Sam Henrq
26.7K posts

Sam Henrq
@HenrqSam
simple and visionary man


Breaking News: Aliyekuwa Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA @ChaummaT) Patrick Assenga @PatrickJAssenga ametangaza kukihama chama hicho na kurejea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA @ChademaTZ2), ambacho kimsingi ni chama alichokitumikia kwa miaka mingi kabla ya kuhama hapo Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Jumanne Mei 26.2026, Assenga amesema maamuzi ya kurejea CHADEMA yamekuja baada ya tafakuri ya kina ambayo ameifanya na kujiridhisha pasipo na shaka kwamba CHAUMMA haina mwelekeo na dhamira ya kweli ya kuiondoa CCM madarakani, badala yake amebaini kuwa CHADEMA ndio chama pekee cha siasa chenye dhamira ya kweli kwa Watanzania na kinachoweza kuiondoa CCM madarakani na kushika Dola Kupitia mkutano huo na Wanahabari, Assenga amewaomba radhi viongozi wa ngazi mbalimbali wa CHADEMA, wanachama na Watanzania kwa ujumla wake kwa maamuzi aliyokuwa ameyachukua hapo awali ya kukihama chama hicho, akiamini kwamba maamuzi hayo aliyafanya bila kutafakari kwa kina. Royal TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na kile alichozungumza Assenga kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari leo.



Le dribble 1v1 le plus iconique de l’histoire du football selon vous ?




Rasmi; Ujenzi wa uwanja unaanza kesho






Sad hii ndio shida yetu wengi tukiwepo sehemu zenye fursa, tunataka kuonekana tupo hapo ila tupate picha zakupost na story za kusimulia ila hatufaidiki na chochote kifursa Sitaki sema Jemedari alimkuta Juma Offguard but trust me chukua waandishi wote waliokuwepo kwenye huu msafara wa Rio, hata ule wa Drogba na mingine mingi itakayokuja na uwaulize same questions amini hawatakua na positive context wala majibu ya maana zaidi ya kuruka ruka Nazijua changamoto za wanahabari na maripota (nimeishi huko) ila kuna muda tunatakiwa kujua aim ya msingi ya kila tunachofanya au kushiriki na sio tu kuonekana ulikuwepo au ulishiriki halafu basi utaishia kupost tu picha na kuhadithia kwa wanao Content creators wanapata content kwenye mambo kama haya sababu ya field yao ila Mwanahabari ambaye amekua kwenye msafara wote amesikiliza speechs, amefanya interview lakini still hana anything ya maana yakuzungumzia ziara aliyoishiriki 🚶🏾♂️kazi ipo





















