GENERALⓂ️

14.4K posts

GENERALⓂ️ banner
GENERALⓂ️

GENERALⓂ️

@Generalmud12

#255 | k-town_boy |#Fcbarcelona4Ever | |#AzamFc4Life| #CHADEMA✌| #December12

Katılım Şubat 2021
1K Takip Edilen735 Takipçiler
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Kwa mujibu wa katiba; Waziri Mkuu na Makamu wa Rais ni washauri rasmi wa Rais. Hawa walikuwa na nafasi ya kuendelea lakini walikataa na Dr. Mpango alijiuzulu kwa barua. Je! Kuwarudisha kwa njia hii waliopo Nchimbi na Mwigulu wamepwaya? Je! Ni lazima kutangaza washauri hadharani?
joseph_selasini tweet media
Indonesia
52
34
322
26K
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Which African President deserve to be Captured like Maduro ?
Zoom Afrika tweet media
English
3.8K
407
3.6K
636.1K
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁
Hawa Delta Force Military sidhani kama wamewahi kufel mission — jamaa wakipewa assignment, huwa ni done hata ikiwa haijaanza, walifanya hivyo Panama, na sasa Venezuela. Cha kushangaza ni efficiency ya operations zao, hakuna anayekufa na mtuhumiwa lazima wamlete akiwa hai.
𝗦𝗲𝗻𝗶𝗼𝗿 𝗠𝗼𝗻𝗲𝘁 tweet media
Filipino
85
51
633
28.3K
GENERALⓂ️
GENERALⓂ️@Generalmud12·
@kijitu20 @CwcChampion Umerogwa wewe... Unaujuwa Nyukilia wewe mzee..? Ile kitu isikie..sio Huyu tu..hata India.pakistan.uturuki hawashikiki mzee..
Indonesia
0
0
0
51
KIJItu
KIJItu@kijitu20·
@CwcChampion Huyo atakamatwa tu siyo kama hawamsomi Special force zote za marekani zina list la watu wake wote wanaowataka hii ni zamu ya maduro zamu yake ikifika atafurahi yaani huyo mbona wanamsoma mda wote wakivamia kwake chapu tu kama siyo kumlaza kwake wanatembea naye
Indonesia
6
0
7
574
ΜĐ€Μ€ 👑
ΜĐ€Μ€ 👑@CwcChampion·
Unajua kwanini Amerika haijamteka nyara mtu huyu?🤔
ΜĐ€Μ€ 👑 tweet media
Indonesia
35
20
194
9.5K
ZohaibAi
ZohaibAi@ZohaibAi__sf·
Tell me the biggest number 99% will fail
ZohaibAi tweet media
English
3.6K
138
456
141.7K
Luffy
Luffy@callmeLuffy_zz·
A number that is greater than this..?? 99.9% will fail..!!
Luffy tweet media
English
866
155
310
20.6K
MOST WANTED JR
MOST WANTED JR@UchafuziM·
Mkundu wako si unataka GEN-Z tukuvunjie heshima NB:Tanzania mzee ni mmoja tuu nae ni Mzee Joseph Sinde Warioba.
17
14
142
6.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TAARIFA KUTOKA FAMILIA YA CLEMENT MWANDAMBO "Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na wakakiri kwamba wanamshikilia Katika kituo cha polisi kikuu Mbeya Kaka yetu alitakiwa awe anaripoti kila Jumatatu alipofika wakamkamata Familia tulipoenda kumpelekea Chakula wakasema hayupo na hawajui alipo, baada ya siku Kadhaa kama familia tukaendelea kifuatilia tukagundua yupo Kituo cha Polisi Inyala Jijini Mbeya. Tulipoenda Inyala tulimpelekea chakula hawakutana tumuone wakasema yupo ila hatutakiwi kumuona baada ya kweli baada ya Muda ikaja gari landCruza ikiwa na Tinted ikamchukua mzee wetu kwa macho yetu tunaona ikaelekea uelekeo njia ya kwenda Iringa. Baada ya hapo hatujawahi kumuona tena ndugu yetu hatujui anakula nini? Kama anamakosa apelekwe mahakamni kwanini hawataki kumpeleka mahakamani kama shwria inavyotaka? Hatujui ni mzima au wamemuua kama wamemuua watupe maiti yetu tukazike. Sisi kama familia tunalitaka jeshi la Polisi liseme alipo ndugu yetu.”
Hilda Newton tweet media
Filipino
46
313
1.5K
73.9K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
MADELU anavyoongea na watanzania anajua ndio wale wa ZAMA ZA MAWE. Sikiliza MADELU akipokea ushauri kutoka kwa BINTI MPENDA HAKI. REPOST TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
14
178
852
32.8K
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉“Lissu nimemjenga na nimemsaidia kwa mambo mengi. Unapokuwa hauna Shukrani kwa mambo madogo hauwezi kuwa na shukrani kwa mambo makubwa, Kuna wakati ninajiuliza huyu ni Lissu, the boy, the guy, the friend ndiyo anayasema haya?” Freeman Mbowe✍️
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 tweet media
Filipino
59
11
126
14.8K
GENERALⓂ️
GENERALⓂ️@Generalmud12·
@zeanonymouspoet @PolycarpMDM Wewe wakuja kama hujuwi kitu uliza.itakuwa dar umeingia juzi tu hapa. Kwa taarifa yako pale jangwa palikuwa na mji mkubwa sana wa makazi ya watu. Waliamishwa wengi wao wakapewa viwanja mabwe pande.. Wabishi waligoma na kuendelea kukaa hapo jangwa mpaka pale serikali ikawatoa tena
