Nancy Hamis

165 posts

Nancy Hamis banner
Nancy Hamis

Nancy Hamis

@DecomplexGazzy

@nancyhamis

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2022
774 Takip Edilen81 Takipçiler
Nancy Hamis
Nancy Hamis@DecomplexGazzy·
@ze_mandevu Umenikumbusha enzi za Chuo. Mostly tulikua tukifanya hivi kuwatega majilani zetu hasa Uni-mates maana mwanaume akiona chupi akili huwa inahama kwa muda😂
Indonesia
0
0
0
252
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kumkataa Shetani na matendo yake kwenye Nyumba za kupanga na Wanafunzi wa Chuo ni kazi sana.
The mandevu tweet media
Filipino
59
52
807
51.7K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Hakuna watu wenye siri kama watoto wa watu wazito serikalini. Kuna mwanangu mmoja kipindi tunasoma kula nae sana mihogo, mtania sana, ikafika hatua tukawa tunaamini ni mgonga ulimbo mwenzetu maana hata jina lake la ukoo halikuwa miongoni mwa wale watu wazito kiasi kwamba uhisi ni mtoto wa taikuni. Ila alitushangaza sana siku ya mahafari tunashangaa mgeni rasmi anasema hapa nina mtoto wangu pia anasoma naomba asimame ndio tunashtuka janja anasimama. Tuliishiwa pozi maana huyo dingi yake anasafiri na msafara na alikuwa ni kiongozi mkubwa sana wa kijeshi🙌 Baada ya kumaliza masomo tukajaga tu kusikia mwana anasoma Urusi huko,hakuwa mwenzetu ni wakishua aliyeweza kuishi kiugonga ulimbo kutuchanganya mashabiki😁
Filipino
20
24
401
63.3K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Gari ya kwanza hapo juu ni gari ambayo ali hongwa na mwanaume ambaye ni mume wa mtu, Sasa hiyo gari alihongwa tu ila kadi ikabaki Kwa mwenye nayo. Sasa mke wa huyo mwanaume akawa anaona hiyo gari ana vimba nayo Nana Doliz mtandaoni, ikabidi huyo dada achukue kadi ya gari ndani mpaka nyumbani Kwa Nana Doliz akafika na kumwambia ameijia gari na akamuonyesha kadi, gari ikachukuliwa ikaondoka. Gari ya pili ni Land Rover, hii gari ali hongwa na mwanaume ambaye pia ni mume wa mtu mfanyabiashara wa madini, na ndoa yao walienda kufungia babati, huyo mwanaume alicho kifanya alimpa Nana Doliz gari ila kadi feki, Sasa wiki hii gari ilikuwa inapelekwa Tunduma kufanyiwa Service ikasimamishwa njiani wakaomba kadi, unaambiwa mpaka muda huu gari Iko kituoni. Hii ni ishara kuwa hakuna mwanaume Anaye miliki Mali nyingi nyuma yake kusiwe na mwanamke, Kwa kifupi hakuna mwanaume wa kukuhonga gari ya milioni 400 kirahisi hivyo. 🗣️
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
32
8
341
55.7K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Huyu Mzungu Pori Tulimpokea Vizuri Tanzania Na Akapewa Nafasi Mbali Mbali Kama Balozi Haswa Kwenye Sekta Ya Utalii Lakini Huyu Mzungu Pori Ni Kama Katumwa Kuivuruga Tanzania Na Walio Mtuma. Huyu Mzungu Amekua Ni Mtu Wa Kueneza Chuki Kwa Watanzania Dhidi Ya Serikali Yao Posti Zake Na Maneno Anayo Yatoa Ni Ya Uchochezi Tu' Huku Akijifanya Ana Uchungu Sana Na Watanzania, Yes - Huenda Ana Uchungu Sana Na Tanzania Lakini Njia Anayo Pita Na Kufikisha Ujumbe Wake Ni Sahihi.!? Au Ndio Anaongeza Jazba Na Chuki Kwa Wananchi Na Serikali Yao! Huyu Sio Wa Kumpa Nafasi Hata Chembe Sababu Mwisho Wa Siku Yeye Yupo Ulaya Huko Na Watanzania Tunabaki Na Tanzania Yetu, Kifupi Mtanzania Ndio Mwenye Tanzania Yake Mtanzania Ndio Anaamua Aiharibu Tanzania Yake Au Aijenge Lakini Sio Kwa Uchochezi Wa Mtu Wa Kufanya Kuja Tu, Huenda Ni Kweli Kupitia Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Mwezi