Aex Multbussiness

315 posts

Aex Multbussiness banner
Aex Multbussiness

Aex Multbussiness

@DumaDecoration

OPPORTUNITER

Mbeya, Tanzania Katılım Ocak 2022
682 Takip Edilen170 Takipçiler
Nathaniel Mwaipopo
Nathaniel Mwaipopo@nathaniel_codes·
Nikiahidi natimiza! Ukifika mwisho wa thread hii fanya hivi: 1. Jiunge na Wakapay 2. Fanya document verification 3. Ni DM screenshot nikutumie buku tatu ya chips yai fasta! 🏃💨
Indonesia
3
0
16
3.6K
Nathaniel Mwaipopo
Nathaniel Mwaipopo@nathaniel_codes·
Nilifulia mpaka nikauza chuma 🚗 ! Nilipigwa chenga mpaka nikarudi zero nikasurvive na buku 5 kwa siku. Lakini Kenya ilikuja kunipa tobo la maana nikiwa Bongo. Hii ni story ya mchongo wangu wa kwanza wa Milioni na jinsi na wewe unavyoweza kutoboa. 🧵👇
Filipino
6
28
335
34K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Ni somo gani la maisha ulilojifunza kwa njia ngumu na unajutia kwanini umechelewa kujifunza mapema?
Indonesia
63
34
340
17.1K
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Niongeze application gani wakuu.🤔
Eng Jubel tweet media
Nederlands
28
7
59
10K
Aex Multbussiness retweetledi
Kelvin Kibenje Kyaluoko
Kelvin Kibenje Kyaluoko@kelvinkibenje·
Kama kuna kijana hasa.. Miaka 22 adi 35 Na unataka mafanikio ya kweli Mwaka 2026, usijishauri mara mbili mbili kufanya haya mambo kuanzia sasa...
Indonesia
23
218
1.3K
97.9K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Kuweka ndani stock ya chakula ni muhimu sn kipindi hiki -Salmoni Kg 20 -Uyoga Kg 30 -Pasta Kg 30 -Tuna Kg 20 -Carpaccio Kg 10 -Mayai Tray 20 -Rosotto Kg 40 -Fillet Kg 30 -Mboga za majani -Divai nyekundu Lita 20 -Maziwa Lita 40 -Matunda tenga 2 -Mchele Kg 30 -Maharage Kg 20
Indonesia
61
41
702
23.6K
Aex Multbussiness retweetledi
StarX Network
StarX Network@StarXCoreTeam·
🚀 StarX Network – Official Community Giveaway! 🚀 To celebrate our recent milestones and the success of the first halving, we’re launching a special community reward event — designed to appreciate your creativity, effort, and dedication to the StarX vision. 🎥 Create engaging content about StarX Network — it can be informative, promotional, or creative. Your goal: help others understand and join the future of community-powered mining! 🏆 Categories: • Best Informative Content • Best Promotional Video • Most Creative Concept • Best Visual Presentation • Most Engaging Post 📌 How to Participate: 1️⃣ Create original content about StarX Network (mining app, halving, ecosystem growth, etc.). 2️⃣ Add official StarX links in your content description: 🔗 Website: starxnetwork.net 🔗 Play Store: play.google.com/store/apps/det… 3️⃣ Post it on your favorite platform — X, YouTube, Instagram, or TikTok. 4️⃣ Tag @StarXNetwork and use hashtags #StarXNetwork #STRX #CryptoMining. 5️⃣ Drop your content link under this post for submission. 💰 Total Prize Pool: 30,000 STRX Tokens 🎁 (Top creators will be rewarded across all categories.) 📅 Start Date: 24 October 2025 📅 End Date: 25 November 2025 📢 Winners Announced: 28 November 2025 ⚡ Your creativity powers the StarX ecosystem. Let’s build awareness, inspire new miners, and strengthen our global community together! #StarXNetwork #STRX #Blockchain #Crypto #Giveaway #Halving #Web3 #Airdrop #CommunityPower #CryptoMining
English
439
1.1K
1.6K
26.2K
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
