la utekaji aliposikia kwamba Mshabaha amenusurika kutekwa, Buyobe akakimbilia Busia badae akarudi zake Bongo kuendelea na maisha yake mpaka leo.
Je vitisho vya Mafwele dhidi ya Buyobe viliisha baada ya kufeli kwa Jaribio la kutaka kumteka Mshabaha? 😂😂😂.
Je baada ya kufeli kwa jaribio la kumteka Mshabaha, Polisi waliacha kumsumbua mkewe.?
Filipino

Asanteni mahi zangu😜, nimeenda mabibo mzigo wa kutosha na chenchi imebaki 🤭🤭💃🏽

Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼@MsFrancic
Msaaada hivi kati ya Mabibo sokoni na Mwananyamala wapi wana vitu bei nzuri 🤦🏾♀️
Filipino

@daktariwawatoto ndio akabidhiwe nchi huyu atauza hadi vibonge
Filipino

@maipambomteta @Ibrah_Sheby subili ujumbe wa tuma na ya kutolea
Indonesia

Nimetimiza siku ya4 bila kuoga ila kula nimekula kwa mdogo wangu @Ibrah_Sheby dogo ulitisha sana jana uliniokolea $10,sema nini sikuingine tukikutana kwa folen nipe na maji ya kuoga.😃
Zambia 🇿🇲 Indonesia

@danchibodc mabadiliko yanakuja kwakufanya kazi omba uzima tu kwa Mungu mengine yapo juu yako
Indonesia

@TweveDevota @AbdulAlly253493 ujue mwenye shamba anavutia bangi maeneo hayo
Indonesia
















