Tanzania Political Index

6.7K posts

Tanzania Political Index banner
Tanzania Political Index

Tanzania Political Index

@IndexTanzania

Your go-to source for the latest political updates across Tanzania. | Tap to Join our WhatsApp Channel https://t.co/RwmKQjSJa0

Addis Ababa, Ethiopia Katılım Mart 2019
99 Takip Edilen3.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Tanzania Political Index
Tanzania Political Index@IndexTanzania·
In modern economies ,When dealing with investment issues the Government have to act as a politely Regulator rather than being an Admnistrator Investors confidence is of paramount concern as far as Investment is concerned, Thus the Win-Win must be the prevailing rule of the game
English
11
39
435
0
Tanzania Political Index retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Maria Sarungi ameamua kupambana na Buyobe kupitia parody yake ya @KatibaMpyaTz_ 😂😂😂. Maria hana tofauti na Godbless Lema na maparody yake ya Tanzania Abroad TV na Tanzania Leaks 🤡.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Indonesia
7
19
28
3.1K
Tanzania Political Index retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
🚨 Msajili wa Vyama vya Siasa ameipa CHADEMA notisi ya kujieleza kuhusu tuhuma za kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa katika shughuli zake. Kwa mujibu wa barua hiyo: 📌 CHADEMA inatuhumiwa kuendelea na mikutano na shughuli za chama chini ya kaulimbiu “No Reforms, No Election”, jambo ambalo Ofisi ya Msajili inaona linaweza kukiuka masharti ya usajili wa chama. 📌 Chama kimetakiwa kueleza kwanini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini. 📌 Maelezo yanatakiwa kuwasilishwa kabla ya tarehe 20 Mei 2026 saa 6:00 mchana. Tunajua CHADEMA itaanza kampeni ya propaganda ya kudai inaonewa kwa sababu wao siku zote wanaona wako juu ya sheria. Sisi raia wema tunaomba Msajili wa Vyama vya Siasa afuate matakwa ya sheria hadi mwisho bila kupepesa macho ⚡
Nyani Ngabu tweet media
Indonesia
11
19
20
935
Tanzania Political Index
Tanzania Political Index@IndexTanzania·
Hili genge la Maria ni wahuni sana 😂. Wakishapishana na mwanaharakati mwenzao wanakimbilia kumdiscredit ili alisema chochote dhidi yao asiaminiwe. Paratrooper @fbuyobe hebu njoo elezea umma uhuni wao hawa usiangushwe kinyonge kama mbuzi wa Eid.
Think Different@lifeofmshaba

It is time kuwa na public notice kuweni makini na @fbuyobe Jiepusheni naye kwa namna zote mnazoweza, vyovyote vile natumia hekima sana, Buyobe ana sura ya pili wengi msiyoijua, anachopost hapo na mambo anayofanya hapa Online sio anachoishi gizani Huyu sio mpambanaji

Indonesia
0
0
3
279
#KatibaMpya
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_·
JWTZ mko Kenya kuna shughuli gani mbona hakuna Tangazo la Joint Training au any official activity ? Hizi karibuni kumekuwa na maneno tata kutoka kwa Samia, JWTZ amkuona umuhimu kusema hii safari kuondoa hofu? Kuonyesha ni safari njema ?
Indonesia
27
37
208
84.7K
Tanzania Political Index retweetledi
Thomas J. Kibwana
Thomas J. Kibwana@thomasjkibwana·
Tarehe 9 ya mwezi huu, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Nchi Kavu (JWTZ), Meja Jenerali Fadhili Omar Nondo, alizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi Bendera ya Taifa kwa washiriki wa Zoezi la 14 la Pamoja la Vituo vya Uamrishaji vya Kijeshi la Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika nchini Kenya kuanzia leo tarehe 13 hadi tarehe 28 ya mwezi huu. Kwa hiyo taarifa ilishatoka mapema kabisa. Inawezekana ulikuwa bize na harakati za kupambania Katiba Mpya, ndiyo maana hili likakupita mdau…
#KatibaMpya@KatibaMpyaTz_

JWTZ mko Kenya kuna shughuli gani mbona hakuna Tangazo la Joint Training au any official activity ? Hizi karibuni kumekuwa na maneno tata kutoka kwa Samia, JWTZ amkuona umuhimu kusema hii safari kuondoa hofu? Kuonyesha ni safari njema ?

