Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️
537 posts

Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️
@Godblesraymond
Fundi uchomeleaji | Natengeneza na kudesign Milango na madirisha aina zote |Vitanda vya chuma na sofa aina zote,call/tsup 0785695014
Dodoma, Tanzania Katılım Ekim 2014
150 Takip Edilen51 Takipçiler

@jobles_bukujero Nakubali kufunga ni baraka,lakin sidhan kama kufuturu kwa kula dagaa ni salama kwa afya yako

Indonesia

@thomasjkibwana @HusseinBashe Mi najiulizaga kila siku tunapokea mikopo mara ufadhili nyenye nyenye,sahiv tumepewa chakula,,hivi sisi tunatoaga nin !??
Indonesia

Mhe. @HusseinBashe ni swala la aibu kwa Tanzania yenye ardhi inayo limika hekta 44,000,000, hekta 29,000,000 zinazo faa kilimo cha uwagiliaji na mvua za zaidi ya milimita 3,000 kwa mwaka kupokea misaada ya chakula..
Indonesia



@officialDrHerry Nin ulikianzisha wew!?, Baada ya kumwachia mtu kikaendelea vile vile kilivyo kwa ustadi na weledi na kwa mipango ile ile uliyokuwa nayo !?? ,,
Filipino
Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️ retweetledi

Mazao ambayo Unaweza kuvipeleka Sokoni ukauza kwa Maringo muda huu:-
- Nyanya
- Kitunguu maji
- Kitunguu Saumu
Lakini usijaribu kupeleka haya Mazao Sokoni kwa sasa
- Carrot
- Mahindi
- Viazi Mviringo
Soko liko Saturated, utachezea Vitasa 🥊
Follow @Nalimasaumu

Indonesia
Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️ retweetledi

@Addy_Adams Kuna ile mnagombana usiku halafu anazira na anasema asubuhi mi narudi kwetu nimechoka.......,,,halafu cha ajabu anaamka anaimba kwaya tu 😀😀😀
Filipino

@mkandamizaji Hii post inaongea mengi sana ,,Nashukuru kwa motivation hii nzuri
Indonesia
Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️ retweetledi

Mimi kama mwananchi, ambaye pia mfanyabiashara na mlipakodi naomba serikali kupitia @ortamisemitz I-review swala la tozo ya leseni za biashara ilete UWIANO wa haki ktk ulipaji.
Imagine ukiingia kwenye mfumo wa Tausi, kwa kijana graduate ambaye anaanzisha kaofisi kake ka Graphics Design, kapewa fedha na mzazi wake kafungua ofisi akiwa na Laptop yake aliyotoka nayo chuo, kanunua kameza na kiti pamoja na kiti cha mgeni, na mtaji wake hauzidi hata 1 Mil anatakiwa kulipia leseni 200,000/- (Laki 2)
Alafu pia Muuzaji wa vifaa vya ujenzi, Tena ni supplier na ana tenda kubwa za kusambaza bidhaa, ambaye mtaji wake ni over 100/-Mil nae analipia 200,000/- the same! Kuna uwiano kweli hapa?
Haya akienda TRA anaambiwa kwa sababu wewe unatoa huduma sio biashara ni lazima uwe na EFD mashine🙆🏾♂️, Ahsante Mungu kuna vijana wabunifu wametuokoa hapo angalau tunaweza kutumia VFD Apps badala ya mashine za laki 6 hizo tunalipia hadi jero kwa siku.
Yaani kiufupi kijana aliyetoka chuo, amekosa ajira, kaamua kujiajiri kutokana na UBUNIFU wake alioupata, bado walioshikilia Ajira wanawakandamiza vijana kwa mifumo isiyo rafiki za kulipia kodi.
Viongozi punguzeni Siasa basi wekeni sera ambazo zina realistic kwa jamii zenu. Maana hamtuumizi sisi tu, tambueni mnaumiza hadi vizazi vyenu vijavyo.
Indonesia

@tanescoyetutz 1.54205499343
2.31.1.2024
3.2000
4.tigo pesa
Español
Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️ retweetledi

Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo!
Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠!
Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho!
Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo!
Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo!
Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi!
Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu!
Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀!
Mazoezi exercise🏋️ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili!
Mboga za Majani 🥦🫑 -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili.
Furaha 😆 -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili!
KuRepost 🔄 -> Kwa Ajili ya Wengine!
Indonesia
Saa Mbili Kamili💉🔥🖌️ retweetledi

Unahitaji kunenepesha matunda yako?
Tumia mbolea zenye Potassium wakati wa matunda.
Potassium hutumika katika kuboresha UKUBWA WA MATUNDA, Dry matter, rangi, ladha.
Na hiki kirutubisho hupatikani kwenye Muriate of potash.ambayo ime-contain 60% of potash
@msakufarm




Indonesia




























