MalikitoTz

1.5K posts

MalikitoTz banner
MalikitoTz

MalikitoTz

@FrankIsmail12

https://t.co/jNj543aqXf Witness, Searching the Truth of God through Wisdom. Reading New world Bible Translation. Reading literary Books

Katılım Şubat 2022
2.2K Takip Edilen459 Takipçiler
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@Aloycemsaki Hakika na Maombi yako yatendeke kulingana na uchaji Mungu wako
Filipino
0
0
0
6
Eng Msaki
Eng Msaki@Aloycemsaki·
Ee Mungu uniumbie Moyo safi, uifanye upya Roho iliyotulia ndani yangu.🙏
Indonesia
6
20
56
674
Happie💕
Happie💕@Happie_Thom·
Kama Mungu amewahi kukuvusha nyakati ngumu kabla, amini atakuvusha tena.🙏 #ElimikaWikiendi
Eesti
1
11
52
448
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Nani aliwahi kumsikia Mch. Zacharia Kakobe!? Naam, sasa hivi si unamsikia Mwamposa, aliwahi kuwepo huyu bwana,. kanisa lake lipo pale maeneo ya Mwenge-Sinza , ilitokea mzozo mkubwa sana kati yake na serikali,.. na ikiwa kuhusiana na upitishaji wa umeme katika eneo lake,.. unajua kulitokea nini,.. Mch. alisema atakaye thubutu kupitisha chochote pale bhasi mwendo kaumaliza,.. kutokana na uhitaji wa hilo bhasi Umeme ukapitishwa, Serikali haikushindwa ila Kakobe,. hadi leo hii inasemekana kakobe anaishi nje ya nchi.,kiufupi, kushindana na serikali, na yenyewe huwa ni hatari nyingine kwenye maisha ya wengi💔🙌.
The champ👑 tweet media
Filipino
48
41
422
55.9K
IN GOD WE TRUST⭐
IN GOD WE TRUST⭐@MTUMISHIMSELA·
Kijana usikimbilie kuoa au kuishi na mwanamke kama bado hujajijenga na kujiimarisha kiuchumi na wala usitegemee mshahara kama kigezo cha kukufanya uishi na mwanamke sababu mambo yako yakiyumba utachapiwa kuanzia na mangi dukani ,bodaboda wake na kila mwanaume mwenye ushawishi 😎
Indonesia
5
17
47
990
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@MillanKefa @SamsonErnest_ Imeandikwa Imani bila matendo imekufa Natena Imeandikwa Watu hawa huniskiliza lakini hawanielewi kwasababu hawataki kunielewa hata wakiniskia
Filipino
0
1
2
8
Milan, Kefa.
Milan, Kefa.@MillanKefa·
"na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana, Mungu wako." Kumbukumbu la Torati 28:2 Kusikia Neno na sauti ya Mungu ni Baraka na kutoka mtii na kumsikia Mungu wako ni Laana, Chagua upande wa kusikia na kutulia upate Baraka. #ElimikaWikiendi
Indonesia
1
3
6
74
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@fredymboya Imeandikwa Daniel hakuguswa na simba katika jaribu la maadui wa mfalme Kuhusu kuabudu sanamu
Filipino
0
0
1
13
Coco Love 😇
Coco Love 😇@Cocolovemimi·
Wakati mwingine amani ya moyo inahitaji ukimya tu.
Indonesia
3
13
60
554
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@MTUMISHIMSELA Imeandikwa Mwanadamu hataishi kwa mkate 🍞 tu Bali Kwa kila neno litokalo kwa Mungu Kinyume chake ni maisha mafupi
Filipino
1
0
1
6
IN GOD WE TRUST⭐
IN GOD WE TRUST⭐@MTUMISHIMSELA·
Watu wengi wana angamia na kua na maisha mafupi kwa sababu ya kukosa kwao kumjua Mungu na kujitegemeza kwake 🤔 .
Indonesia
2
15
47
357
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@danchibodc Imeandikwa Adui wa mwisho ni kifo Hivyo leo kitu kinaogopesha watu na kuwatia hofu ni kifo tu
Indonesia
0
0
0
7
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Waelewe watu; pale mtu anapofariki, kila mtu anajifanya kama anajali.
Indonesia
1
4
33
571
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@mlinganya Imeandikwa Uzima wa milele hautokani na vitu ,vyeo ,mali au nafasi tulizonazo maishani Leo Uzima wa milele upo kwa wenye moyo safi
HT
