Exaud Willy

9.3K posts

Exaud Willy banner
Exaud Willy

Exaud Willy

@ExaudWilly

N.A.M. .. Non Allied Movement

Dsm 🇹🇿 Katılım Mart 2021
2K Takip Edilen621 Takipçiler
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
"Usiingie kama huusiki, Staff Only"😁 Wahusika:
The mandevu tweet media
Eesti
29
42
321
15.2K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Am very very happy kuona ndugu zangu Songa na Nikk Mbishi ndio wanamfanyia back vocal Profesa Jay...Its a real definition of hip hop, we love you Jay✌️..haters gonna hate but we move on
English
110
72
1.1K
46.7K
Exaud Willy
Exaud Willy@ExaudWilly·
@Sativa255 Tatizo mlikata watu hadi kushirikiana na wanaccm na products zao no matter what 🤣🤣
0
0
0
281
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu nae alitaka UMAARIFU insta kachukua post za kumchukia VINA X kaenda kuweka INSTA alijua atachekwa na haya ndio matokeo. Huko hata hatupambani tunapambaniwa. Tafsiri ya kulisha mtaa ndio hii. Huku tunakuja kwaajili ya MIJADALA tuu.😎🫵🏾
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
25
26
244
14.9K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Mjadala wa Leo umeibua mambo makubwa mazuri ambayo wengine tumekuwa tukiyapigania humu kwa muda mrefu. Mosi Tunaweza kutofautiana mawazo na itikadi za vyama ila tukaendelea kushirikiana, kusaidiana na hata kuoana. Pili huwezi kuchanganya harakati na Njaa Pamoja!
Indonesia
23
18
143
6.7K
archlee
archlee@archlee5·
@Sativa255 Bora ungepigwa Shaba ya ubongo maan umejaa mavi njaa njaa tu
Indonesia
1
0
1
72
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tupate REPOST 200. Kesho CHAMA CHETU WANANCHI KINAONGEA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
22
354
1.1K
8.6K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Nimefanya kazi nawe miaka 5 ukiwa Naibu Katibu mkuu na baadaye Katibu mkuu wa Bavicha taifa. Itoshe kusema imani uliyopewa na chama kuwa Katibu wa kanda ya Kaskazini si ya bahati mbaya. Ukweli unastahili. From prison to the office.
John Pambalu tweet media
Filipino
4
108
925
16.5K
Exaud Willy
Exaud Willy@ExaudWilly·
@NNgabu_ Bangi na siasa havikai pmj Hawa jamaa walitukataza kila had kusikiliza msiki wa mond
Indonesia
0
0
1
21
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Kijana anasema hana shida na CCM wakati wa madhira yake mama alitoa milioni 30 wakati wanaharakati na Chadema waliotoa pole na kula michango tu 😂
Nyani Ngabu tweet media
Indonesia
2
9
11
489
Exaud Willy
Exaud Willy@ExaudWilly·
@EsirEid Umewafumbua macho wengi sna humu ndani pmj na kwamba bado kuna vichwa vigumu San kuelewa kaz na siasa
Indonesia
1
1
1
265
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kipindi kile Natafuta Tenders kwa Ofisi mbali mbali za Kiserikali kwa ajili ya KAZI na BIASHARA zangu! Picha zangu zikija humu -Nliambiwa mm ni TISS… mimi ni Mamluki… sina msimamo na kutukanwa saana hadi matusi ya Nguoni💔💔 Leo imefika zamu yenu… ndio mmeanza kufaham kuna KAZI na SIASA! Nimewapelekea moto kimaksudi ili myatamke na kukiri wenyewe kwamba; KAZI na SIASA ni Tofauti… mwisho wa siku vijana lazima tufanye kazi ili mkono uende kinywani… Nafikiri Darasa la Leo limeingia Vizuri💯💯🤝
Indonesia
87
86
761
32.3K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Freedom is not free.😅
BARADHULI tweet media
English
20
38
157
9.3K
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
@Sativa255 njaa na harakati haziwahi kukaa pamoja Pumbavu kabisa
Kipanga tweet media
Suomi
3
3
4
101
Sengo
Sengo@kato_lubu·
Balozi Polepole bado yupo kwenye mikono ya wauwaji kwasababu alisalitiwa na Mzee ambaye kwasasa anapigania uhai wake kitandani. Kabla hajaondoka aite press halafu atuambia ni nani aliyemteka Balozi?
Sengo tweet media
Indonesia
20
120
914
28.5K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kenya imesema Barcelona na Liverpool wanafikiria kucheza mechi ya kirafiki pre-season kwenye uwanja wa Talanta City uliopo jijini Nairobi nchini Kenya mwezi August mwaka huu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
15
47
1.3K
24.2K
BarakaWambura
BarakaWambura@barakawamb·
Sasa @hechejohn Unasema Lissu ameletwa kwa kificho mahakamani inamaana huwa huwasiliani na viongozi wenzako au ndio gia ya kujificha usionekane unamhujumu mwenyekiti wako? Mbona Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Rugemeleza alikuwepo leo Mahakama kuu na baada ya kusomwa kwa uamuzi alitoka nje na kuzungumza na vyombo vya habari ambavyo navyo vilifika kwaajili ya kuripoti kesi ya Lissu na Mwanasheria amesema wazi kabisa kwamba chama kilikuwa na taarifa ya uamuzi huo kusomwa leo 30 April 2026. @hechejohn acha kutapatapa tunajua fika hupendi na wala hutaki Lissu aachiwe huru na umeanza mikakati ya kutaka kumng’oa kwenye kiti chake ili ikukalie wewe.
BarakaWambura tweet media
Indonesia
10
10
16
4.2K