
@Chahali Nimesema maksudi kwa anayejizima ufahamu ili akilielewe vizuri.
Kinamaanisha vile wengi wetu kwa akili ya kawaida ya uraia tunajua maana yake na kiambatano cha hizo rangi.
Hivyo ambaye anajizima data, aseme kwa nini sio ishara ushoga ili hali picha inaonyesha
Indonesia



