Indonesia
8
25
50
17K
Tanzania Political Index
Tanzania Political Index@IndexTanzania·
Moja ya mambo yaliyokua yananifikirisha baada ya Uchaguzi Mkuu ni nani angeteuliwa kuwa Waziri Mkuu. Majina niliyokua nayawazia yalikua Mwigulu Nchemba, Dotto Biteko na Kabudi Palamagamba. Katika hao watu my top choice alikua Mwigulu Nchemba na haja disappoint.
Nyani Ngabu@NNgabu_

KOCHA MZURI NI YULE ANAEJUA KUPANGA KIKOSI Kipimo cha kocha mzuri ni yule anaeweza kupangilia kikosi chake ikiwemo kusajili wachezaji, kupanga formation, kufanya substitution na vitu vingine vinavyoipa timu nafasi kubwa ya kufanikiwa. Kipimo cha ubora wa Rais ni namna anavyoteua watu katika nafasi mbalimbali kuhakikisha kwamba Serikali inatekeleza mipango yake kwa kiwango cha hali ya juu. Kwenye hili nimpongeze sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Nampongeza kwa sababu gani? Kwa sababu moja ya teuzi zake bora za kipindi chake hiki cha pili ni cha Waziri Mkuu Mwigulu Lameck Nchemba. Tumeshaona uwezo wake wa kusimamia shughuli za Serikali ndani ya nchi ila siku hizi mbili tumeshuhudia uwezo wake wa kuiwakilisha Taifa kwenye majukwaa ya kimataifa. Siku hizi mbili, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa (Africa Forward: Africa–France Partnership for Innovation and Growth Summit) unaofanyika jijini Nairobi, Kenya. Kwenye mkutano huo, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa International Fund for Agricultural Development (IFAD), Alvaro Lario, wakati Tanzania ikiharakisha ajenda yake ya mageuzi ya sekta ya kilimo. Tanzania inatarajia kutekeleza bajeti ya kilimo ya shilingi trilioni 1.1 kwa mwaka wa fedha 2026/27, ikiwa na lengo la kuongeza mchango wa sekta hiyo katika Pato la Taifa (GDP) hadi asilimia 36.3 ifikapo mwaka 2030, sambamba na mipango ya kufanya kilimo kuwa cha kibiashara na kuandaa kikamilifu ekari milioni 2.4 kwa miundombinu ya umwagiliaji. “Kimekuwa ni kikao kizuri kwa sababu tumekuwa na ushirikiano nao kwa muda mrefu, ambapo katika kipindi kilichopita tumeshirikiana nao katika miradi mbalimbali, na hasa miradi katika sekta za uzalishaji”.- Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu alishiriki pia chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa. Kwenye picha mbalimbali za hafla hiyo unaona kabisa jinsi Waziri Mkuu alivyo na muonekano wa statesman na jinsi ambavyo yuko nyumbani miongoni mwa viongozi wakuu wa bara la Afrika. Tunampongeza Rais Samia kwa uteuzi huu na tunampongeza Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kwa kuendelea kuitendea haki nafasi aliyoaminiwa.

Indonesia
0
0
0
98

Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
Indonesia
5
18
22
1.4K
Tanzania Political Index retweetledi
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
KUHUSU KIWANDA CHA KUCHAKATA MAFUTA NA Nyani N. Ngabu Naona foleni imepungua kidogo nami sasa nitoe maoni yangu kuhusu swala la kiwanda cha kuchakata mafuta kuwepo Tanga au Mombasa. Kwanza, wananchi inabidi muelewe kuwa tunaishi kwenye ulimwengu wa propaganda ambapo watu hutumia media na social media kuvutia ngoma upande wao. Wafanyabiashara ni watu wajanja sana, haswa wafanyabiashara wenye level ya mafanikio ya Aliko Dangote. Swala la Rais Samia Suluhu Hassan kuongea hadharani kuhusu kutokujua chochote kuhusu mpango wa kujenga kiwanda Tanga kumemtikisa tajiri Dangote kidogo. Utauliza jambo hilo limemtikisa vipi? Kama mfanyabiashara anataka kuvutia ngoma upande wake apate conditions zinazomnufaisha yeye kuliko itakavyo inufaisha Serikali ikiwemo kupata ruzuku, kupewa punguzo la kodi, kupewa eneo bure, kupewa tax holiday ya miaka kadhaa n.k. Kitendo cha Rais Samia kutoka hadharani na kusema hajui chochote kuhusu mpango wa kiwanda kimemuondolea Dangote leverage. Kashtuka kuwa Tanzania haipo tayari kuingia makubaliano kiholela ilimradi tu. Sasa tajiri akachakata akili na kuangalia ni kwa namna gani anaweza rudisha leverage upande wake. Namna pekee ni kutengeneza "mpinzani" au mbadala wa Tanga yani Mombasa. Nia ni kwamba Tanzania tupanic na tuingie nae makubaliana kwa vigezo na masharti yake. Pili, kitendo cha Ruto kutangaza kuwa amemuomba Dangote ajenge kiwanda Tanga kabla hata hajaongea na mamlaka zetu lazima ionyeshe walakini. Kama alikua na nia njema na ujirani mwema tu kwanini hakumgusia swala hilo Rais wetu kabla ya kulipeleka kwa Dangote? Ina maana Ruto na Dangote walishakaa kwenye vikao private, kujadiliana kuhusu swala la kiwanda na kuweka conditions zao wakiamini Tanzania itaingia kichwa kichwa kwa mantiki ya kukuza uchumi, usalama wa nishati na ajira kwa Tanzania. Kimantiki sikatai kwamba kiwanda hicho kuwepo Tanga kitakua na manufaa kwa Tanzania ila kitakua na manufaa pale tu vigezo na masharti vikiwa rafiki na salama kwa mustakabali wa nchi yetu. Laa sivyo baada ya miaka 20 tungeanza tena kulalamika kuwa Serikali imetuingiza kwenye mkataba mbovu. Ushauri wangu wa Dangote na Ruto, njooni Tanzania, wekeni proposal yenu mezani na wape wataalam wa Tanzania muda wa kuchakata proposal hiyo. Ujumbe ni simple....TANZANIA HAITAINGIA KWENYE MAKUBALIANO YOYOTE KICHWA KICHWA!
Nyani Ngabu tweet media
Filipino
24
23
41
6.8K
Tanzania Political Index
Tanzania Political Index@IndexTanzania·
Excellently put. Watu hawajaangalia hili swala kwa angle ya propaganda. Kupenyeza kwenye "international media" swala la bandari ya Mombasa imelenga kutia presha Serikali ya Tanzania. Kwa bahati mbaya baadhi ya Watanzania wameingia mkenge huu.
Nyani Ngabu@NNgabu_