0
0
1
24
Malcolm 🏆
Malcolm 🏆@mlinganya·
Sema ubinadamu ni ujinga sana. Tutazaliwa kuja kuishi kutafuta vyeo, mali na pesa kwa pupa mno ndani ya umri fulani kama 60s hivi. Baada ya hapo tunakufa na kusahaulika kabisa. Na kila kitu tunakiacha hapahapa وما الحياة الدنيا إلا متاع الغرور
14
29
162
4K
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@BarakaMaviatu Imeandikwa Hata ingawaje watakufa leo lakini kifo cha Pili hakitakuwa na mamlaka juu yao yaani uharibifu wa waovu
Indonesia
0
0
0
26
THE MESHA
THE MESHA@The_mesha24·
Rasmi nimeidhinishwa kuwa Certified Financial Educator kutoka BOT Academy. Hii siyo tu certificate, bali ni wajibu mkubwa wa kuendelea kugusa maisha ya watu kupitia elimu ya fedha, mindset na maamuzi sahihi ya kifedha. Nimeamini kuwa mafanikio ya kifedha hayaaanzi kwenye kiwango cha pesa ulicho nacho… yanaanzia kwenye namna unavyofikiri. Na pale unapobadilisha mtazamo wako kuhusu fedha ndipo maisha yako yanaanza kubadilika. Watu wengi wanaona pesa kama lengo, lakini ukweli ni kwamba pesa ni chombo. Chombo cha kujenga maisha bora, kutengeneza fursa, kusaidia wengine na kuishi kwa kusudi. Ndiyo maana dhamira yangu kubwa ni kusaidia watu wengi zaidi kuelewa fedha, kubadilisha mindset zao, na kuwasha uwezo walio nao ndani yao ili waweze kufikia uhuru na mafanikio ya kifedha. Nitaendelea kufanya hili kadiri Mungu atakavyonijalia uwezo, maarifa na nafasi ya kugusa maisha ya wengi zaidi. #Elimikakifedha #Elimubure
THE MESHA tweet media
Indonesia
21
25
84
2.9K
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@KakaUjugu Swali: Je, ni Kweli Mungu amepanga majaliwa Yetu maishani. Naomba andiko katika Jibu
Indonesia
0
0
1
7
Kaka Ujugu
Kaka Ujugu@KakaUjugu·
Kama imendikwa utapata, utapata hata kama itakuwa kwa kuchelewa na kwa shida ila utapata tu kikubwa ni kutokata tamaa
Filipino
1
5
41
433
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@danchibodc Siri ya kujibiwa Maombi yako ni kutumia jina la Yesu kristo mwana wa Mungu na jina halisi la Mungu. Duniani kuna miungu wengi,je, jina la Mungu Wetu ambaye ni halisi Jina lake ni nani?
Indonesia
0
0
0
3
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Bwana hupanda na kuketi katika mamlaka. Jina lake linakuwa maombi yenye nguvu. Maombi yetu yanajibiwa kwa jina lake. Tumebarikiwa katika jina lake. Tumeponywa kwa jina lake. Amina.
Filipino
1
6
40
349
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@danchibodc Amina Ndiyo maana leo watu wengi wanaomcha Mungu kwa roho na kweli ni maskini kwa mambo ya kimwili Lakini Ni matajiri kwa Mambo ya kiroho (Utafuteni ufalme wa Mungu kwanza,ndipo mtakapoongezewa hayo mengine)
Indonesia
0
0
0
4
Dan Chibo (DC)
Dan Chibo (DC)@danchibodc·
Wangapi kati yenu mnaamini kwamba Mungu anaweza kubadilisha hali yenu ya kiuchumi kwa usiku mmoja?
Indonesia
12
14
136
2.2K
MalikitoTz
MalikitoTz@FrankIsmail12·
@nassor_01 Wanafundisha ndoto na mapokeo ya kale Wameikana Imani na mafundisho Mungu atawakatalia mbali
Filipino
1
0
2
401
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Hakuna sura wala aya kwenye qur-an inayoelekeza kutumia tasbih,na hakuna andiko lolote kwenye bible(old&new testament) linalofundisha kutumia rozali,huu ushetani mmeutoa wapi watu wa dini?,acheni huo upotoshaji maramoja
Indonesia
18
19
73
6K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Wakati njaa ndio imekolea muda huu,tusiokula mchana tushushe handle zetu hapo ili tuongeze followers, make sure una follow 🔙
CHOLLO tweet media
Suomi
16
20
36
430