5M balance bank huna, Iphone 17 pro hauna, Driving license huna, Plot ya aridhi huna, Bima ya afya huna, Passport huna, Nida huna, Gari huna, Sasa unamiliki nini?
Filipino
4
2
11
861
Mr Blossom 👑
Mr Blossom 👑@iammrblossom·
50k to anyone that can predict the Full-time score of Man United vs Chelsea 🤓
Mr Blossom 👑 tweet media
English
1.3K
128
831
110.8K
Aex Multbussiness
Aex Multbussiness@DumaDecoration·
@NyandaAmosi Akianza kukwambia kwenye hiyo kazi "sisi miaka hiyo tulikuwa tunalipwa 1500 " run😂
Filipino
0
0
3
205
AmosiNyanda
AmosiNyanda@NyandaAmosi·
Ukimwelezea Mzee wa Miaka 80 Jinsi Unavyotengeneza Pesa Katika Dunia ya Sasa na ASIELEWE—Basi Upo Salama!
Indonesia
11
19
243
10K
Done Somen
Done Somen@DoneSome18·
Familia mmeamkaje.. naelewa kiu ya Mitaji tuliyonayo, msg ni nyingi Sana now itabidi kupeana kidogo kidogo itugoshe wote. Please note, ninaweza kufanya miamala kupitia namba za Vodacom Tu. Kama Una mtandao mwingine utanisamehe Mkuu maana changamoto ya threshold ya kutuma ni kub
Filipino
414
67
464
51.6K
Aex Multbussiness retweetledi
Revocatus Millambo, Ph.D.
Revocatus Millambo, Ph.D.@Millambo_·
Moyoni unaonekana umechoka na maisha yako ya sasa. Matendo yako yanaonesha upo comfortable sana. SHIDA NI WEWE. Una unafiki mwingi. Kama unachoamoni na unachofanya ni vitu viwili tofauti, basi muda sasa wa kutafuta dawa ya kuwa sawa. CHANGE YOU, LIVE YOUR DREAM. #WEWENIMGODI.
Indonesia
1
17
56
2.4K
Aex Multbussiness retweetledi
Revocatus Millambo, Ph.D.
Revocatus Millambo, Ph.D.@Millambo_·
Kuna wakati unafika unagundua umekwama mahali kwa kwa muda mrefu. Pesa haingoezeki. Wateja wanapungua. Baraka hazionekani. SIKIA. Anza na wewe. JIBADILI. Umejizoea sana. Unajidekeza sana. Jiambie ukweli. Badili chakula. Badili ratiba. Badili marafiki. Badili maarifa. Badili falsafa. Badili misimamo. Badili mbinu. #WEWENIMGODI.
Indonesia
2
33
102
3.7K
Aex Multbussiness retweetledi
Samson Ernest
Samson Ernest@SamsonErnest_·
Kijana kuwa na muda wa maombi, jiombee sana, mpaka uone sawasawa kusudi la kuzaliwa kwako. Soma sana biblia na vitabu mbalimbali vya kukujenga na kufufua kile kimelala ndani yako, sikiliza mafundisho, jiwekee mipaka na kutogusa vitu vitakavyofifisha maono yako.
Indonesia
20
133
581
14.8K
Aex Multbussiness retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Uvivu ni tabia ya kupumzika kabla hujafanya kazi; ule uchovu unaousikia kabla hujaona matokeo ya kazi; ni ile hali ya kujihurumia ukiamini kazi ni ndogo, haina haraka na unahitaji kuupa mwili shukrani kidogo. Uvivu ni wepesi wa kughairi jambo ulilopanga ili upate muda wa kufanya kisichopangwa; uvivu ni ile imani unayokuwanayo kuwa mambo yataenda hata usipofanya kitu; ni kuipania mno baadae na kesho kuliko sasa; kufikiri una muda wa kutosha. Uvivu ni kujiamini kupindukia hata kama hufanyi unachoamini; kufikiri utajieleza na kueleweka kwa aliyeweka makataa; uvivu ni utegemezi uliokithiri kwa jasho la wengine; kutegea wajibu wako na kujipa wajibu wa kuwalaumu wengine kwa kutokufanya ulichopaswa kufanya mwenyewe. Uvivu umeua ndoto nyingi. Uvivu umeharibu kazi za wengi. Uvivu umeongeza umasikini. Uvivu umefanya vitabu visisomeke. Uvivu umeingiza wengi kwenye madeni. Uvivu umechangia migogoro mingi. Uvivu umevuruga mahusiano mengi. Uvivu umefanya wenye uwezo wasiaminike. Uvivu ni HASARA. Ukifanikiwa kupambana na uvivu, mwaka mmoja unaweza kukupa matokeo uliyoshindwa kuyaona kwa miaka mingi.
6
69
164
8.4K