Irene Darton

5.6K posts

Irene Darton

Irene Darton

@DartonIrene

Travelers

Katılım Aralık 2020
541 Takip Edilen1.7K Takipçiler
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Kwako Mr. Mpina, Mimi naamini wewe una nia ya kweli ya kupambana na mfumo uliopo ila tatizo ni chama ulichoenda. You will NEVER get the platform or the respect you deserve kama utaendelea kufanya upinzani huku unakaa meza moja na kina Zitto Kabwe. Angalia hiyo video hapo ya Zitto akitukebehi Watanzania kipindi tunajipanga na maandamano, yani anamuhakikishia Samia na CCM usalama. Kaka Mpina Kama una nia ya kweli ya kupambana basi Watanzania tunakuomba ukajiunge na Chadema. Ule ndio upinzani pekee unaoaminiwa na Watanzania. Kaongeze nguvu kule Chadema, na ukifika Chadema ndio sasa utapata platform na sikio la Watanzania. Ila ukibaki ACT Wazalendo utaonekana katuni tu hutokaa uheshimike kwenye nchi. A few days ago bonge la news limtoka kuhusu Bunge la Marekani na Bill yao juu ya mauaji ya October 29, sasa pitia page ya viongozi ya Chadema wameruka na habari, sasa pitia page ya viongozi wa vyama vingine vya upinzani, wamejikausha kama hawajaona. Mpaka hapo huna haja ya kuuliza Tz mpinzani ni nani na puppet wa Samia ni nani.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Filipino
43
160
958
30.7K
Irene Darton
Irene Darton@DartonIrene·
If any investigators/ journalists adhere to rules and regulations of balancing the story when creating a documentary or any sort of narrative, the government gives it's full cooperation but not one nonsense @LarryMadowo who just chooses a side that benefits him and his news agency
English
1
0
1
189
Justice/Ubun2
Justice/Ubun2@dgtlUbun2·
Fact: Absolutely no one can document anything meaningful in Tanzania without regime approval. NO ONE. Diaspora critics are red-flagged and barred from entry. Get tailed by TZpolice the moment they pull out a camera in Dar. So when one filmmaker or journalist is given free rein to shoot a documentary, the question isn’t “Why was he allowed?” — it’s “What is he actually delivering?” Anything produced under those conditions is, at best, heavily filtered and, at worst, straight regime propaganda designed to erase inconvenient truths and launder the image of a corrupt government. & to help the corrupt terrorists the CCM suppress the voices of the victims! To deny the victims their voice and right to justice.
English
14
60
148
7K
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Serikali Kuimarisha Biashara na Ushindani wa Wafanyabiashara Wadogo Serikali inaendelea kuongeza ushiriki wa Tanzania katika maonyesho ya biashara ya kimataifa na ndani ya nchi ili kufungua masoko mapya ya bidhaa na huduma za ndani. Sambamba na hilo, mazingira wezeshi yanaendelea kuboreshwa kwa wafanyabiashara wadogo na wa kati (SMEs) kupitia sera na mifumo rafiki ya biashara. Aidha, Serikali inaendelea kuimarisha minyororo ya thamani katika sekta mbalimbali za uzalishaji kwa lengo la kuongeza tija, ubora wa bidhaa na mauzo ndani na nje ya nchi.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
9
12
399
Irene Darton retweetledi
KING WA DSM 👑
KING WA DSM 👑@dsm_wa·
Baada ya kukosa URC na UDC kaona bora arudi kwa X wake, madaraka matamu nyie
KING WA DSM 👑 tweet media
Indonesia
2
7
9
407
Irene Darton retweetledi
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Jamani Mkikamatwa na Polisi mtoe ushirikiano imagine David Jumbe msaidizi wa Tundu Lissu kaumia sana kwa sababu aliruka kwenye gari la polisi akiwa kafungwa pingu ambalo lilikua kwenye mwendokasi, hata Denzel trainer akiruka kwenye gari lazima aumie Sasa aende mwenyewe Polisi
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
15
7
27
2.7K
Irene Darton retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Tume ilibaini kwamba mwelekeo wa vichocheo ulikuwa wa makusudi na wa kina. Wahusika hawakutumia njia moja tu bali waliunganisha mitandao ya kijamii, kauli za kisiasa na udanganyifu wa kimkakati katika mfumo mmoja uliofanya kazi kwa uratibu, ukifanya iwe vigumu kwa wananchi wa kawaida kutofautisha ukweli na uongo ulioundwa kwa makusudi. #UchunguziWaKina #TumeYaUchunguziReport Kauli Za Kuchochea
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
3
11
9
143
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
HABARI MBAYA Msaidizi wa Mhe. Lissu @daviddjumbe ametekwa usiku wa jana na maofisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Jumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake , maeneo ya Bunju Dar es salaam. Wananchi waliokuwa wanakimbiza gari iliyomteka, wameiona ikiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni. #FreeDavidJumbe
SIR TIVA tweet media
Indonesia
11
179
782
16.3K
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
MRISHO GAMBO MBIONI KUHAMIA CHADEMA Halitakuwa jambo la kushangaza ukisikia Mwanasiasa Mrisho Gambo aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM akihamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Taarifa zilizotolewa na watu wake wa karibu zinaeleza kuwa, *GAMBO* ni kiongozi mwenye tamaa ya madaraka, asiyeaminika kwa sababu mara baada ya kutupwa nje ya Serikali na kutopendekezwa na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha mjini mwaka 2025, alianza kujisogeza kwa GODBLESS LEMA na kuanza harakati za kushirikiana na CHADEMA kwa siri. Taarifa zaidi zinaeleza kuwa,GAMBO ameahidiwa kupewa nyadhifa ya ndani ya CHADEMA Kanda ya Kaskazini na huenda akatumia Mkutano wa hadhara unaotarajiwa kufanywa na CHADEMA katika viwanja vya relini Arusha mjini tarehe 22/05/2026 kuhamia CHADEMA. Itakumbuwa pia, kuwa hivi karibuni GAMBO alisifu kukua kwa Demokrasia baada ya LEMA kuongoza kufanyika kwa Mkutano wa CHADEMA hivi karibuni. #UkweliUlibainika #TumeYaUchunguziReport Ripoti Ya Tume
