Enzo Musk

5.5K posts

Enzo Musk

Enzo Musk

@__ez01

💯

Katılım Haziran 2024
88 Takip Edilen341 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Uwe unampenda au humpendi, haibadilishi kuwa huyu ndiye Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Enzo Musk tweet media
Filipino
101
23
135
14.6K
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
R.I.P LUKUVI 🕊🕊🕊
Enzo Musk tweet media
Eesti
1
5
7
359
Enzo Musk retweetledi
ikulu_Tanzania
ikulu_Tanzania@ikulumawasliano·
TANZIA
ikulu_Tanzania tweet media
Italiano
217
82
543
51.6K
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
@Baradhuli2 @Aduiwayanga Hivyi huyu jamaa anajionaga nani, maana Yesu mwenyewe aliheshimu mamlaka ya Caesar ,Musa alieshimu mamlaka ya farao mpaka akawa anaomba kibali machoni pa Mungu kwenda kwa farao, hasa hili ngombe liko na waumin wake wanalishana matango pori, huyu jamaa anautunguo wa ubongo si bure
Indonesia
0
0
0
36
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
Nimesikitishwa na kauli ya askofu huyu kuhusu Rais wa nchi yetu. Ni muhimu kwa viongozi wa dini na jamii kwa ujumla kuzungumza kwa hekima, heshima, na kujenga umoja wa taifa. Kama kuna hoja au changamoto, ni bora ziwasilishwe kwa njia ya staha na yenye kujenga, badala ya kauli zinazoweza kuleta mgawanyiko. Tuendelee kuheshimiana na kulinda amani ya nchi yetu.
Indonesia
6
0
3
195
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka letu jicho📌📌
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
6
12
32
3.6K
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Maji yamelowa 😁😁😁
Enzo Musk tweet media
Indonesia
0
6
14
431
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Mo Dewji akikuuliza Unataka nini? — USIJIBU hivi…” Wengi hujibu kwa maumivu yao. “Natafuta msaada…” “Naomba mtaji…” “Nisaidie connection…” Hiyo ni lugha ya shida. Na shida sio rare kwa tajiri. Opportunity ndiyo rare. Usijibu kwa emotion. Jibu kwa structure. Sema: “Nina biashara ya ___, tunazungusha ___ kwa mwezi, margin ___%. Bottleneck yetu ni ___. Nahitaji strategic partner wa ___ ili tuscale hadi ___ ndani ya miezi 6.” Hapo umeongea lugha yao. Tajiri hahamasishwi na ndoto zako. Hahamasishwi na background yako. Anahamasishwa na vitu Kama : Cashflow. Scalability. Distribution. Control. End.
Indonesia
0
0
1
24
millardayo
millardayo@millardayo·
Baadhi ya Raia wa Tanzania wakiwemo wanaosoma Dubai, wameiomba Serikali ya Tanzania kuwapatia msaada wa kuondoka Dubai na kurudi Tanzania baada ya hali ya wasiwasi kuendelea kutanda juu ya usalama wao kutokana na mfululizo wa mashambulizi ya makombora ya Iran kwenye maeneo mbalimbali ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Wakizungumza na AyoTV, Wanafunzi hao ambao waliondolewa katika Vyumba vyao ili kujificha kwenye maegesho ya magari chini ya Jengo wanamoishi na baadae kurejeshwa vyumbani kwa tahadhari, wameiomba Serikali kufanya mpango wa kuwasafirisha kwa gari kutoka Dubai kwenda Nchi nyingine za jirani ili iwe rahisi kupata usafiri wa Ndege kurejea Tanzania. Mmoja wa Wanafunzi hao amesema wamejaribu kuondoka Dubai kwa gari la kukodi kuelekea Nchi jirani lakini Kampuni za usafirishaji zimegoma kufanya biashara hiyo kwa hofu dhidi ya mashambulizi yanayoendelea kwa sasa "tupo zaidi ya 100 tunaoishi maeneo mbalimbali, tulijaribu kutafuta gari litupeleke hata Oman lakini Madereva wote wanakataa kusafiri" #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
80
20
614
52.1K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
𝗘𝗻𝘇𝗶 𝘇𝗮 𝘂𝗵𝗮𝗶 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗠𝗮𝗿𝗲𝗵𝗲𝗺𝘂 𝗘𝗹𝗶𝗮𝘀 𝗞𝗶𝗵𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗹𝗶𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝘀𝗲𝗺𝗮 “𝗪𝗮𝗻𝗮𝗼𝗻𝗶𝘇𝗶𝗱𝗶 𝗔𝗸𝗶𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗠𝗨𝗡𝗚𝗨 𝗻𝗮 𝗠𝘇𝘂𝗻𝗴𝘂 𝘁𝘂” jamaa alikuwa genius sana haijawah kutokea 🙌
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
68
61
615
51.1K
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Rais mpenda haki, mwenye hofu ya Mungu, kipenzi cha watanzania🙏
Enzo Musk tweet media
HT
9
5
7
576
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Kardinali Pengo🕊🕊🕊
Enzo Musk tweet media
Lietuvių
0
1
1
82
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Sehemu ambayo hautakiwi kuleta michezo na simu
WHYMYCATISSAD tweet media
Indonesia
34
43
614
23.8K
Enzo Musk
Enzo Musk@__ez01·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC) jijini Addis Ababa, Ethiopia.
Enzo Musk tweet media
Indonesia
3
2
3
103
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿
👉DKT- SAMIA SULUHU HASSAN ANAENDELEA KUIWAKILISHA TANZANIA KWA UONGOZI THABITI NA MAONO MAKUBWA KATIKA KULINDA MAZINGIRA NA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI, 👉USHIRIKI WA TANZANIA KATIKA CAHOSCC JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA, UNAONESHA DHAMIRA YA KWELI YA AFRIKA KUSHIRIKIANA KUTAFUTA SULUHU ENDELEVU ZA CHANGAMOTO ZA TABIANCHI, 👉HAKIKA DKT- SAMIA SULUHU HASSAN NI FAHARI YA TAIFA LA TANZANIA ✍️🇹🇿
Filipino
1
0
0
54