Gee_Superdoll
639 posts


Gee_Superdoll retweetledi

@officialkilian_ Upo sawa kaka hapo ni salanda pale mishamo kwenye zege
Filipino

@14Aniceth @prossoff Poa ukitaka kuja huku unaweza kunicheki kwa ajili ya usafiri.
Indonesia

@Gee_superdoll @prossoff Ngoja nikaone kilimo(uti wa mgongo wa taifa)upoje katavi af ntawambia
Indonesia

@MaxTz255_ @NesiMkunga Bus mpya unanunua kuongeza mzunguko, changoto ni mwanzo.
Zikishakuwa kuanzia nne na zipo mzungukoni kila siku hesabu inabadilika
Filipino

Gari: Last Bullet
Uelekeo: Tabora to Bukoba
@TBoundBuses Naona Jamaa kamvua Frester na akaacha Graphics kama zilivyo.

Filipino

@SouthernBuses Kuna Ligi ya king kazumba na macho kodo acha kabisa.
Filipino


@Tinahcristiaan @EngMapundajr @Adventure_36 @Sad4964Sada Ulikua mpanda tulizika majuzi kama siku 3 nyuma.
Indonesia

@capitanpapilon Ni kweli RIP kwake tulihudhuria msiba wake.
Filipino

Nimefanikiwa kuipata account yake.
RIP SADA 💔


Mafioso@capitanpapilon
Kuna tweep mwenzetu humu alikua anaitwa Sada nimesahau handle yake alikua anaishi Katavi, leo nimeambiwa na Proff aliugua ghafla amefariki siku 5 zilizopita RIP SADA
Filipino

@TBoundBuses Inabidi watoe huduma ukishashindana kuna namna utafeli
Filipino

Msibattle, mkatoe huduma.
AY'S SAFARI 🇸🇮@styles_aj68975
Tupo tayari kubatle ni hapo next week
Filipino

@MaxTz255_ @sisuyasuke Hapo ni katavi mbugani au njia ya kigoma
Indonesia

Bora huko anzia kasumulu- uyole - tunduma - lahela - sumbawanga - lyanzumbi - kizi - katete - kibaoni - stalike -mpanda - inyonga - Tabora - puge - nzega - tinde - kahama - Runzewe - bwanga - buzilayombo - chato - muleba - bukoba - karagwe - nkwenda
Utakuja kunipa jibu 🫵
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr
Ukisafiri njia ya Moro-Dodoma-Singida-Tabora Shinyanga-Mwanza utaelewa kwamba uzazi wa mpango kwetu ni hasara.
Indonesia