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
26
16
79
25K
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
SINEMA INAENDELEA : Mwanaharakati Maria Sarungi, Hilda Newtown na Twaha, walivyokutwa kwenye kikao cha siri huko Nairobi cha kutengeneza sinema ya kupotea kwa kijana msaidizi wa Tundu Lissu ambaye hafahamiki hata na familia ya Tundu Lissu. CHADEMA wala waje na kitu kingine ila hili la kujiteka, ni sinema kama sinema nyingine na Watanzania washazishtukia.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
9
14
14
1.8K
Irene Darton
Irene Darton@DartonIrene·
Huyu jamaa mlinzi @daviddjumbe alivyoona boss wake @TunduALissu hatoboi na kesi ya uhaini akaamua akimbie zake Kenya kama watesi wenzake wakina Maria na Hilda waliopewa ufadhili na kulipwa dola 700 kwa mwezi kuleta machafuko nchini
Irene Darton tweet media
Indonesia
4
4
4
671
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
RC TANGA BALOZI DKT.BATILDA BURIAN AIPONGEZA NEMC KUPANDA MITI 2000 TANGA KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 40 BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kanda ya Bagamoyo, limepanga kupanda jumla ya miti 2000 mkoani Tanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 40 ya taasisi hiyo yatakayofanyika Mei 29, mwaka huu. Kati ya miti itakayopandwa kwenye maadhimisho hayo yenye ujumbe unaosema, “Tunza mazingira, linda Taifa”, 500 itakuwa ya matunda na itapandwa kwenye Shule ya Sekondari Kasera na 1,500 itapandwa kwenye shamba la miti la Halmashauri ya Jiji la Tanga lililopo kata ya Mzizima. Meneja na Mhandisi wa Mazingira wa NEMC, Kanda ya Bagamoyo, Ndimbuu Joram, na Mhandisi Jerusalem Bagaza, wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Batilda Burian, kujadili maandalizi ya maadhimisho hayo. Mhe. Balozi Dkt. Batilda, amepongeza hatua zinazochukuliwa na NEMC kuendeleza uhifadhi wa mazingira, na kuhimiza ushirikiano wa wadau ili mazingira yaendelee kuwa salama na endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho. Naye Joram, amesema lengo la upandaji miti hiyo ni kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira, na kuongeza juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Hatua ya upandaji miti kwenye maadhimisho hayo, inafikiwa ikiwa ni takribani miezi miwili tangu Makamu wa Rais, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, alipozindua Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Kampeni ya Upandaji Miti Kitaifa 2026, iliyofanyikia kwenye uwanja wa Ilulu mkoani Lindi Machi 19, mwaka huu. Mhe. Balozi Dkt.Nchimbi, pamoja na mambo mengine, alisema kasi ya kutekea kwa misitu imekuwa kufikia hekta 460,400 kwa mwaka, hivyo kuwataka Watanzania kuilinda rasilimali hiyo muhimu kwa mazingira na uchumi. Kwa mujibu wa Afisa Mazingira Mkoa wa Tanga, Ayoub Mrisho, katika kipindi cha kuanzia uzinduliwa kwa kampeni hiyo, jumla ya miti milioni 24 imepandwa kwenye Halmashauri za Jiji, Miji na Wilaya zipatazo 11 mkoani humo. Mrisho amesema miti hiyo inajumuisha matunda, kivuli, viungo na mikoko ambayo kwa sehemu kubwa imepandwa kwenye maeneo ya pwani ya bahari ya Hindi katika wilaya za Muheza, Pangani, Mkinga na Tanga.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
11
15
260
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
MTATIFIKOLO: NITAENDELEZA YOTE YALIYOACHWA NA HAYATI WILLIAM LUKUVI. Mgombea Ubunge Jimbo la Isimani Ndg. Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni kuelekea Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Isimani katika Kata ya Malengamakali na kuzungumza na wananchi wa Vijiji vya Iguruba, Makadupa, Mgodini, Isaka, Nyakavangala, Mkulula na Usolanga kuomba ridhaa ya kura za kishindo Kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) siku ya Uchaguzi Juni 1, 2026. Aidha Mtatifikolo ameahidi kuwahudumia Wananchi hao Kwa moyo wote na kuendeleza yale yote yaliyoachwa na mtangulizi wake Hayati Mheshimiwa William Lukuvi. Hata hivyo ameeleza kuwa Vipaumbele vyake ni Kushirikiana zaidi na Wananchi wa Jimbo la Isimani Kwa rika zote, huku akisisitiza kuendelea na moto ule ule katika kumalizia na kutekeleza miradi yote ya kimaendeleo katika Jimbo la Isimani ikiwemo Ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Kwa ajili ya Kilimo na Ufugaji, Zahanati Kwa Kata ambazo bado, Umaliziaji Barabara, Uwezeshaji wa vijana, wanamama pamoja na wazee Ili kuleta Maendeleo kwa wana Isimani wote. #TanzaniaYetu #UwajibikajiKisiasa #TumeYaUchunguziReport Jukumu La Vijana
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
13
14
329
Irene Darton retweetledi
Rashda Zunde
Rashda Zunde@RashdaZunde·
Tanzania na Rwanda zakubaliana kuharakisha utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa ya Isaka–Kigali (SGR
Indonesia
0
1
1
62
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, leo tarehe 03 Mei, 2026. #TanzaniaYetu
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
10
10
92
Irene Darton retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
🇹🇿🤝🇷🇼 Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kikazi, tarehe 03 Mei, 2026.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
18
19
380
Irene Darton
Irene Darton@DartonIrene·
@SenateForeign When Trump sent troops and bombs in Iran, you didn't stand to condemn him, Tanzania chose to do investigations of all that happened, but that's not enough!! You always ask for more!! Clean you country first before you start pointing fingers to others
English
2
2
4
507
Senate Foreign Relations Committee Chairman
As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore credibility but rather deepens long-term risk and mistrust of the ruling regime.
Senate Foreign Relations Committee Chairman@SenateForeign

