Slim Daddy

96 posts

Slim Daddy banner
Slim Daddy

Slim Daddy

@MbazilaK

Either legal or illegal,, Success needs patience 🧠🧠

Katılım Ağustos 2025
73 Takip Edilen0 Takipçiler
MALENGOO
MALENGOO@Malengo25·
Selemani mwalimu akiwa na miaka 12 aliaminiwa RHINO FC what a player⚽️⚽️
MALENGOO tweet media
Filipino
51
31
1.2K
57K
Modri
Modri@abdul_ibrahim66·
@fintanjr_ 😄😄muhim awe amekula tu
1
2
5
1.2K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Ebeleseee amenipandaa sa nng'efanya niniiiii!!!😂💔.. Sasa nimemuelewa🤝
The champ👑 tweet media
Indonesia
23
19
210
25.5K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kati ya mke wako na mama ako nani anastahiri kukaa siti ya mbele ukiwa unaendesha gari..?
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
80
35
157
10.9K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@MkulimaKante binafsi namuona n mtu mwema tu, maana wapo wenye pesa zao, ambao wanazipata kwenye kazi halali, lakini hawasaidii wahitaji. Ni mtu mwema
Indonesia
0
0
0
12
Kante
Kante@MkulimaKante·
Huwezi amini jamaa alikuwa mkristo safi kabisa na unaambiwa alikuwa ni mtu anaesaidia sana watoto yatima na wajane kasomesha watoto wengi sana ila ndio hivo kumbe alikuwa mfanyabiashara mkubwa wa madawa ya kulevya. Dunia ina siri sana🙌
Kante tweet media
Filipino
32
23
332
12.5K
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
Hizi ndizo media za bongo sasa kwa kusapoti uasherati na upumbavu mitanfaoni.
kibaha_finest tweet mediakibaha_finest tweet media
2
6
26
5.1K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kuweni na Akili! Ufafanuzi wa Mabadiliko ya Uongozi Tanzania. Hili sakata la kuuza dhahabu za Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kabla hazijatoka; unajua kwanini Rais (Samia Suluhu) amewahi kumweka mtu (anayemwamini) mapema? Ni timu moja, bado hamjaelewa kinachoendelea? Ninyi endeleeni kupiga kelele kama paka, ila uongozi umeshaona mbali. Ndio maana ametanguliza na kuweka watu wake kwa maslahi yake (ya kimkakati). Baada ya miaka mitano ijayo, mtakuja kuniambia ukweli wa mambo haya! Hebu tazameni mifumo ya uongozi: TRA ipo chini ya uongozi unatoka wapi? TCRA ipo chini ya bodi, wakitokea wapi? BOT sasa itakuwa chini ya uongozi kutokea wapi? Wizara ya Fedha ipo chini ya waziri kutokea wapi? Wizara ya Ulinzi sasa ipo chini ya uongozi kutokea wapi? Mama huyu ni makini sana. Vyanzo vyote vikuu vya kiuchumi na kiusalama amevishika mahsusi. Anajua mtaendelea kubishana na kupingana hadi mtakapo koma. Hata wizara ambayo haina mwingiliano wa muungano kama Elimu, imewekwa chini ya mtoto wake (aliyemwamini). Unajua lengo lake ni gani hasa? Siku akili zenu zitakapo kaa sawa na kuelewa mchezo mzima, ndipo mtajua kuwa Makamu wa Rais wamekuwa wakipigwa mizengwe, kwa sababu wanataka mtu wao ashike nafasi hiyo. Kabisa!
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
8
2
109
16.4K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@zumbekhan Hapana,,huyo jamaa nafahamu,,,hakufumaniwa wala,,ila chanzo chayeye kuwa hivyo siyo kufumaniwa
Filipino
0
0
1
288
Biological son 👽
Biological son 👽@Biologicalsoni·
Amefumaniwa Na Mke Wa Mtu Baada Ya Siku Tatu Mbeleni Akabadilika Na Kuwa Hivi🥹👇
Biological son 👽 tweet media
Indonesia
25
4
73
13.9K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@millardayo Ina maana bank ya taifa,,inazidiwa thamani na utajiri wa Mo Dewji?
Indonesia
0
0
0
121
millardayo
millardayo@millardayo·
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imesema mpaka sasa Tanzania ina akiba ya dhahabu yenye thamani ya dola bilioni 3.24 ikiwa imevuka lengo la Bodi kitendo kilichopelekea kuamua kuuza dhahabu yenye thamani ya dola bilioni 1.2 ili kuweka mizania sawa ya kuwa na akiba ya dhahabu ya dola bilioni 2. Akizungumza kusuhusiana na mchakato huo wa uuzaji wa dhahabu hizo Mkurugenzi kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha Benki Kuu Tanzania Emmanuel Akaro amesema ni utaratibu wa kawaida wa Benki kuu kufanya hivyo ili kuweka mizania sawa ya vihatarishi na wala sio shinikizo wala maagizo kutoka Serikalini. "Kwa lugha nyepesi kabisa limit yetu sisi ni bilioni mbili lakini tayari hata iyo bilioni tatu tumeshapita tuko 3.2 au 3.18888 kwa hiyo sababu moja kubwa kabisa ya sisi kufanya au kuwa na haya matamanio ya kuuza dhahabu ni ili kuhakikisha Benki kuu haijiweki kwenye vihatarishi ambavyo haiwezi kuvisimamia" —— Emmanuel Akaro #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