Indonesia
0
0
0
15
Babuu
Babuu@zeanonymouspoet·
@PolycarpMDM Mkuu Jangwani pameanza kuwa na shida baada ya kujengwa hiyo Mwendokasi. Walijaza kifusi eneo maji yanapotuama. Pale hapajawahi kuwa na shida miaka yote. Palikua na depot ya KAJIMA pembeni yake na haikuwahi jaa maji kwa miaka zaidi ya 30 hushangai masta
Indonesia
8
2
21
2.2K
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Tusishangae kuhusu SGR. Hivi wakuu mlishawahi jiuliza kwanini DEPOT ya Mwendokasi ilijengwa Jangwani, Ambapo kila mtu anajua huwa panajaa maji? Tena kikajengwa na kituo cha MWENDOKASI Jangwani! Sisi ni matahira sana
Filipino
52
79
888
29.9K
GENERALⓂ️
GENERALⓂ️@Generalmud12·
@PolycarpMDM Ule usemi wa akili ndogo inaongoza akili kubwa. Yani imagine wanatoa watu jangwan sababu ya mafuriko ans at the same time wanapeleka mradi mkubwa kuujenga pale pale..😂😂😂 inachekesha sana. Ila sijuwi tulimkosea nini Mungu. Ila tulipofikia sio pabaya tutafika
Filipino
0
0
0
23
WHO ARE YOU
WHO ARE YOU@Jackson21161399·
@Sativa255 Sasa apa huyu mwanamke kaongea point gani 🤔 Sasaivi malaya wanatumia siasa ili wafahamike wapande bei 🤔
Indonesia
2
0
0
260
TELAPATHIST
TELAPATHIST@elusilater28273·
@Sativa255 Hii nchi hata wabunge nao ni kuma la mama yao kutoka kitambo, Yaan inakuwaje kwamwaka jimbo linareportiwa kuingiza bill1. 2 alafu mbunge wa jimbo hilo kwamwaka mzima mishahara na maruprup ni m700 -800 means inabakiapo m500 sasa izo 500 zinaweza lipa watumishi ote wa jimbo
Filipino
3
0
8
742
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@InexorablesoG @MariaSTsehai Nawaza kwa sauti,, ",,hawa watu wasioujulikana ndiyo hawa hawa waliomuacha huyu jamaa kuwa hai mpaka kuweza kupost hii clip?, au wapi wengine ambao wako ndiyo hukamata na kuua?"
Filipino
3
0
2
550
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
"Wasiojulikana WAMEJULIKANA".
Suomi
9
119
481
16.1K
GENERALⓂ️
GENERALⓂ️@Generalmud12·
@Jambotv_ Sura na roho vinaendana..aisee..wahenga hawaamini Mungu anakupa vyote kama pinda...sura,roho na jina lake vyote ni pinda
हिन्दी
0
0
0
9
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne, Mizengo Pinda, amesema maandamano yaliyotokea Oktoba 29 hayakuwa ya amani, akieleza kuwa baadhi ya Vijana walishiriki bila kupata maelekezo sahihi, hali iliyosababisha mipango ya kuharibu mali na miundombinu ya umma pamoja na kuvuruga amani ya nchi. Ameyasema hayo wakati wa sherehe za Mwaka Mpya zilizofanyika katika Shule ya Sekondari Mizengo Pinda, iliyopo nyumbani kwake Kibaoni, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi. Katika hafla hiyo, Waziri Mkuu mstaafu alijumuika na ndugu, jamaa, marafiki pamoja na taasisi mbalimbali za Serikali na zisizo za kiserikali. Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Kayanza Peter Pinda aliiasa jamii kuwapatia Watoto wao malezi bora ili kujenga jamii na Taifa lenye Vijana waadilifu, waliostaarabika na wenye uzalendo, ambao hawawezi kujihusisha na vitendo vinavyoweza kuligawanya Taifa. Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Abdulmajid Mwanga, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi, amesema Serikali inaendelea kubaini na kuibua fursa mbalimbali za maendeleo mkoani humo. Amesema miongoni mwa miradi inayoendelea ni utekelezaji wa ujenzi wa barabara ya Sitalike–Kibaoni kwa kiwango cha lami, mradi ambao hapo awali ulikuwa umesimama kwa miaka mingi na kusababisha adha kubwa katika usafirishaji wa mizigo na abiria. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo wamesema ujumbe uliotolewa na Waziri Mkuu mstaafu umejikita katika kuliponya na kuliunganisha Taifa kufuatia machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025.
Indonesia
146
13
81
28.4K
Michael Nzowa
Michael Nzowa@MNzowa78315·
@YerickoNyerereT Yericko naamini wewe ni mtu smart sana ktk siasa za nchi hii, hupaswi kuchapisha habari za namna hii, maana nchi bado ina majeraha kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini? Wewe unachochea wananchi ama kwa kujua au kwa kutojua hata kukaa kimya ni busara pia.
Indonesia
8
0
4
1.3K