KUHUSU KIWANDA CHA KUCHAKATA MAFUTA NA Nyani N. Ngabu Naona foleni imepungua kidogo nami sasa nitoe maoni yangu kuhusu swala la kiwanda cha kuchakata mafuta kuwepo Tanga au Mombasa. Kwanza, wananchi inabidi muelewe kuwa tunaishi kwenye ulimwengu wa propaganda ambapo watu hutumia media na social media kuvutia ngoma upande wao. Wafanyabiashara ni watu wajanja sana, haswa wafanyabiashara wenye level ya mafanikio ya Aliko Dangote. Swala la Rais Samia Suluhu Hassan kuongea hadharani kuhusu kutokujua chochote kuhusu mpango wa kujenga kiwanda Tanga kumemtikisa tajiri Dangote kidogo. Utauliza jambo hilo limemtikisa vipi? Kama mfanyabiashara anataka kuvutia ngoma upande wake apate conditions zinazomnufaisha yeye kuliko itakavyo inufaisha Serikali ikiwemo kupata ruzuku, kupewa punguzo la kodi, kupewa eneo bure, kupewa tax holiday ya miaka kadhaa n.k. Kitendo cha Rais Samia kutoka hadharani na kusema hajui chochote kuhusu mpango wa kiwanda kimemuondolea Dangote leverage. Kashtuka kuwa Tanzania haipo tayari kuingia makubaliano kiholela ilimradi tu. Sasa tajiri akachakata akili na kuangalia ni kwa namna gani anaweza rudisha leverage upande wake. Namna pekee ni kutengeneza "mpinzani" au mbadala wa Tanga yani Mombasa. Nia ni kwamba Tanzania tupanic na tuingie nae makubaliana kwa vigezo na masharti yake. Pili, kitendo cha Ruto kutangaza kuwa amemuomba Dangote ajenge kiwanda Tanga kabla hata hajaongea na mamlaka zetu lazima ionyeshe walakini. Kama alikua na nia njema na ujirani mwema tu kwanini hakumgusia swala hilo Rais wetu kabla ya kulipeleka kwa Dangote? Ina maana Ruto na Dangote walishakaa kwenye vikao private, kujadiliana kuhusu swala la kiwanda na kuweka conditions zao wakiamini Tanzania itaingia kichwa kichwa kwa mantiki ya kukuza uchumi, usalama wa nishati na ajira kwa Tanzania. Kimantiki sikatai kwamba kiwanda hicho kuwepo Tanga kitakua na manufaa kwa Tanzania ila kitakua na manufaa pale tu vigezo na masharti vikiwa rafiki na salama kwa mustakabali wa nchi yetu. Laa sivyo baada ya miaka 20 tungeanza tena kulalamika kuwa Serikali imetuingiza kwenye mkataba mbovu. Ushauri wangu wa Dangote na Ruto, njooni Tanzania, wekeni proposal yenu mezani na wape wataalam wa Tanzania muda wa kuchakata proposal hiyo. Ujumbe ni simple....TANZANIA HAITAINGIA KWENYE MAKUBALIANO YOYOTE KICHWA KICHWA!

Indonesia
0
1
1
40
Tanzania Political Index retweetledi
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Can someone from Kenya show me a 30 secs to 2 Minutes video of Dangote saying he’s planning for a refinery in Mombasa, Kenya. I want to see the context. Because the internet might have been triggered to believe some illusions. Thanks.
English
41
39
339
31.1K
Tanzania Political Index retweetledi
The Rapid Response Tanzania
JUST IN: Tanzania’s Prime Minister Dr. Mwigulu Nchemba has met IFAD President Alvaro Lario at the ongoing Africa Forward Summit in Nairobi as Tanzania accelerates its agricultural transformation agenda. Tanzania is set to implement a 1.1 Trillion agriculture budget for FY2026/27 aimed at raising the sector’s contribution to GDP to 36.3% by 2030, alongside plans to commercialize and fully equip 2.4 million acres with irrigation infrastructures.
The Rapid Response Tanzania tweet media
English
4
18
39
2.6K