Even before its handpicked “independent” commission began work, Tanzania’s government rushed to blame vague “foreign” actors for the bloodshed. It has offered no credible explanation for its own election-related crackdown, including why Christian leaders were singled out for deadly attacks and abductions. Those responsible for persecuting these Christians must be held to account. breitbart.com/africa/2025/12…

English
77
298
702
65.5K
Irene Darton
Irene Darton@DartonIrene·
@HRF Investigation was conducted thoroughly, and the results were presented.... the number you present is from those activities that were paid to first start the demonstration and then to display numbers that were irrelevant
English
0
0
0
12
Human Rights Foundation (HRF)
The commission estimated that 518 people were killed in the crackdown, while independent accounts put the figures as high as 2,000. The report failed to identify those responsible for the killings, dismissed reports of mass graves as unsubstantiated, and attributed enforced disappearances to people who had “vanished for romantic reasons.” thechanzo.com/2026/04/28/civ…
English
2
26
53
2.5K
Human Rights Foundation (HRF)
HRF condemns Tanzania’s sham investigation into the deadly violence that resulted from the regime’s brutal crackdown on citizens protesting the coronation of dictator Samia Suluhu Hassan after farcical elections in October 2025. A regime that commits atrocities against its own people cannot investigate itself, and the persisting impunity reinforces the need for international accountability.
Human Rights Foundation (HRF) tweet media
English
22
185
390
19.8K
Irene Darton
Irene Darton@DartonIrene·
📌 Wanasiasa, wanaharakati na viongozi wa mitaani walichukua fursa ya mateso ya wananchi ili kuwahamasisha vijana na raia kwenda mabarabarani. Walibadilisha hasira halisi ya umma kuwa ghasia iliyopangwa, hasa wakati wa karibu na uchaguzi mkuu wa 2025. Hii ilikuwa mkakati wa makusudi.
Irene Darton tweet media
Indonesia
0
2
2
71