OKTOBA 29/2025, Kuna Watu Waliumia Kwa Namna Moja Ama Nyingine Kutokana Na Vurugu Zilizo Tokea Lakini Watanzania Walisha Sahau Na Kuacha Maisha Mengine Yaendelee Lakini Yeye Yupo Ulaya Anachochea Tena Moto Ulio Zima Huyu Sio Mtu Sahihi, Watanzania Tunapaswa Kuwapuuza Watu Kama Hawa Kwajili Ya Nchi Yetu. Ni Lazima Kujua Kwa Kila Mtanzania Ya Kwamba Hakuna Tanzania Nyingine Zaidi Ya Tanzania Hii Na Ukivuruga Amani Ya Tanzania Yako Ujue Kabisa Wewe Mtanzania Ndio Utakua Muhanga Wa Litakalo Kukuta. Tuache Kuendeshwa Na Ujinga Wa Mihemko Sababu Mwisho Wa Siku Wachochezi Kama Huyu Mzungu Pori Hawatakuwa Na Wewe Kwenye Matatizo Yako,
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
75
1
21
8.5K
ENG : CONGRATULATION!
ENG : CONGRATULATION!@Ponge_Bromine·
Kuna siku nilienda kununua homeless, kuna homeless mmoja aliniita majina yangu matatu, kumbe nilisoma naye Eden school na alikuwa wakishua mbaya. Nilimchukua ili akanisimulie 🤧
ENG : CONGRATULATION! tweet media
Filipino
13
7
167
23.7K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tuliwambia chama “kimekufa” mkakomaza mafuvu kwamba kiko mioyoni mwa watz, Leo mnajionea yaani mkutano wa Kanda ya Serengeni yenye mikao zaidi ya mitano Uzinduzi wa Ofisi umekuwa kama kikao cha ukoo watu hawazidi 25 mamae. Hapa Dar napo Mkutano wa Kibamba ambao Makamu mwenyekiti Taifa John Heche ameongoza, hawataki hata kurusha picha maana ni aibu, Wanatembeza picha alizokwenda Magufuli Stendi na kujichekesha. Kwasasa CUF na UPDP wanajaza watu kuliko hiki kigenge cha wanaharakati uchwara…. Na bado ngoja iishe miaka miwili hivi, mbona baadae mtashindwa hata vikao vya mtawi tu.😂 Chama pekee imara na kinachoaminika na Wananchi ni Chaumma tu
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
215
12
60
20.9K
Nay Wa Mitego
Nay Wa Mitego@naytrueboy·
AMKENI, Street President
Nay Wa Mitego tweet mediaNay Wa Mitego tweet mediaNay Wa Mitego tweet mediaNay Wa Mitego tweet media
Indonesia
3
0
7
61
millardayo
millardayo@millardayo·
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Angela Charles Kizigha kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Jamii. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
177
22
607
73.1K
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
Ukimwaga 🥒 haraka huwa unajitetea aje 😂
Engkabora tweet media
Indonesia
42
22
213
18.3K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
TEC hawajapeleka kabisa mwakilishi Wamekataa kuketi, kusomewa uongo Kanisa moja, Takatifu, Katoliki la Mitume Ni moja jana, leo, asili yake ni Yesu Kristo Ibada moja, sheria moja , mapokeo yaleyale Kanisa limeenea pande zote ulimwengu mzima Kanisa Katoliki, TUNAJIVUNIA 👏
Suomi
100
771
4.2K
67.7K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tumeona kipeperushi cha Polisi wakimuita mteja wetu Hilda Newton wamuhoji kuhusu masuala fulani fulani. Majibu yetu ni kwamba: mteja wetu hana nafasi. Tunawasihi polisi waendelee na kazi yao, ambayo, hata hivyo, haitegemei uwepo wa mteja wetu. Imesainiwa. TM
Indonesia
39
206
1.4K
31.5K
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Mpaka kufika 2028 mifumo ya ulinzi nchini Tanganyika itakuwa haina uwezo wowote ule wa kulinda hili taifa. Utapinga, Utakasirika, ila huo ndiyo ukweli. Hata angefufuka Nyerere mkampa nchi awe Raisi mwaka 2030 hataweza kuongoza hata miaka miwili nchi itakuwa ishamshinda.
Indonesia
17
45
402
