Geofrey J🇹🇿

2.3K posts

Geofrey J🇹🇿 banner
Geofrey J🇹🇿

Geofrey J🇹🇿

@Geofrey_j1

MA in Mass Communication || Information Officer

Tanzania Katılım Temmuz 2019
733 Takip Edilen1K Takipçiler
gap star
gap star@GMapalala98·
@GoatSzobo @Narrowbeeflying Ukiwa katavi basic needs nyingi bei ni cheap Unajua gharama kubwa huwa ni chakula katavi unaweza kulima eca mbili ukaja kuvuna ukapata mahindi ya kuendesha maisha yako mwaka mzima,katavi pango la 60000 unakaa mpka na ndg kutoka upande mkeo🤣
Filipino
6
0
1
498
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Mwanangu mmoja Tamisemi wamempangia Dodoma mjini take home 610k. yani Dodoma halafu "Mjini?" 😁
Indonesia
58
29
802
61.9K
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Kuna Mtu Bora Abaki Dar es Salaam Afanye kazi ya Kulipwa 500k kwa Mwezi, Kuliko Kwenda Kufanya Kazi Katavi Kulipwa 1M. Hivii Sababu zao Kubwa ni Zipiii..?
Filipino
27
13
296
18.5K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
@kapeto98 Ukujua Katavi?, unapelekwa Tanganyika au Nsimbo ndani ndani huko… 😅
Indonesia
1
0
5
1.2K
ELLY
ELLY@Elly_pheno96·
@Kicheche_jr Sawa na mpanda kata ya Nsemulwa
Filipino
1
0
3
627
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Bonde la kilombero, anzia Ruaha, Mang'ula, Ifakara, Mlimba, Malinyi mpaka Mahenge kote huko ukiweza kumlea mtoto akatoka na maadili mazuri wewe unafaa kupata udaktari wa heshima.
Indonesia
69
41
669
36.7K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Kwenye kampeni liligusiwa suala la Katiba Mpya. Lipo ndani ya siku 100 pia? Na je, mchakato unaanza upya au tunaenda na Rasimu ya Warioba? Ungataka nini kisikose kwenye Katiba Mpya?
Filipino
15
8
184
6.1K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Goli kipa Ayub Selemani mitano tena 🔥🔥🔥🙏
Indonesia
4
2
62
1.8K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Jana nilileta hili watu wanasema nimewapiga kamba. Moja Ni kweli Mi nimemaliza Ilolo Primary 2010 pale pana shule 3 Ilolo, Isanga na Igoma. Nina uhakika 100% humu kuna watu wamesoma hizo shule. Waulizeni hela ya mlinzi ilikuwa sh ngapi? EASY niwapange kumu impress nani? 😂😂
Taivina James tweet media
Filipino
76
24
350
35K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kwa kutumia picha elezea wikiendi yako ilikiwaje???
Filipino
27
9
127
22.5K
MWALIMU🙏🇹🇿
MWALIMU🙏🇹🇿@dictatorbin·
Huu ni ukweli usiopingika Rais Samia mpaka sasa ukimuweka na watangulizi wake bado Atashika namba moja✍️
Filipino
7
4
9
421
Dream online shop🛍️👖👟🥾
Dream online shop🛍️👖👟🥾@Dream_online_Tz·
Ego ya HGL pale advance ilikuwa juu mno🙌majamaa walikuwa wanajiona kama watu wa kitivo 😂😂. . Kwenye school baraza kuna jamaa alisimama juu ya meza akiwa ameshika katiba ya nchi 😂kwamba ana uhuru wa kusema chochote na kusikilizwa. Headmaster kidogo azime pressure ilikuwa juu
Indonesia
29
14
311
22.5K