176
34
463
73.3K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Comments ziwe fupi fupi..?
Hilda Newton tweet media
Polski
87
44
603
94.7K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@swahilitimes Yaani kama movie za kikorea Wenye nguvu wanafanya watakalo,,, 😂😂😂
Indonesia
0
0
2
1.2K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Mange, anayeishi Marekani, ameshitakiwa kwa utakatishaji fedha TZS milioni 138.5, ambapo anadaiwa kutenda kosa hilo kati ya Machi 1 na Machi 31, 2022 Dar es Salaam; kufanya uandishi wa habari bila kibali, pamoja na kudai fedha kupitia vitisho.
Swahili Times tweet media
Indonesia
11
9
223
102.9K
TANZANIA YETU
TANZANIA YETU@MguuKwaMguu2025·
@BesteNicolas Kushindwa kuchochea machafuko kumeacha waliotegemea vurugu wakiwa na mshangao. Kila jaribio jipya linaonekana la kukata tamaa. Wananchi tayari wamesonga mbele, wakiacha kelele bila hadhira.#TanzaniaYachaguaAmani WanaharakatiNaVibarakaWafeli
Filipino
1
0
0
33
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Kwa wale ambao wanapajua mbeya vzr ili jengo linaitwaje?? Na lipo wapi??🤔
kijana mpole tweet media
Indonesia
10
6
69
5.4K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@godbless_lema Na miongoni mwao,,wapo aliozaliwa nao tarehe na mwezi Kwa alozaliwa yeye,, pengine tofauti ikawa Ni mwaka
Filipino
0
0
0
337
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Leo unasherehekea siku yako ya kuzaliwa, na ninafurahi kwa sababu ninajua inakupa kujua thamani ya uhai na maisha. Bila uhai, sherehe hii haiwezi kuwepo. Kuna watu wengi sana wangependa kufurahia siku kama yako, lakini wapo waliokatishwa maisha wengine wakiwa bado wadogo sana. Wakati unakata keki yako, kumbuka kwamba kuna wazazi na ndugu wanatafuta watoto wao bila matumaini ya kuwapata. Sio kwa ajili ya sherehe ya birthday, bali wanatamani angalau kupata miili ya ndugu zao hata kama wamekufa. Just imagine tu!!! Happy birthday.
Godbless E.J. Lema tweet mediaGodbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
59
209
1.3K
52K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na mwingi wa rehema kwa kunijalia kuifikia siku nyingine ya kumbukizi ya kuzaliwa na umri wa miaka 66. Kwa moyo wa dhati, nimepokea na ninawashukuru nyote kwa salamu zenu za upendo. Nimesherehekea siku hii kwa kupanda miti. Wito wangu kwenu, tujenge na tuendeleze utamaduni wa kupanda miti na kutunza mazingira ili nayo yaendelee kututunza sisi na vizazi vijavyo.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
353
165
615
53.2K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Tuwapongeze sana WAKATOLIKI kwa upgrade, hakika kuna mabadiliko makubwa toka tulipowaona mara ya mwisho. Tuwakumbushe kuwa kwa kawaida wakatoliki huwa hawabebi biblia, kitabu chao maarufu kinaitwa MISALE YA WAUMINI. Kila la heri!
Filipino
151
50
338
32.4K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@PolycarpMDM Hayo ndiyo mambo tunayofanya maskini,, Dalili za umaskini
Filipino
0
0
1
490
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Huyu Jamaa Iringa - Mafinga, Mafinga - Makambako, Makambako - Njombe n.k Hizi safari kwake kawaida kuzipiga na hiyo Baiskeli. Anaitwa JAFAR
Polycarp The Bibliophile tweet media
Filipino
24
25
636
25.5K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Ukitoa RAV4 Kuna gari ngumu kuliko hii?
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Filipino
73
22
560
42.5K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@Buberwa_ Hafu vinaongoza kwa kuongeza stress kwa mwanaume 🤣🤣🤣🤣🤣
Filipino
1
0
1
2
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Ila Arusha na Moshi 🙌😅
Eng.Harrison HR tweet media
Filipino
31
8
135
10.3K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@ThomzJoseph Huo mtaji wa 3m. Banda au flemu? Simu ya uwakala? Kodi ya Banda? Chakula ukiwa ofisini? Umeme Kodi? Hebu acheni siasa,
Indonesia
0
0
0
13
Tebbe 🫦
Tebbe 🫦@ms_tebbe·
Hapa kuachana labda mmoja apate kazi Dar 😅😅
Tebbe 🫦 tweet media
35
43
469
19K
Slim Daddy
Slim Daddy@MbazilaK·
@iam_miss01 Mnalipwa shingapi kujitahidi kuwasahaulisha watu mauaji yaliyotokea? Au Yale yaliyotokea nayo ni propaganda? Anyway 🤔
Indonesia
0
0
0
1
Miss B 🌹
Miss B 🌹@iam_miss01·
Taifa limeonesha kuwa haliendeshwi kwa propaganda. Wananchi wamewapa wazushi jibu la kimya lakini zito, wakichagua amani na heshima ya nchi yao kuliko shinikizo lisilo na msingi.#WitoWaAmaniUmepokelewa Propaganda Zimefeli
Miss B 🌹 tweet media
Indonesia
4
9
8
224