16.7K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Saizi nikiongea kuna namna Mdomo unajivuta pembeni kwasababu ya MAPENGO niliyopata ukubwani. Hii ni hali mpya inanikosesha raha, ila haitaweza kunizuia kuyaishi maisha yangu niliyozoea. Naamini na nyie wanangu mtazoea kuniona kwenye hali hiyo. Hata mkinitainia kwa hilo pia mimi kwangu UNYAMA. Hili kwangu ni dogo sana, wapo watu wamekatwa Miguu baada ya kukutana na wakoloni weusi kama mimi, leo mimi meno tuu mawili yamepotea niogope? Maisha yataendelea kama KAWA. Hili jaribu Mungu alinipa akijua naliweza na kweli NITAISHI NALO mwanzo mwisho.🙏
Filipino
121
180
1.4K
41.7K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Tafadhali sana Msinitumie mabolo kwenye simu yangu furaha yako baki nayo mwenyewe nimeshawaambia sana hamuelewi Sitaki picha hizi mnashindwa nini kupiga simu?? Usenge huu🥸 Simu zetu zinashikwa na wengi
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
44
7
50
13.5K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Account 500 zilizo active saivi Zishushe hendo tuzifolo chap hapa
HT
63
22
77
4.9K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Hii ya Madame Ritha imeniuma sanaa… kweli tutafute pesa wakuu
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Filipino
18
19
97
3.9K
Nancy Hamis
Nancy Hamis@DecomplexGazzy·
@kibaha_finest Jaman! Yeyote mwenye huruma ani follow na mi ni mfollow tuongeze followers mmojammoja kila mtu pls🙈
Filipino
0
0
0
5
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
kwani huyu mwanamke kafanya nini mbona anatrend kuanzia tiktok, Instagram hata humu ndani X mmoja anielezee vizuri mimi slow learner.😢😢💔
kibaha_finest tweet media
Indonesia
10
2
22
7.4K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mwandishi 🎤 Kwanini wakili/ mwanasheria anamtetea mtu aliefanya uhalifu Wakili 🎤 Anamtetea mhalifu ili kulinda kanuni ya kudhaniwa hana hatia ( Presemption of innocent) ibara ya 13(6)(b) ya mwaka 1977 inaeleza, "kila mtu hana hatia mpaka pale mahakama itakapo thibitisha kua ana hatia" 🎤 Hivyo wakili anakuepo pale ili kuhakikisha mtu hatahukumuwa kwa hisia, chuki wala shinikizo la Jamii. Bali kwa ushahidi thabiti uliowasilishwa mahakamani. Lakini pia kuhakikisha taratibu za kisheria zinafuatwa, hata kama mtu kafanya kosa ni lazima apate haki ya kusikilizwa. Umeelewa? Like Repost Bookmark Umejifunza nini hapa?
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
18
55
233
16.4K
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Wakati najoin humu 2022, nilikuwa najua MAFIOSO na Neypaul ni wapenzi, kumbe mshenzi hajawahi lamba hata kisigino, kuna lile picha amemweka Ney kwenye Bajaji lake afu Ney anakuja kucomment kimapozi kwa MAFIOSO, nikajua penzi si ndo hili sasa, kumbe Mlugaluga ilikuwa ni njia ya kukuza account zake auze 😄, mshenzi sana yule 😄 🤣
Sekenke One 🌻 tweet mediaSekenke One 🌻 tweet media
Filipino
33
32
351
40.2K
Nancy Hamis
Nancy Hamis@DecomplexGazzy·
@Sirajitz1 Nikarudishiwa vyoye, so wanasheria waheshimiwe haijalishi wanatete kisicho haki au lah!
हिन्दी
0
0
0
88
Nancy Hamis
Nancy Hamis@DecomplexGazzy·
@Sirajitz1 Like wise! Niliwahi date na mkaka mmoja hivi he was comin' from (USA) na mara zote alipanda ndege straight to Rockcity #Mwanza. Tulikua kwenye mahusiano kwa muda wa almost 3yrs en several monthes. Kaninunulia nyumba na gari but tulipo break akavitaka vyote. Mwanasheria akahusika
Filipino
3
0
1
616